Lwaitama, Makwaiya: Israel Commits Genocide?

Lwaitama, Makwaiya: Israel Commits Genocide?

jiulize kwanini wanarusha maroketi.

Hayo maroketi kwa miaka yote yanatumika as a way of expressing disatsification.
Maroketi yenyewe ni homemade hayana hata uwezo wa kuangamiza ni symbol ya resistance.
lengo la kurusha maroketi ili ili kuwafukuzia wayahudi kwenye bahari ya mediterenean waiache nchi.
 
lengo la kurusha maroketi ili ili kuwafukuzia wayahudi kwenye bahari ya mediterenean waiache nchi.

lakini gaza si ndo ipo ukingoni mwa mediterania?na maroketi hupigwa kwenda ndani kutokea hapo gaza.
 
wajua kwamba bible iliwekwa pamoja na kuwa kitabu kimoja enzi ya mfalume costantine na ikawa inakuwa edited enzi za king james?.

Hapa unadhani watu wangeshindwa kweli ku edit na kuweka mambo yao?
unajua kuwa Torah ni biblia agani la kale? ambayo ilianza kutumika hata kabla ya Yesu au niseme tangu enzi za Musa? usifikiri misingi hii ipo tu kwenye Bible ya wakristo, ipo kwenye Bible ya wayahudi inayoitwa Torah. kwenye biblia ile ya kikristo kama ulishawahi kuiona kuna agano la kale yaani maandiko yote kabla ya yesu, halafu kuna agano jipya maandiko yote baada ya yesu. sasa wayahudi wanayo ile agano la kale kabla ya yesu na ndio ktk wakristo tunaita agano la kale ila wao wanaita torah. hiyo torah ilikuwepo tangu kipindi cha Musa hata kabla mudi saw hajazaliwa.
 
Ndo maana israeli kapiga makanisa,kapiga misikiti na kapiga shule za UN,kazi yake ni kuangamiza kila sehemu yenye tunnels zinazomhujumu,hapo hakuna uislam au ukristo,hapa issue ni kama huna nguvu ukamchokoza mwenye nguvu tegemea kichapo kwako wewe,mke wako watoto na kuku period. Yaani kashengo kashai.
hata mimi ningekuwa israel na tunnel imepitia pale kwenye kanisa la pengo kule posta, natandika tu. sasa mnacholalamika ni nini,kumbe mnakubali kuna tunnels,mlitaka waziache
 
Elungata, mbinu ya waislam kuhamia sehemu halafu kuzaliana kama nguruwe (a pig can farrow up to 15 piglets SIJATUKANA) dunia wameistukia! Hakutatokea tena taifa kama INDIA kujigawa kuwa PAKISTANI eti sababu waislam wengi

Wapalestina ni waarabu na wamehamia miaka kama 100 iliyopita

Ukipinga hili hebu nambie, UTAMADUNI WAO NI UPI, LUGHA YAO NI IPI?

Kama hawana kwa nini wasiwekwe katika nchi zingine za kiarabu? NI WALE WALE TU na hakutakuwa na tofauti ni kama kutoka MADINA kwenda MAKA au Buguruni Malapa kwenda Tandika

ISRAEL inaingia zaidi ya mara 700 kwa jumla ya nchi za Kiarabu duniani, why cant you accomodate your fellows in the name of allay (your god)

Upande wa Israel ni TAIFA lenye LUGHA YAKE, DINI YAKE, UTAMADUNI WAKE, TAIFA LAKE, toka enzi na si miaka 100 iliyopita ni maelfu na maelfu ya miaka. Ukiwatoa pale unawapeleka wapi ambapo wana utamaduni, lugha, dini kama yao?
 
Last edited by a moderator:
Jesus, a great teacher,
considered himself to be the
long-awaited Messiah for the
Jews. He believed that God would
overthrow Rome and bring His
kingdom to earth. In preparation
for this, Jesus taught a message
of unconditional love, tolerance,
and non-judgmental acceptance
of everyone. Alas, Jesus’ mission
of inaugurating a new earthly
age failed when the Romans
crucified him.
Jesus’ followers, believing that
God had raised their rabbi from
the dead, continued to meet in
Jerusalem under the leadership
of James, Jesus’ brother. Their
intention was to await the still-
coming kingdom and continue
observing Jesus’ brand of
enlightened Judaism. But along
came Saul of Tarsus, who faked a
conversion in order to infiltrate
the church. Peter and James and
others who had actually known
Jesus were suspicious of Saul,
who had never met Jesus.
Then Saul, who started calling
himself “Paul,” had a stroke of
genius. He artfully combined
traditional Hebrew ideas with
those of pagan Greek philosophy,
creating a new religion that
could appeal to both Jews and
Gentiles. He began preaching that
Jesus was actually God, that
Jesus’ death was linked to the
Jewish system of sacrifice, that
one could be saved by simply
believing, and that the Mosaic
law was obsolete. Paul’s zealous
missionary activity and
persuasive writings took his new
“gospel” around the Roman
Empire. The Jerusalem Church,
including Peter and James,
disowned Paul as a heretic and
cult leader.
After the destruction of
Jerusalem in A.D. 70, the Jewish
Church lost authority, but the
Gentile Church founded by Paul
increased its influence. One of
Paul’s fervent followers wrote the
book of Acts, which gave Paul
legendary status with its glowing
portrayal of him as the hero of
the church. Later, four unknown
writers gathered scraps of
information about Jesus and
wrote books they called
“Matthew,” “Mark,” Luke,” and
“John”—but Paul’s theology,
already dominant in the church,
tainted the writers’ perspective.
Thus, Paul’s religion won out
over Jesus’ religion.
In short, Paul was a charlatan, an
evangelical huckster who
succeeded in twisting Jesus’
message of love into something
Jesus himself would never
recognize. It was Paul, not Jesus,
who originated the “Christianity”
of today.

1. Your post is a common baseless moslem claims of bible being corrupted.

2. St. Paul is one that Muslims can’t get their heads around. It is not because it is difficult to understand him but because Muhammad could not understand him. If Muslims understand Paul wrote, then it becomes evident that they are smarter than their prophet, which proves he was not a prophet of God. Since for them such an idea is inconceivable, they will do everything in their
power to not understand.

Knowing Muslims I also am sure they will stop reading further as soon as things start making sense and “click.” Because if it clicks they will have no option but to agree that Muhammad was a liar. Few Muslims will read Paul's writings to the end and if they do they will do their best not to understand them.

3. The quran reject the idea or claims that the bible is corrupted.

4. Madai kua biblia imechakachuliwa are asinine idea
 
lakini bado wametawinyika mpaka sasa,hata mwenye google ni mrusi myahudi bado ametawanyikia marekani.

Hayo yalikua maneno ya ezekiel na si mungu kama unavyoamini.
Hata kipindi cha yesu hilo eneo lilikua utumwani mwa warumi na wayahudi wakingojea masiha aje kuwakomboa toka utumwani na kuwa mfalme wao atakaeunganisha waisrael kama taifa.ilikua ni imani ambayo ilibadilishwa ikawa ya kidini wakati haikuwa.yesu alipokuja alidai yeye ndo mfalme wa wayahudi,japo hawakumuamini na hatimae wakamsulubu.
Kabla yesu hajakamatwa aliwambia watu wake kuwa atarudi na kuwa mfalme wao na kuwa katika wale wakimsikiliza atawakuta bado wapo hai na watatawala pamoja.
Sasa kuna wajanja walikuja wakaspin maneno ndo ikawa imezaliwa imani hiyo.
Lakini kinachosemwa ni unabii actualy sio hata unabii.
ni vizuri umekubali kuwa kipindi cha Yesu wayahudi walikuwa wana exist pale ila walitawaliwa na coloni la warumi. vipi, wapelestina walikuwepo kipindi cha Yesu? jibu ni noooooo
 
From the book of Isaiah chapter
19:23
23In that day there will be a
highway from Egypt to Assyria,
and the Assyrians will come into
Egypt and the Egyptians into
Assyria, and the Egyptians will
worship with the Assyrians. 24In
that day Israel will be the third
party with Egypt and Assyria, a
blessing in the midst of the earth,
25whom the LORD of hosts has
blessed, saying, "Blessed is Egypt
My people, and Assyria the work
of My hands, and Israel My
inheritance."
Any opinions on the subject?
 
wajua kwamba bible iliwekwa pamoja na kuwa kitabu kimoja enzi ya mfalume costantine na ikawa inakuwa edited enzi za king james?.

Hapa unadhani watu wangeshindwa kweli ku edit na kuweka mambo yao?

Bogus! Those are baseless claims,you,moslems cant support with evidences.

Hisia ni tofauti na ukweli,unaweza kuamua kuhisi kila kitu hakiko sawa ila kuthibitisha hisia zako unatakiwa ulete ushahidi.
 
