Lwaitama, Makwaiya: Israel Commits Genocide?

Lwaitama, Makwaiya: Israel Commits Genocide?

nilichotaka kuonyesha hapa ni kuwa roket inatumika as symbol of resistance,na wanaoyarusha wanajua kuwa uwezo wake wa kuarchiave direct hit ni mdogo sana.japo najua wangekuwa na silaha kubwa wangezitumia kwani wanaresist occupation na njia ya mazungumzo imefeli.

hivi unajua maana ya SYMBOL au unaandika tu?
 
ahsante mkuu, umejibu vyema. Kiongozi wa Hamas ni raia wa Qatar, rais wa Palestina ni mzaliwa wa Misri

Mashal was born in 1956 in
Silwad in the West Bank during
the Jordanian occupation.[2] He
attended Silwad Elementary
School until the 1967 Six-Day
War. His father moved the
family to Kuwait afterwards for
financial reasons. Mashal joined
the Muslim Brotherhood in
1971.[1] Mashal earned a
bachelor of science degree in
Physics from Kuwait University
 
hakuna ushahidi wa Biblia kubadilishwa, huo ni uongo wa misikitini kwenu tu.

Koran ndo ina UBADILISHWAJI ambao marehemu Mwamedi alikiri, na AISHA alikiri verses zingine zililiwa na mbuzi

Pia jiulize uongo wa Uturuki (mfadhili Mkuu wa HAMAS) kusema wamegundua Biblia tofauti bila kusema ni vitabu gani

danganya wajinga Elungata siyo sisi

cc: kahtaan, FaizaFoxy
ooh,ndo maana umenijia na mahasira kumbe nimegusa bibilia.ha ha ha,mkuu wewe ni extremist.

Hebu nambie tofauti ya king james bible version na New king james bible version.
Pia american version bible.
Bibilia imeandikwa na watu hamna haja ya kupandisha pressure huo ndo ukweli.
 
Last edited by a moderator:
Lweitama hata useme nini, Waizrael hawatawanyiki tena, watakaa hapohapo hata mfanye nini

Ezekel 37:21
21 Ukawaambie, Bwana MUNGU asema hivi; Tazama, nitawatwaa wana wa Israeli toka kati ya mataifa walikokwenda, nami nitawakusanya pande zote, na kuwaleta katika nchi yao wenyewe;
22 nami nitawafanya kuwa taifa moja katika nchi hiyo, juu ya milima ya Israeli; na mfalme mmoja atakuwa mfalme wao wote; wala hawatakuwa tena mataifa mawili, wala hawatagawanyikana kuwa falme mbili tena, hata milele.

cc Kiranga Free ideas.
 
Last edited by a moderator:
lakini bado wametawinyika mpaka sasa,hata mwenye google ni mrusi myahudi bado ametawanyikia marekani.

Hayo yalikua maneno ya ezekiel na si mungu kama unavyoamini.
Hata kipindi cha yesu hilo eneo lilikua utumwani mwa warumi na wayahudi wakingojea masiha aje kuwakomboa toka utumwani na kuwa mfalme wao atakaeunganisha waisrael kama taifa.ilikua ni imani ambayo ilibadilishwa ikawa ya kidini wakati haikuwa.yesu alipokuja alidai yeye ndo mfalme wa wayahudi,japo hawakumuamini na hatimae wakamsulubu.
Kabla yesu hajakamatwa aliwambia watu wake kuwa atarudi na kuwa mfalme wao na kuwa katika wale wakimsikiliza atawakuta bado wapo hai na watatawala pamoja.
Sasa kuna wajanja walikuja wakaspin maneno ndo ikawa imezaliwa imani hiyo.
Lakini kinachosemwa ni unabii actualy sio hata unabii.
 
