Lwaitama, Makwaiya: Israel Commits Genocide?

Lwaitama, Makwaiya: Israel Commits Genocide?

Kuna Dr. Lwaitama na doctor mwingine fulani hivi jina limenitoka pamoja na Makwaiya wa kuhenga channel ten, wanajadili hapa kuwa Israel inatenda makosa ya "mauaji ya kimbari", huyu ni doctor (PHD holder) na huyo mwenzie, nilichojiuliza ni kwamba hivi hajasoma tu hata kwenye wikipedia maana halisi ya genocide?, halafu, hivi kipindi cha je? tutafika cha makwaiya mbona kina harufu sana ya udini fulani hivi siku zote, au ndio channel ten kazi zake?

sisemi wapalestina wanaouawa ni sahihi, ninachoangalia hapa ni kama kuna mtu katoka nje ya nchi anaangalia wasomi wa kitz wanaojadili suala hili halafu wanasema hiyo ni genocide, wakati hakuna hata elements za genocide, labda angesema hizo ni war crimes au mauaji ya halaiki/dhidi ya ubinadamu....sijaelewa wameweka kipindi ili kuponda israel au kuongea hoja.

huyo Dr mwingine ndio anasema waisrael/wayahudi ni wazungu tu walitoka ulaya na nchi nyingine, na anawaita mayahudi sio wayahudi....very hopelss kama wametoka leo kijijini vile.

kuna haja ya kujifunza kuvumiliana tofaut za kimawazo make huyo mnaemponda leo ndo hapa jf alisifiwa sana kwa tukio lake la presicion,siung mkono upande wowote katika mapigano yale kwan mimi ni mwisilam na uzur ninayejua maana na mising ya jihad ya kiislam makund yote kuanzia alqaida mpaka bokoharam hakuna hata moja linalopiagan jihad,ni kuudhalilisha na kuutukanisha uislam dini yenye kuhubili aman
 
Namfahamu vizuri jamaa uwezo wake tumeshakutana nae mara nyingi tu, ukimbana sana anapotea...
ha ha ha,mkuu mijadala kama hii mi sipoteagi kwani na chakula yangu.

Nina capacity ya kwenda kwa wiki nzima nonstop,day and night bila kuchomoka.
 
Stop the genocide!’ S.
American leaders
condemn Israeli
operation in Gaza
The presidents of
Venezuela and Bolivia
have decried the IDF’s
incursion into Gaza as
genocide and called for
the UN to condemn Israel.
President Nicolas Maduro
likened the latest
operation, which has
claimed over 350 lives, to
an “extermination.”
Israel launches ground incursion
in Gaza Strip LIVE UPDATES
Venezuela called for an
emergency session of the UN’s
Human Rights Council to address
Israel’s ongoing military
incursion in Gaza, on Saturday.
The South American nation’s
government reiterated its
support for the Palestinian
people and warned the Israel
had “initiated a higher phase of
its policy of genocide and
extermination with the ground
invasion of Palestinian territory,
killing innocent men, women,
girls and boys.”
“President Nicolas Maduro has
instructed the Ambassador to the
UN Jorge Valera to call for an
emergency session of the Human
Rights Council,” said an official
statement on Saturday, adding
the UN should address the
“systematic violation of the
Human Rights of the Palestinian
population in Gaza by the State of
Israel and adopt the necessary
measures to halt those
violations.”
Venezuela has been a staunch
supporter of Palestinian
statehood, with the previous
president, the late Hugo Chavez,
severing relations with Israel
after he compared its 2009
military incursion into Gaza to
the Holocaust.
“Venezuela also rejects the
cynical campaigns trying to
condemn both parties equally,
when it is clear you cannot
morally compare occupied and
massacred Palestine with the
occupying state, Israel, which
also possesses military
superiority and acts on the
margins of international law.”
Bolivian President Evo Morales
joined with the Venezuelan
leader in condemnation of
Israel’s Operation Protective
Edge. During a visit to Brazil, the
Andean leader said it was high
time something was done “to
end the genocide that Israel is
carrying out on Palestine.”
“There is no UN High Commission
on Human Rights, there is no
Human Rights Council. When an
empire attacks a country with a
view to dominating it,
unfortunately there is no one
who can defend the people,”
said Morales in a statement.
Israel has ‘surpassed Hitler in
barbarism'
Turkish Prime Minister also
rounded on Israel for its Gaza
offensive on Saturday, alleging
the Jewish state had “surpassed
Hitler in barbarism.”
"[Israelis] have no conscience, no
honor, no pride. Those who
condemn Hitler day and night
have surpassed Hitler in
barbarism," Erdogan told
supporters at a political rally in
the Black Sea city of Ordu.
He accused the US government of
taking a “disproportionate”
approach to the conflict and said
the Muslim world had not
reacted strongly enough to the
offensive. Israel has discouraged
its citizens from traveling to
Turkey, citing the current public
mood and the underlying cause
 