Elungata, mbinu ya waislam kuhamia sehemu halafu kuzaliana kama nguruwe (a pig can farrow up to 15 piglets SIJATUKANA) dunia wameistukia! Hakutatokea tena taifa kama INDIA kujigawa kuwa PAKISTANI eti sababu waislam wengi

Wapalestina ni waarabu na wamehamia miaka kama 100 iliyopita

Ukipinga hili hebu nambie, UTAMADUNI WAO NI UPI, LUGHA YAO NI IPI?

Kama hawana kwa nini wasiwekwe katika nchi zingine za kiarabu? NI WALE WALE TU na hakutakuwa na tofauti ni kama kutoka MADINA kwenda MAKA au Buguruni Malapa kwenda Tandika

ISRAEL inaingia zaidi ya mara 700 kwa jumla ya nchi za Kiarabu duniani, why cant you accomodate your fellows in the name of allay (your god)

Upande wa Israel ni TAIFA lenye LUGHA YAKE, DINI YAKE, UTAMADUNI WAKE, TAIFA LAKE, toka enzi na si miaka 100 iliyopita ni maelfu na maelfu ya miaka. Ukiwatoa pale unawapeleka wapi ambapo wana utamaduni, lugha, dini kama yao?
my friend, jibu hapo ni raisi tu.

ni kweli wapalestina ni waarabu waliohamia miaka 100 iliyopita ndio maana utamaduni wao, historia yao, lugha yao ni y akiarabu. ukiwa pale israel hakuna hata symbol moja inayoonyesha kuwa eneo lile ni la wapalestina, ila kuna symbol za wayahudi tu kama vile the great wall or mourning ule ukuwa wa hekalu la mfalme suleiman wa israel ambao waliubomoa ukabaki.

pia, hata kama israel inaingia mara 700 ya nchi za waarabu, waarabu hawawezi kukubali kuondoka pale. kwa kifupi ni kwamba wapalestina ni chambo tu na wanawakilisha waislam wote duniani kulinda mji wa jerusalem na hasa temple mount ule msikiti waliojenga juu ya hekalu la suleiman ambapo wanaamini muhamad alishawahi kutembelea napo ni eneo takatifu kwa waislam, hivyo ukiichukua israel yote iwe ya waisrael ni kwamba baadhi ya vifungu vya kwenye kuran vitakuwa havifanyi kazi na maeneo matakatifu ya waislam yatakuwa yamenyang'anywa.

wayahudi kwasasa wana maandalizi kuubomoa ule msikiti, ni jambo linalotarajiwa na inasemekana ndio utakuwa mwisho wa dunia kwasababu ile vita ya dunia itaaanzia hapo, hakuna muislam hata mmoja atakayekubali holy land isiwe part of waislam. vita kubwa sana itakuja na waisrael hawatakuwa na uwezo kuhimili, yaani watazidiwa kwasababu atashuka pia mfalme wa kaskazini (russia) kuwasaidia waarabu watakaokusanyika maelfu kwa maelfu kuishambulia israel. israel italemewa kabisa kwani hata marekani wala nani hatakuwa na uwezo kuwasaidia, isipokuwa Mungu wa Mbinguni atashuka kwa hasira na ghadhabu yake, atawasambaratisha hayo majeshi ya mfalme wa kaskazini(russia) robo tatu watateketea, na majeshi ya waarabu pia watateketezwa kabisa mbili ya tatu. watabaki thuluthi tu.

Je? Mungu atatumia nini kuwaangamiza? Mungu atatumia kila aina ya silaha, mvua za mawe, tetemeko la nchi etc. hayo yameandikwa kwenye Bible na tunayaona yanaenda yakitimia ndio maana tunasema Biblia ni Neno la Mungu lililo hai na la kweli. bible prophecies ni sahihi kabisa na zote zimeshatokea.
 
ni vizuri umekubali kuwa kipindi cha Yesu wayahudi walikuwa wana exist pale ila walitawaliwa na coloni la warumi. vipi, wapelestina walikuwepo kipindi cha Yesu? jibu ni noooooo

palestina na jina la eneo na wakaazi wake ndo wapalestina.
Sawa na jina tanganyika ama tanzania wakazi wake ni watanzania.
Tatizo hapa ni mfano wachaga waliokua wakiishi kenya warudi tanzania na kudai nchi hiyo ni yao pekee.wanyang'anye ardhi wazawa na kuwarundika wazawa kwenye makambi ya wakimbizi,wajenge kuta na kuzuia kila kitu kuingia ama kutoka bila ruhusa yao.
 
huo unabii si kweli wala israel hawana mpango wa kubomoa msikiti wa jerusalem.labda aje akae madarakani kiongozi kichaa.

In fact waisrael wameandaa plan B ya jinsi watakavyougawa mji wa jerusalem sehemu mbili kati yao na wapalestine.
 
No hilo swali ni kutaka kuonyesha kuwa hukujua geography ya eneo hilo.
hapo ndio uone akili za hamas zilivyo. sasa kama unaona hiyo haiko hivyo unafikiri wanarusha rocket ili iweje? lengo lao kuu ni nini
 
hawawaiti "wayahudi" wanawaita "mayahudi", yeye anaamini wayahudi marekani wamefika 2ml, (hajui kama wemefikia 10mil)....kama wanajadili kitu kizuri, kwanini wawaite mayahudi? yeye atafurai akiitwa "matanzania" au "mapalestina".....kwani lwaitama elimu yake ni ipi, najua yupo pale chuo na kuna miaka fulani tulikuwa tunapishana sana kwenye daladala, na ni mkorofi ajabu hata kwenye daladala anagombana, na juzi tu hapa aligombana na precision air hadi kawekwa ndani..anavuta bange?

Ungetaja ya kwako kwanza, yaani hapa JF kilamtu anajifanya kasoma na kuhoji elimu ya mwenziwe. Hamna lolote. udini tu
 
Kerry's Peace Plan:
Divide Jerusalem,
Recognize Jewish
State
Wednesday, January 29,
2014 | Ryan Jones
US Secretary of State John
Kerry is about to bring over
six months of frantic shuttle
diplomacy to a climax by
presenting a firm American
proposal for peace between
Israel and the Palestinians.
That according to New York
Times columnist Thomas
Friedman, who is close to
the Obama Administration.
"After letting the two sides
fruitlessly butt heads for six
months, [Kerry's] now
planning to present a U.S.
framework that will lay out
what Washington considers
the core concessions Israelis
and Palestinians need to
make for a fair, lasting deal,"
Friedman wrote on Tuesday.
As the columnist explains it,
the US plan sees Israel
withdrawing from Judea
and Samaria in stages, but
not from 100 percent of the
territory. Large Jewish
settlement blocs would be
left intact and under Israeli
sovereignty, and Israel
would compensate by
surrendering some of its
territory to the Palestinian
Authority.
Jerusalem would be divided,
and the eastern half
recognized as the capital of
"Palestine." Speaking of
recognition, Israel would be
explicitly acknowledged as
the nation state of the
Jewish people.
The proposal does not allow
for the mass entry of so-
called "Palestinian refugees"
into Israel.
For those familiar with the
conflict, as Friedman
purports to be, the proposal
and his eager approach to it
are baffling.
How many times does
Palestinian leader Mahmoud
Abbas have to reject the
notions of recognizing a
Jewish state or
relinquishing a Palestinian
"right of return" before
America will take him at his
word?
Abbas has staked his
political legacy on achieving
a "right of return" for
Palestinians to Israel-proper,
and has been so adamant
about never calling Israel a
"Jewish state" that it is
somewhat unreasonable for
anyone to expect him to
change his mind now.
And those aren't the only
insurmountable obstacles.
Kerry and Friedman seem to
be forgetting about Hamas,
which on Tuesday issued a
statement reiterating that it
would never accept a two-
state solution or give up
even "one inch of the land
of Palestine," which the
group considers to include
the entirety of the Land of
Israel.
Nor can Hamas' extreme
positions be ignored, as the
group has demonstrated its
ability to win Palestinian
elections and ascend to the
highest positions of power,
be it through democratic
processes or force of arms.
There is also the matter of
Israeli Arabs who would
become Palestinian citizens
as part of the proposed land
swaps. Almost to a man,
Israeli Arabs and their
representatives in the
Knesset have rejected such
an outcome.
Last but not least, Israeli
Jews have made it
abundantly clear in surveys
carried out over the past
two decades that they will
not accept the re-division of
their ancient and sacred
capital. Any prime minister
who agrees to such a
concession is very likely to
be voted out of power
before he or she has a
chance to actually
implement the agreement.
Why Kerry or Friedman
believe that this latest
proposal will lead to a
different result than those
that came before it is
beyond me.
 
Mkuu,

uwezo na mamlaka ya Mungu hayabadiliki kutokana na jinsi binadamu wanavyokosea au kutenda tofauti. Kila imani inatakiwa kuiheshimu imani nyingine si vema kusema Mungu wao ni teja au mvuta bangi kutokana na makosa ya kibinadamu yanayofanywa na watu.

Unataka kusema yule Mungu aliyeruhusu Mtume fulani kuoa mademu wengi na kummega mtoto wa miaka 9 akiitwa Mungu kicheche na mbakaji ni sahihi?

Turudi kwenye Mada iliyotolewa na watu wajadili vizuri, wengine huwa tunapata faida pale watu wanavyotoa points za maana na si kejeli.

Kiukweli na ninavyoamini mimi Mungu aliyeumba dunia na vitu vyote hajaruhusu mwanadamu kuua mwanadam mwenzake, na wao wanatudanganya ya kuwa mungu amewaruhusu kuwaondoa wapalestina eneo walilopo kwa gharama ya uhai wa mwanadam,ndio maana nikasema hapana, na km wanasema ni Mungu kawatuma ndio maana nikasema Mungu huyo anayeruhusu watu wauawe si Mungu wa upendo na amani ni Mungu MUHUNI, Maana kwa mujibu wa vitabu tunaamini Mungu ni Mwema na hapendezwi wanadam kuuana, sasa wao Mungu wao ni yupi??
 
palestina na jina la eneo na wakaazi wake ndo wapalestina.
Sawa na jina tanganyika ama tanzania wakazi wake ni watanzania.
Tatizo hapa ni mfano wachaga waliokua wakiishi kenya warudi tanzania na kudai nchi hiyo ni yao pekee.wanyang'anye ardhi wazawa na kuwarundika wazawa kwenye makambi ya wakimbizi,wajenge kuta na kuzuia kila kitu kuingia ama kutoka bila ruhusa yao.

mbona hujajibu maswali yangu? Lugha, Utamaduni, Imani etc ni zipi?

What are peculiar aspects of Palestines that identify them as a nation which are peculiar exclusively to them and not to arabs? JIBU KWANZA HILI
 
my friend, jibu hapo ni raisi tu.

ni kweli wapalestina ni waarabu waliohamia miaka 100 iliyopita ndio maana utamaduni wao, historia yao, lugha yao ni y akiarabu. ukiwa pale israel hakuna hata symbol moja inayoonyesha kuwa eneo lile ni la wapalestina, ila kuna symbol za wayahudi tu kama vile the great wall or mourning ule ukuwa wa hekalu la mfalme suleiman wa israel ambao waliubomoa ukabaki.

pia, hata kama israel inaingia mara 700 ya nchi za waarabu, waarabu hawawezi kukubali kuondoka pale. kwa kifupi ni kwamba wapalestina ni chambo tu na wanawakilisha waislam wote duniani kulinda mji wa jerusalem na hasa temple mount ule msikiti waliojenga juu ya hekalu la suleiman ambapo wanaamini muhamad alishawahi kutembelea napo ni eneo takatifu kwa waislam, hivyo ukiichukua israel yote iwe ya waisrael ni kwamba baadhi ya vifungu vya kwenye kuran vitakuwa havifanyi kazi na maeneo matakatifu ya waislam yatakuwa yamenyang'anywa.

wayahudi kwasasa wana maandalizi kuubomoa ule msikiti, ni jambo linalotarajiwa na inasemekana ndio utakuwa mwisho wa dunia kwasababu ile vita ya dunia itaaanzia hapo, hakuna muislam hata mmoja atakayekubali holy land isiwe part of waislam. vita kubwa sana itakuja na waisrael hawatakuwa na uwezo kuhimili, yaani watazidiwa kwasababu atashuka pia mfalme wa kaskazini (russia) kuwasaidia waarabu watakaokusanyika maelfu kwa maelfu kuishambulia israel. israel italemewa kabisa kwani hata marekani wala nani hatakuwa na uwezo kuwasaidia, isipokuwa Mungu wa Mbinguni atashuka kwa hasira na ghadhabu yake, atawasambaratisha hayo majeshi ya mfalme wa kaskazini(russia) robo tatu watateketea, na majeshi ya waarabu pia watateketezwa kabisa mbili ya tatu. watabaki thuluthi tu.

Je? Mungu atatumia nini kuwaangamiza? Mungu atatumia kila aina ya silaha, mvua za mawe, tetemeko la nchi etc. hayo yameandikwa kwenye Bible na tunayaona yanaenda yakitimia ndio maana tunasema Biblia ni Neno la Mungu lililo hai na la kweli. bible prophecies ni sahihi kabisa na zote zimeshatokea.
Teh teh teh! Mungu atashuka kwa hasira. Kweli dini ni kilevi. Kwa hayo unayoongea lazima utakuwa umelewa ulevi huo.
 
Back
Top Bottom