Last edited by a moderator:
Jesus, a great teacher,
considered himself to be the
long-awaited Messiah for the
Jews. He believed that God would
overthrow Rome and bring His
kingdom to earth. In preparation
for this, Jesus taught a message
of unconditional love, tolerance,
and non-judgmental acceptance
of everyone. Alas, Jesus’ mission
of inaugurating a new earthly
age failed when the Romans
crucified him.
Jesus’ followers, believing that
God had raised their rabbi from
the dead, continued to meet in
Jerusalem under the leadership
of James, Jesus’ brother. Their
intention was to await the still-
coming kingdom and continue
observing Jesus’ brand of
enlightened Judaism. But along
came Saul of Tarsus, who faked a
conversion in order to infiltrate
the church. Peter and James and
others who had actually known
Jesus were suspicious of Saul,
who had never met Jesus.
Then Saul, who started calling
himself “Paul,” had a stroke of
genius. He artfully combined
traditional Hebrew ideas with
those of pagan Greek philosophy,
creating a new religion that
could appeal to both Jews and
Gentiles. He began preaching that
Jesus was actually God, that
Jesus’ death was linked to the
Jewish system of sacrifice, that
one could be saved by simply
believing, and that the Mosaic
law was obsolete. Paul’s zealous
missionary activity and
persuasive writings took his new
“gospel” around the Roman
Empire. The Jerusalem Church,
including Peter and James,
disowned Paul as a heretic and
cult leader.
After the destruction of
Jerusalem in A.D. 70, the Jewish
Church lost authority, but the
Gentile Church founded by Paul
increased its influence. One of
Paul’s fervent followers wrote the
book of Acts, which gave Paul
legendary status with its glowing
portrayal of him as the hero of
the church. Later, four unknown
writers gathered scraps of
information about Jesus and
wrote books they called
“Matthew,” “Mark,” Luke,” and
“John”—but Paul’s theology,
already dominant in the church,
tainted the writers’ perspective.
Thus, Paul’s religion won out
over Jesus’ religion.
In short, Paul was a charlatan, an
evangelical huckster who
succeeded in twisting Jesus’
message of love into something
Jesus himself would never
recognize. It was Paul, not Jesus,
who originated the “Christianity”
of today.
 
hakuna ushahidi wa Biblia kubadilishwa, huo ni uongo wa misikitini kwenu tu.

Koran ndo ina UBADILISHWAJI ambao marehemu Mwamedi alikiri, na AISHA alikiri verses zingine zililiwa na mbuzi

Pia jiulize uongo wa Uturuki (mfadhili Mkuu wa HAMAS) kusema wamegundua Biblia tofauti bila kusema ni vitabu gani

danganya wajinga Elungata siyo sisi

cc: kahtaan, FaizaFoxy

Wewe ndo hata biblia hujui soma utangulizi utajua "na nukuu ; na kazi ya kuiandika biblia haikuwa ndogo maana kuna majina zaidi ya elfu 3 ilibidi yaangaliwe upya,tulipunguza ya kupunguza na kuongeza ya kuongeza na majina ya watu na miji pia ilibidi yafikiriwe upya .....sasa hili ni tabu ni uchafu
 
Last edited by a moderator:
ooh,ndo maana umenijia na mahasira kumbe nimegusa bibilia.ha ha ha,mkuu wewe ni extremist.

Hebu nambie tofauti ya king james bible version na New king james bible version.
Pia american version bible.
Bibilia imeandikwa na watu hamna haja ya kupandisha pressure huo ndo ukweli.

we unayesema ziko tofauti ndo uoneshe, nami nitaweka ushahidi wa utofauti wa Koran za Kiswahili mbili na Kiingereza
 
Wewe ndo hata biblia hujui soma utangulizi utajua "na nukuu ; na kazi ya kuiandika biblia haikuwa ndogo maana kuna majina zaidi ya elfu 3 ilibidi yaangaliwe upya,tulipunguza ya kupunguza na kuongeza ya kuongeza na majina ya watu na miji pia ilibidi yafikiriwe upya .....sasa hili ni tabu ni uchafu

Hata Dar zamani ilikuwa Mzizima ewe binti

uzuri ni kuwa kwenye primary manual of terrorism mwamedi mwenyewe kakiri kudanganywa na shetani, so Koran is inspired by satan
 
that is not the case,hata wangoni wameacha makaburi ya babu zao africa kusini lakini haiwapi haki ya kurudi huko kudai ardhi.