Ndugu zangu tuwe makini sana na mambo yanayotokea kwingineko duniani na hata hapa nchini. Hao wachambuzi kwenye hicho kipindi walieleza wazi kuwa ile vita kwa nje imekuwa painted kuonekana kama ni ya kidini ili hali sio ya kidini ni ya kinyang'anyi na kibepari. Wakasema hapo palestina kuna wakristu na wayahudi( bila kujali idadi yao) ambao nao pia wanadhurika na hayo mashambulizi ya israel dhidi ya Palestine. Kwa hiyo tuache udini usio na tija. Sijui dini ya Dr wala yule mwenzake ila si shawishiki kuamini kuwa eti wamekuwa na uelewa mdogo kiasi cha kutojua hiyo historia.
Pia ni muhimu tukubali kuwa hatuwezi kuwa na mtazamo sawa juu ya kila jambo sasa jana Dr alisema.........ukasema hyu ndiye msomi,anaejitambua n.k leo kusema wanachofanya Israel sio sahihi ghafla anashka rank na kuwa kanjanja mwenye njaa,masikini n.k. Kama unampinga leo kwa kile alichokisema mpinge tu kwa hoja kwani sio lazima kila siku ukubaliane na mtu juu ya kila jamabo.
 
Ndugu zangu tuwe makini sana na mambo yanayotokea kwingineko duniani na hata hapa nchini. Hao wachambuzi kwenye hicho kipindi walieleza wazi kuwa ile vita kwa nje imekuwa painted kuonekana kama ni ya kidini ili hali sio ya kidini ni ya kinyang'anyi na kibepari. Wakasema hapo palestina kuna wakristu na wayahudi( bila kujali idadi yao) ambao nao pia wanadhurika na hayo mashambulizi ya israel dhidi ya Palestine. Kwa hiyo tuache udini usio na tija. Sijui dini ya Dr wala yule mwenzake ila si shawishiki kuamini kuwa eti wamekuwa na uelewa mdogo kiasi cha kutojua hiyo historia.
Pia ni muhimu tukubali kuwa hatuwezi kuwa na mtazamo sawa juu ya kila jambo sasa jana Dr alisema.........ukasema hyu ndiye msomi,anaejitambua n.k leo kusema wanachofanya Israel sio sahihi ghafla anashka rank na kuwa kanjanja mwenye njaa,masikini n.k. Kama unampinga leo kwa kile alichokisema mpinge tu kwa hoja kwani sio lazima kila siku ukubaliane na mtu juu ya kila jamabo.
my friend, asikudanganye mtu, gaza yote hakuna myahudi hata wa kusingiziwa. ila kuwa wakristo kadhaa, wachache sana ambao hamas wameingia kwenye makanisa yao majuzi wakaweka kituo cha kurusha rocket ili israel wapige kanisa gaza ipate sympathy. lkn hata wakristo walioko palestina hakuna anayeisapoti palestina. utakayofundishwa huko ni uongo, ukweli ndio huu ninaokwambia. issue hii wao walikuwa wanasema tusiiifanye iwe ya kidini wakati wao kina lwaitama wako biased kidini sana sasa si unaona wanafiki hao? hivi mzee makwaiya wa kuhenga alivyomdini anajadili vitu kidini akikuambia usijadili hii issue kidini wakati wao wanajadili kidini utawaelewa? kwanza kile kipindi chake yafaa kifutwe kabisa hakina faida hapa Tanzania.
 
===============

Ndugu yangu, mimi siyo Mtabiri lakini wape muda hao wanaojikita kuilaumu Israeli.. Muda si mrefu hutawaona tena kwenye uso wa nchi.... Alikwepo Prof Haroub Othman miaka ya nyuma, akitumia TV za Bongo kama hawa wa PhD feki, na maneno hayo hayo ya kibaguzi kuita watu "Mayahudi", leo hii yupo wapi?

Huyo anayesifia wayahudi ndiyo ataishi milele?

Usinifanye nikacheka mie leo!
====
 
my friend, asikudanganye mtu, gaza yote hakuna myahudi hata wa kusingiziwa. ila kuwa wakristo kadhaa, wachache sana ambao hamas wameingia kwenye makanisa yao majuzi wakaweka kituo cha kurusha rocket ili israel wapige kanisa gaza ipate sympathy. lkn hata wakristo walioko palestina hakuna anayeisapoti palestina. utakayofundishwa huko ni uongo, ukweli ndio huu ninaokwambia. issue hii wao walikuwa wanasema tusiiifanye iwe ya kidini wakati wao kina lwaitama wako biased kidini sana sasa si unaona wanafiki hao? hivi mzee makwaiya wa kuhenga alivyomdini anajadili vitu kidini akikuambia usijadili hii issue kidini wakati wao wanajadili kidini utawaelewa? kwanza kile kipindi chake yafaa kifutwe kabisa hakina faida hapa Tanzania.

Muslims pray in
Gaza church as
bombs fall ahead of
Eid
By AFP
Updated Jul 26, 2014 03:46pm
3. Like
13 Comments
Email Print
GAZA CITY: For Gaza resident
Mahmud Khalaf, it was a
bizarre new experience,
prostrating himself for his
daily Muslim prayers beneath
the gaze of an icon of Jesus
Christ.
But since the war in Gaza
began, he has had no choice
but to worship in a Christian
house of God, where he took
refuge after Israeli air strikes
pummelled his neighbourhood
in the north of the Palestinian
territory.
“They let us pray. It's changed
my view of Christians — I
didn't really know any before,
but they've become our
brothers,” said Khalaf, 27, who
admitted he never expected to
perform his evening prayers in
a church.
“We (Muslims) prayed all
together last night,” he said.
“Here, the love between
Muslims and Christians has
grown."
“Walking into the Saint
Porphyrius Church courtyard in
Gaza City, visitors are greeted
with a “marhaban” by
Christian helpers, but with a
decidedly more Islamic “peace
be upon you” (Arabic: al-
salamu aleikum) by most of its
current residents — displaced
Gazans who have made it their
shelter for almost two weeks.
Paramedics in Gaza: Risking it
all
Khalaf, who fled his home in
Shaaf after the area became a
target for Israeli warplanes,
twirls his prayer beads
anxiously, but is relieved to
have found sanctuary
alongside some 500 other
displaced Muslims.
“The Christians took us in. We
thank them for that, for
standing by our side,” he said.
Khalaf has now grown
accustomed to worshipping
on the premises of an alien
religion — a particularly acute
contrast during the fast of the
Muslim holy month of
Ramazan.
Every day he faces Makkah,
whispers Quranic passages
and prostrates himself, as he
would in a mosque. Pastors
and parishioners have been
respectful to their Muslim
guests during Ramazan.
“The Christians aren't fasting
of course, but they're
deliberately avoiding eating in
front of us during the day.
They don't smoke or drink
around us, “Khalaf says.
But he admits it has been
difficult to concentrate on
religious piety during the
bloody and indiscriminate
conflict that has killed more
than 800 Palestinians, most of
them civilians.
“I'm normally an observant
Muslim, but I've been smoking
during Ramazan. I'm not
fasting — I'm too scared and
tense from the war. “
Feast of martyrs
Muslims will no longer have to
fast, as of the Eid festival next
week that ends Ramazan.
But with ongoing
bombardments, hundreds
dead and thousands homeless,
the normally joyous affair is set
to be rather muted.
“Christians and Muslims might
celebrate Eid together here,”
said Sabreen al-Ziyara, a Muslim
woman who has worked at
the church for 10 years as a
cleaner.
“But this year it's not the Feast
of Breaking the Fast (Eid al-Fitr)
- it's the feast of martyrs,” she
said, in respectful reference to
the dead.
It is a harmonious and tolerant
atmosphere, but in the middle
of a battleground, tension is
still felt.
As food provisions arrive,
scuffles nearly break out when
women and children lunge for
the plastic bags containing
bread and water, distributed in
as orderly a fashion as possible
by church helpers.
A pitched argument between
the Greek Orthodox
Archbishop Alexios and a local
helper, apparently over who is
allowed to enter the premises,
heats up against a cacophony
of loud explosions a short
distance away.
The adjacent church cemetery
was hit by mortar shells
Tuesday, with shrapnel
peppering surrounding
buildings.
The bombs do not discriminate
— the Muslim cemetery
opposite was also hit by a
separate shell.
Gaza's Christians have
dwindled in number to around
1,500 out of a predominantly
Sunni Muslim population of 1.7
million.
The Christian community, like
elsewhere in the Middle East,
has been shrinking due to
both conflict and
unemployment.
But the sheer terror of this
shared experience appears to
have fostered the feeling of
brotherhood.
“Jesus said, love your
neighbour, not just your family
but your colleague, your
classmate — Muslim, Shiite,
Hindu, Jewish,” said Christian
volunteer Tawfiq Khader.
“We open our doors to all
people.“
 
kuna haja ya kujifunza kuvumiliana tofaut za kimawazo make huyo mnaemponda leo ndo hapa jf alisifiwa sana kwa tukio lake la presicion,siung mkono upande wowote katika mapigano yale kwan mimi ni mwisilam na uzur ninayejua maana na mising ya jihad ya kiislam makund yote kuanzia alqaida mpaka bokoharam hakuna hata moja linalopiagan jihad,ni kuudhalilisha na kuutukanisha uislam dini yenye kuhubili aman

Wewe siyo mlokole wa kiislam, kahtaan atakuita kafiri akija
 
kabla ya kuniuliza hilo swali, jiulize wewe kwanza Temple Mount (ule msikiti unaogombaniwa), ulijengwa lini na kabla ya kujengwa ule msikiti pale kilikuwepo nini. pia jiulize kuta za hekalu ambazo zimebaki hadi leo baada ya kubomolewa hekalu la suleiman ili umengwe msikiti kwanini hadi leo zipo na waliojenga sinagogi lile walikuwa watu gani. Israel had its rebirth mwaka 1948, lakini kabla ya hapo wayahudi wengi walikuwa wanakaa pale pamoja na kwamba wengi walishatawanyika karne nyingi wakaenda mataifa mengine. ni haki yao kurudi pale. my friend, pale Bethlehem mnapopaita ndio makao makuu ya palestina ndio alizaliwa Yesu myahudi pale, kule Hebron ambako ni westbank ndio mji alijenga Daudi mfalme wa israel pale, kuna makaburi ya absalom pia kule aliyekuwa mtoto wa Daudi mfalme a israel, yapo hadi leo. you have enourmous evidence kuwa ile ardhi ni ya wayahudi.

vilevile, hiyo gaza hata kipindi Yesu hajazaliwa ilikuwa ndogo vilevile na ilikuwa inakaliwa na wapinzani wa waisrael vilevile. ukisoma kwenye biblia utaona watu wanaitwa wafilisti, hawa ndio walikuwa maadui wa israel tangu enzi, hawajaanza leo wala juzi. na mgogoro huo hautakuja kuisha kamwe. Uislam pale holy land umeingia miaka zio mingi baada ya crusades wakristo walipopigwa ndio uislam na waarabu wakatwala kwa mizizi kiasi kile lakini kabla ya hapo ile ilikuwa ardhi ya wakristo waliokuwa wamewatalawala wayuhudi kwa miaka mingi (Warumi/Roman empire) hivyo Arabs ambao ndio wafilisti hawana cha kudai sana pale, isipokuwa kwasababu wapo pale hawana kwa kwenda basi inabidi waishi kwa pamoja kwa two state solution, hata hivyo sasa hamas wanataka kudrive wayahudi wote wakawatupe meditelenean sea sasa unafikiri israel itasubiri tu kuwa wiped out na hamas au iran? naijua israel kuliko unavyoijua wewe kidunia na kibiblia pia. hata Ben Gurio waziri wa kwanza wa israel mwaka 1948 ni mzaliwa wa palepale, sio kwamba kwasababu ardhi ilikaliwa na waarabu walipoona wayahudi wamefukuzwa basi hawakuwepo wayahudi pale nooo wayahudi walikuwepo ila walikuwa wachache. Muda ambao Mungu alishaahidi kuwakusanya wote ulipofika ndipo taifa ambalo lilikuwa limetawanyika likazaliwa tena. huu ndio ukweli hata kama umefundishwa vingine.

Nadhani wewe ndiyo wa kuisoma vizuri hiyo historia ambayo umeelezwa tu na wewe ukakariri hivyo hivyo. Huyo Ben Gurion (na siyo Gurio) ni mzaliwa wa Poland na siyo hapo ambapo hapakuwa na nchi kabla.

Point ni kwamba hayo wayahudi na wafalastini wote walikuwepo hapo kwa karne kadhaa, nashangaa mate yanakutoka kwa kutetea kitu ambacho hata hukielewi (jaribu kugoogle basi!). Hao Warumi pia waliwakuta hao wafilistini na wayahudi. Hilo taifa la wayahudi limeanzishwa na waingereza maana walikuwa wanawaogopa watawasumbua kwa hivyo wakazaa hilo wazo. Na wazo la kwanza ilikuwa kuwaweka Uganda karibu na ziwa victoria (soma historia tafadhali!).

Basi hata siku watakuja wazungu hapa na kusema hii nchi ni yao maana miaka elfu mbili nyuma kuna mzungu alihamia na watu kama akina nyinyi mutachekelea tu.

By the way: hakuna bahari ya meditelenea ni mediterranean.
 
hiyo habari ya magog zilikua na ngano tu za kale,kipindi hicho tawala za eneo hilo zikipigana.haina uhusiano na unabii ujao.huyo magog alikua ni mmoja wa watoto wa japhet.

This is the account of
Shem, Ham and
Japheth, Noah’s sons,
who themselves had
sons after the flood.
The sons of Japheth:
Gomer, Magog, Madai,
Javan, Tubal, Meshech
and Tiras.[3]
“

plagiarist, if you cant paste dont copy
 
palestina praying in church.
_66643923_muslims_in_church.jpg
 
Palestine Supporters Block
Israeli Ship from Docking on
California Coast
Saturday August 16, 2014
20:21 by Celine Hagbard -
IMEMC News
The Israeli cargo ship ‘Zim’ was
set to dock in the Oakland port,
on Saturday morning. But
activists have claimed credit for
an announced delay in the ship’s
docking, and are planning to
stop the ship wherever it tries to
dock.
Logo for Boat Blockade protest
The U.S. activists are following
the lead of trade unionists in
South Africa, who successfully
blocked Israeli ships from
docking on several occasions, to
protest Israeli aggression against
Palestinians and call for a just
and lasting peace.
Activists in Oakland, California are
gathering Saturday to carry out
direct action to stop the ship
from being able to dock at the
port. And, activists in Seattle, WA
and Vancouver, BC are also
planning to blockade scheduled
stops in those ports.
The actions could potentially cost
Israeli exporters millions of
dollars, if their goods are unable
to reach their ports of
destination. The exact products
on board the Zim are unknown,
but they are likely to include
Sodastream, a do-it-yourself
soda-making device that is
manufactured in an Israeli
settlement on illegally-seized
Palestinian land, Ahava dead sea
salts, which are seized from
Palestinian land in violation of
the Dead Sea Agreement, and
Osem brand food products, some
of which are manufactured and
packaged in Israeli settlements
on illegally-seized Palestinian
land, in the West Bank.
In their organizing materials,
protesters say, “Palestine is
calling us to action! Palestinian
laborers [and the] Palestinian
General Federation Trade Union
have called on workers around
the world to refuse to handle
Israeli goods.”
They say that their “Block the
Boat” actions are in response to
a call by the Palestinian General
Federation of Trade Unions,
which calls for people around the
world to “educate and build
awareness among the labor
movements of the U.S., and urge
them to condemn the Israeli
aggression and to boycott
Israel.”
The Oakland action ran into
some complications when the
local branch of the International
Longshore and Warehouse
Union, or ILWU, was unable to
take a public stand in favor of the
action – reportedly because of an
active negotiation between the
union and management. But
individual union members are
supporting the action, and are
part of Saturday’s blockade.
One of the organizers of the
event, Reem Assil of the Arab
Resource and Organizing Center,
told reporters, “Symbolically, for
Oakland we can say, 'Not in our
name!' We’re not going to be
complicit and an accomplice to
the ongoing genocide and
massacres going on.”
 
Naomba maelezo kutoka kwa yeyote anaejua:
1. Je serikali ya palestina ilikuwa inaongozwa na kiongozi(rais, mfalme,sultani,waziri mkuu n.k) aliyeitwa nani (jina) hapo mnamo mwaka 1948 inaposemekana ndipo taifa la Israel lilipoundwa?
2. Hiyo palestina ilishawahi kutawaliwa kabla? Mkoloni aliitwa nani? (i.e. Nchi iliyoitawala palestina) Na ilipata uhuru mwaka gani?
3. Kwa kuwa inaaminika kuwa israel haikuwepo ila iliivamia ardhi ya palestina, je hawa wayahudi walizuka tu hapa duniani? Je hawana ardhi yao ya asili? Kama ipo ardhi yao ya asili, je ni wapi?
4. Kwenye vitabu vya dini, Biblia na Qur'an vyote vinatambua uwepo wa wana wa israel, je, kwa mujibu wa vitabu hivi, hawa wana waisrael walikuwa wanaishi wapi wakati huo? Hilo eneo/ nchi waliyokuwa wanaishi kipindi hicho, lipo hadi leo hii au lilitoweka halipo tena? Naomba nijibiwe kwanza hayo maswali japo ninayo mengine ya ziada.

Mkuu, hakuna majibu ya hayo maswali; ndiyo maana dunia haiwezi kuumaliza huo mgogoro.
 
streaming in from Gaza over
the past few weeks, two
especially painful events have
captured my attention.
The first was the shelling of a
UN school building in Jabaliya,
where a number of families
that had escaped or been
forced to flee their homes had
taken refuge. At least 15
civilians were killed, and
dozens more wounded. Israel
argued they were targeting an
area from which fire had been
directed at Israeli forces.
The second was the bombing
of a bustling market in the
Shuja'iya neighborhood. At a
time of precious few
opportunities for civilians to
safely buy food and other vital
supplies, 16 people were killed
and around 200 were
wounded. Shops, stalls and
merchandise were burned or
destroyed.
Harsh criticism of Israel
followed each incident but --
as in the past -- Israel
defended its actions, arguing
that it was targeting militants
and doing its best to avoid
civilian casualties.
I served as a crew commander
in the Israeli artillery corps at
the beginning of the Second
Intifada, and I feel compelled
to counter this claim from
Israel. The images, evidence
and army reports from recent
operations in Gaza -- of more
than 1,900 deaths (a number
which will likely increase by
the time you read this) and a
large amount of the
population left without shelter
-- show that Israel has
deployed massive artillery
firepower. Such firepower is
impossible to target precisely.
Artillery fire is a statistical
means of warfare. It is the
complete opposite of sniper
fire. While the power of
sharpshooting lies in its
accuracy, the power of artillery
comes from the quantity of
shells fired and the massive
impact of each one.
In using artillery against Gaza,
Israel therefore cannot
sincerely argue that it is doing
everything in its power to
spare the innocent.
The truth is artillery shells
cannot be aimed precisely and
are not meant to hit specific
targets. A standard 40
kilogram shell is nothing but a
large fragmentation grenade.
When it explodes, it is meant
to kill anyone within a 50-
meter radius and to wound
anyone within a further 100
meters.
Furthermore, the humidity in
the air, the heat of the barrel,
and the direction of the wind
can all cause unguided shells
to land 30 or even 100 meters
from where they were aimed.
That is a huge margin of error
in somewhere as densely
packed as Gaza.
The imprecision of this
weaponry is so great that
Israeli forces are compelled to
aim at least 250 meters away
from friendly troops to ensure
their safety -- even if those
troops are sheltered. In
military terms, this distance is
called the "safe range of fire."
In 2006, when shelling was
first used against the Gaza
Strip, the "safe range of fire"
for Palestinian civilians was
reduced from 300 to just 100
meters. Shortly afterwards, a
stray shell landed inside the
home of the Ghabeen family in
Beit Lahiya, killing a young girl,
Hadeel, and wounding other
members of her family.
In response to this and similar
tragedies, human rights
organizations appealed to the
Israeli High Court of Justice to
cease this lethal practice, and
in June 2007 the Attorney-
General announced that no
more artillery fire was to be
used in the Gaza Strip.
But just a few years later,
during Operation Cast Lead,
extensive artillery fire was
again aimed at the heart of the
Gaza Strip. And up until the
recent ceasefire, throughout
Operation Protective Edge,
Israel has fired thousands of
artillery shells into Gaza --
causing intolerable harm to
civilians and widespread
destruction, the extent of
which will only be fully
exposed when the fighting
ceases.
It's true that in at least some
cases, the army has informed
civilians of its plans to attack a
certain area and advised them
to leave. But this in no way
excuses the excessive damage
and huge toll on civilian lives.
I write this with great sorrow
for civilians hurt on both sides.
Sorrow for our soldiers who
have fallen in this operation,
and sorrow for the future of
my country and the entire
region. I know that as I write,
soldiers like me have fired
shells into Gaza.
They had no way of knowing
who or what they would hit.
Faced with so many innocent
casualties, it is time for us to
state very clearly: this use of
artillery fire is a deadly game of
Russian roulette. The statistics,
on which such firepower
relies, mean that in densely
populated areas such as Gaza,
civilians will inevitably be hit as
well. The IDF knows this, and
as long as it continues to use
such weaponry, it will be hard
to believe when it claims to be
minimizing civilian deaths.
As a former soldier and an
Israeli citizen, I feel compelled
to ask today: have we not
crossed a line?
Idan Barir served in the Israeli
artillery corps during the
Second Intifada and is a
member of Breaking the
Silence
2 t
c ALSO ON HUFFINGTON POST
THE BLOG
Gaza Offensive 2014
Tap To Read This Story
 
tangu lini mfuasi wa allah ukaelewa Holy Bible, mtume wenu alisema mtuulize wewe unajifanya kujua

Mnadanganywa na Mapadri kuwa nyie ndio wenye kuijua BIBI LIA kumbe akili kuambiwa tu matokeo yake mnashikishwa ukuta kwa jina la bwana na nyie kwa akili zenu nyingi mnadhani kuwa mnabarikiwa kwa njia ya mkato.

Such a morons.

Bibi lia ni kitabu cha imani chenye matusi dunia haijawahi kuona.


Hakuna kitabu cha imani chochote chenye kutaja mapu.mbu ispokuwa hiki.
Soma hapa uone namna muandishi wake alivyo bangi!

Halafu mungu wako anabagua WALEMAVU.

MAMBO YA WALAWI 21

20-au aliye na kijongo, au aliye kibeti, au aliye na kilema cha jichoni, au aliye na upele, au mwenye buba, au ALIYEVUNJIA MAPU.MBU.

21-mtu awaye yote aliye na kilema asikaribie kuzisongeza sadaka za Bwana kwa njia ya moto; ana kilema huyo asikaribie kusongeza chakula cha Mungu wake.-

BIBLIA INASEMA WALEMAVU NI NUKSI! Wasikaribue kusogeza CHAKULA CHA MUNGU WA BIBLIA.

Sasa sijui huo mungu wenu hicho chakula chake mpishi ni PENGO?
AU wewe mpika Gongo
 
hahahaha, poleni sana mtatoka povu lakini israel ndio inazidi kujijenga. Mungu ibariki Israel na wayahudi wote...
 
Back
Top Bottom