huo unabii si kweli wala israel hawana mpango wa kubomoa msikiti wa jerusalem.labda aje akae madarakani kiongozi kichaa.
In fact waisrael wameandaa plan B ya jinsi watakavyougawa mji wa jerusalem sehemu mbili kati yao na wapalestine.
hata kipindi cha Nuhu/Noa watu kama wewe walikuwepo na walimwambia Nuhu mlevi, siku gharika ilipoanza waliteketea kama mshumaa uteketeavyo mbele ya moto mkali.Teh teh teh! Mungu atashuka kwa hasira. Kweli dini ni kilevi. Kwa hayo unayoongea lazima utakuwa umelewa ulevi huo.
Unajuwa mkuu! kinachonifanya niseme hivyo, siamini kwamba anachokifanya Myahudi hivi sasa kua Mungu anakikibali. Nijuavyo mimi ni mwema.hata kipindi cha Nuhu/Noa watu kama wewe walikuwepo na walimwambia Nuhu mlevi, siku gharika ilipoanza waliteketea kama mshumaa uteketeavyo mbele ya moto mkali.
haya yote mkuu yalishatabiriwa na ni kweli mataifa ya kiarabu yakishirikiana na urusi, iran na mashariki ya mbali (china) kuna kipindi ambacho kimekaribia sana yataungana kuishambulia israel na israel hawatastahimili kwasababu jeshi hilo litakuwa kubwa mno na lenye nguvu mno. hiyo marekani unayoiona inaisapoti israel kuna kipindi pembe yake moja itavunjia (uwezo wake utapungua kinguvu) hivyo israel itabaki peke yake na atakayekuja kuiokoa israel ni Mungu wa Israel tu (Mungu wa baba zao Ibrahim Isaka na Yakobo). hayo yametabiriwa kwenye kitabu cha Ufunuo wa Yohana, kitabu cha Ezekiel na kitabu cha Daniel miaka mingi sana hata kabla ya Yesu Mungu alishaongea kupitia manabii wake na utabiri huo ukatunzwa ndio vitabu vinavyotumika hata leo hii. vita ya al magedon ipo karibu sana, na ile ya gogu na magogu iliyotabiriwa ktk Bible takatifu. isipokuwa, Mungu atayaadhibu mataifa yatakayoivamia israel robo tatu yao itateketezwa na watakuwa kwenye wakati mguku kuliko kitu chochote kile.
unfortunately haufuatilii siasa za israel. kitu cha kwanza ambacho israel hawatakuja kukifanya ktk maisha yao ni kuugawa mji wa yerusalem. jambo hilo hawataki kulisikia kwasababu wanaamini Jerusalem ni mji wa wayahudi tu na ni mji mtakakatifu wa Mungu. kwenye maandiko ya Biblia/torah Mungu amekataza kabisa kuugawa mji huo vipandevipande na alishaahidi atakayefanya hivyo ataadhibiwa. wanalijua hilo,ukiona wanasema wanataka kuugawa mji ni changa la macho tu kwani leo wanasema tutaugawanya kesho yake wanajenga makazi ya wayahudi na wanataka kuna siku wapalestina watakuja kujistukia ------------ wote eastern jerusalem hivyo jerusalem yote kukaliwa na wayahudi. kama haujui huo ndio mpango walio nao.huo unabii si kweli wala israel hawana mpango wa kubomoa msikiti wa jerusalem.labda aje akae madarakani kiongozi kichaa.
In fact waisrael wameandaa plan B ya jinsi watakavyougawa mji wa jerusalem sehemu mbili kati yao na wapalestine.
ujue arab speaking peoples wametapakaa eneo kubwa sana la mashariki ya kati.hata huyo abrahamu asili yake ni mkalidayo wa irag na mpaka leo jamii hiyo ipo japo wanafahamika tu kama waarabu ila lugha wanayoongea ni tofauti kidogo na wanayoongea yemen,ama misri,kuwait ,saud etc.wanaweza kuwa waarabu lakini wao kwa wao wanajuana huyu mmisri,yule myemen etc.mbona hujajibu maswali yangu? Lugha, Utamaduni, Imani etc ni zipi?
What are peculiar aspects of Palestines that identify them as a nation which are peculiar exclusively to them and not to arabs? JIBU KWANZA HILI
sharon alikua ni mzee sana na hangeweza kuishi milele.unfortunately haufuatilii siasa za israel. kitu cha kwanza ambacho israel hawatakuja kukifanya ktk maisha yao ni kuugawa mji wa yerusalem. jambo hilo hawataki kulisikia kwasababu wanaamini Jerusalem ni mji wa wayahudi tu na ni mji mtakakatifu wa Mungu. kwenye maandiko ya Biblia/torah Mungu amekataza kabisa kuugawa mji huo vipandevipande na alishaahidi atakayefanya hivyo ataadhibiwa. wanalijua hilo,ukiona wanasema wanataka kuugawa mji ni changa la macho tu kwani leo wanasema tutaugawanya kesho yake wanajenga makazi ya wayahudi na wanataka kuna siku wapalestina watakuja kujistukia ------------ wote eastern jerusalem hivyo jerusalem yote kukaliwa na wayahudi. kama haujui huo ndio mpango walio nao.
unakumbuka mwaka 2006 Ariel sharon aliwaondoa wayahudi westbank halafu akawa na mpango wa kuugawa mji wa Jerusalem, amini usiamini alipigwa na Mungu akapata kiarusi amekufa bila hata kuwa na akili ya kuamka kitandani. ukiugusa Mji wa Jerusalem unagusa mboni ya jicho la Mungu. amini usiamini. hivyo kuugawa au two state solution unayoisikia kwa wayahudi ni longolongo tu haitakuja kutokea na kadiri siku zinavyoenda hata west bank itakuwa imejaa wayahudi. wengi wanatoka nchi nyingine wanarudina wanahitaji makazi.
kwasasa israel wanajenga uhusiano na russia sasa sijui kama huo unabii utatimia.haya maneno yakumbuke utakapofikisha miaka 90 na hujaona unabii huo ukitimia.hata kipindi cha Nuhu/Noa watu kama wewe walikuwepo na walimwambia Nuhu mlevi, siku gharika ilipoanza waliteketea kama mshumaa uteketeavyo mbele ya moto mkali.
haya yote mkuu yalishatabiriwa na ni kweli mataifa ya kiarabu yakishirikiana na urusi, iran na mashariki ya mbali (china) kuna kipindi ambacho kimekaribia sana yataungana kuishambulia israel na israel hawatastahimili kwasababu jeshi hilo litakuwa kubwa mno na lenye nguvu mno. hiyo marekani unayoiona inaisapoti israel kuna kipindi pembe yake moja itavunjia (uwezo wake utapungua kinguvu) hivyo israel itabaki peke yake na atakayekuja kuiokoa israel ni Mungu wa Israel tu (Mungu wa baba zao Ibrahim Isaka na Yakobo). hayo yametabiriwa kwenye kitabu cha Ufunuo wa Yohana, kitabu cha Ezekiel na kitabu cha Daniel miaka mingi sana hata kabla ya Yesu Mungu alishaongea kupitia manabii wake na utabiri huo ukatunzwa ndio vitabu vinavyotumika hata leo hii. vita ya al magedon ipo karibu sana, na ile ya gogu na magogu iliyotabiriwa ktk Bible takatifu. isipokuwa, Mungu atayaadhibu mataifa yatakayoivamia israel robo tatu yao itateketezwa na watakuwa kwenye wakati mguku kuliko kitu chochote kile.
Barikiwa ISRAEL!!
ujue arab speaking peoples wametapakaa eneo kubwa sana la mashariki ya kati.hata huyo abrahamu asili yake ni mkalidayo wa irag na mpaka leo jamii hiyo ipo japo wanafahamika tu kama waarabu ila lugha wanayoongea ni tofauti kidogo na wanayoongea yemen,ama misri,kuwait ,saud etc.wanaweza kuwa waarabu lakini wao kwa wao wanajuana huyu mmisri,yule myemen etc.
Hili ndo jibu? Elungata be serious
kwasasa israel wanajenga uhusiano na russia sasa sijui kama huo unabii utatimia.haya maneno yakumbuke utakapofikisha miaka 90 na hujaona unabii huo ukitimia.
Hawezi kukupa jibu, zaidi ya porojo za kwenye kahawa...
hiyo habari ya magog zilikua na ngano tu za kale,kipindi hicho tawala za eneo hilo zikipigana.haina uhusiano na unabii ujao.huyo magog alikua ni mmoja wa watoto wa japhet.soma vitabu husika uelewe, halafu nahitaji majibu ya maswali yangu
unataka kujua palestina wanaongea lugha gani?.kiarabu,palestina na nchi za kiarabu kwa mawazo yako unadhani ni mbali sana.wakati ni kama kisarawe na dar.Hili ndo jibu? Elungata be serious
Namfahamu vizuri jamaa uwezo wake tumeshakutana nae mara nyingi tu, ukimbana sana anapotea...Mkuu wa chuo umenisaidia, kumbe unajua uwezo wake! Ahsante Sana
ni kweli yataonekana kuwa maswali ya ajabu kwa mtu asiyekuwa na majibu!maswali ya ajabu sana haya.