Azimio la balfour lilikta azimio la kitapeli na ndo lileta vita na mambo haya mpaka leo hii.karudie kusoma tena declaration ya balfour uone jinsi utapeli ulitumika kuisimika israel mashariki ya kati.
Uzi mtamu huu kama una kifua cha kusoma kila comment kutokana na maswali ya uchokonozi na mwisho wa siku tunajifunza kitu
 
we unayesema ziko tofauti ndo uoneshe, nami nitaweka ushahidi wa utofauti wa Koran za Kiswahili mbili na Kiingereza

kwani ukiweka utofauti wa quran ndo umesolve nini mkuu?.
Unaanza kuniblackmail eeh?..
Actually bible inajicontradict yenyewe na kama umesoma hapo juu kumbe hata kwenye utangulizi wameweka wazi kuwa walibadili na kuongeza maneno walivyoona inafaa.
 
Hata Dar zamani ilikuwa Mzizima ewe binti

uzuri ni kuwa kwenye primary manual of terrorism mwamedi mwenyewe kakiri kudanganywa na shetani, so Koran is inspired by satan

calm down calm down.
 
calm down calm down.

its just am watching live soccer match, EPL IS BACK

Its just unfortunate that am chatting with a stiff necked dunderhead whose intetion is to twist the reality, following the footsteps of MWAMEDI (The Anti~Christ)
 
arafat amezaliwa uhamishoni cairo japo kwao babake ni gaza na kwao mamake ni jerusalem.
Arafat was born in Cairo, Egypt.
[7] His father, Abdel Raouf al-
Qudwa al-Husseini, was a
Palestinian from Gaza, whose
mother, Yasser's paternal
grandmother, was Egyptian.
Arafat's father battled in the
Egyptian courts for 25 years to
claim family land in Egypt as
part of his inheritance but was
unsuccessful.[8] He worked as
a textile merchant in Cairo's
religiously mixed Sakakini
District. Arafat was the second-
youngest of seven children and
was, along with his younger
brother Fathi, the only
offspring born in Cairo. His
mother, Zahwa Abul Saud, was
from a Jerusalem-based family.
She died from a kidney ailment
in 1933, when Arafat was four
years of age.[9]
Arafat's first visit to Jerusalem
came when his father, unable
to raise seven children alone,
sent him and his brother Fathi
to their mother's family in the
Moroccan Quarter of the Old
City. They lived there with their
uncle Salim Abul Saud for four
years. In 1937, their father
recalled them to be taken care
of by their older sister, Inam.
Arafat had a deteriorating
relationship with his father;
when he died in 1952, Arafat
did not attend the funeral, nor
did he visit his father's grave
upon his return to Gaza.
Arafat's sister Inam stated in an
interview with Arafat's
biographer, British historian
Alan Hart, that Arafat was
heavily beaten by his father for
going to the Jewish quarter in
Cairo and attending religious
services. When she asked
Arafat why he would not stop
going, he responded by saying
that he wanted to study Jewish
mentality.[9]
 
kwani ukiweka utofauti wa quran ndo umesolve nini mkuu?.
Unaanza kuniblackmail eeh?..
Actually bible inajicontradict yenyewe na kama umesoma hapo juu kumbe hata kwenye utangulizi wameweka wazi kuwa walibadili na kuongeza maneno walivyoona inafaa.

Ninachofanya ni philosophy ya AGANO LA KALE ya JINO KWA JINO, if you attack then i hit back strongly

YESU atanisamehe kwa philosophy ya AKUPIGAYE SHAVU LA KUSHOTO MGEUZIE LA KULIA
 
Elungata, unajua maana ya uraia? Aina za uraia?
najua unataka kusema uraia wa arafat wa kuzaliwa ni misri.

Kwanza sioni point ya kumsemea arafat kwanza ni marehemu,pili chama chake hakikua peke yake katika kupigania palestine.
Tatu wazazi wake ni wapalestine wa kuzaliwa.
Nne sheria ya uraia wa kuzaliwa inaruhusu kuukana,mfano balozi wa tanzania nchini marekan akizaa mtoto huko huyo mtoto si lazima awe mmarekani.
Tano,wayahudi waliokwenda kuanzisha israel karibu wote ni kizazi kilichozaliwa nje ya eneo hilo wao na wazazi na hata babu zao.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom