Lwaitama, Makwaiya: Israel Commits Genocide?

Lwaitama, Makwaiya: Israel Commits Genocide?

dah hivi kwanini waarabu wanawadanganya sana hawa ndgugu zetu? mzee azusa msaidie uyo jamaa aelewe basi.

We usie na elimu na hao wenzako nimekuwekeeni link hapo ili mpate kujifunza japo kidogo.
Sio kila kitu mpaka mfuate mapadri wanavyosema.

Hivi mtakua akili kuambiwa mpaka lini??

Someni Historia nyie makafiri ili mpate kujua ukweli.

Nakuwekea tena hapa link ili wewe na makafiri wengine wapate elimu japo kidogo.
Msijekufa hamna hata kidogo.

http://www.ifamericansknew.org/history/

In the 19th century the land of Palestine was inhabited by a multicultural population – approximately 86 percent Muslim, 10 percent Christian, and 4 percent Jewish – living in peace.

Zionism

In the late 1800s a group in Europe decided to colonize this land. Known as Zionists, they represented an extremist minority of the Jewish population. Their goal was to create a Jewish homeland, and they considered locations in Africa and the Americas, before settling on Palestine.


At first, this immigration created no problems. However, as more and more Zionists immigrated to Palestine – many with the express wish of taking over the land for a Jewish state – the indigenous population became increasingly alarmed. Eventually, fighting broke out, with escalating waves of violence. Hitler's rise to power, combined with Zionist activities to sabotage efforts to place Jewish refugees in western countries, led to increased Jewish immigration to Palestine, and conflict grew.

UN Partition Plan

Finally, in 1947 the United Nations decided to intervene. However, rather than adhering to the principle of “self-determination of peoples,” in which the people themselves create their own state and system of government, the UN chose to revert to the medieval strategy whereby an outside power divides up other people’s land.


UN Plan of Partition

Under considerable Zionist pressure, the UN recommended giving away 55% of Palestine to a Jewish state – despite the fact that this group represented only about 30% of the total population, and owned under 7% of the land.

1947-1949 War

While it is widely reported that the resulting war eventually included five Arab armies, less well known is the fact that throughout this war Zionist forces outnumbered all Arab and Palestinian combatants combined – often by a factor of two to three. Moreover, Arab armies did not invade Israel – virtually all battles were fought on land that was to have been the Palestinian state.

Finally, it is significant to note that Arab armies entered the conflict only after Zionist forces had committed 16 massacres, including the grisly massacre of over 100 men, women, and children at Deir Yassin. Future Israeli Prime Minister Menachem Begin, head of one of the Jewish terrorist groups, described this as “splendid,” and stated: “As in Deir Yassin, so everywhere, we will attack and smite the enemy. God, God, Thou has chosen us for conquest.” Zionist forces committed 33 massacres altogether.

By the end of the war, Israel had conquered 78 percent of Palestine; three-quarters of a million Palestinians had been made refugees; over 500 towns and villages had been obliterated; and a new map was drawn up, in which every city, river and hillock received a new, Hebrew name, as all vestiges of the Palestinian culture were to be erased. For decades Israel denied the existence of this population, former Israeli Prime Minister Golda Meir once saying: “There is no such thing as a Palestinian.”


1967 Occupation
more maps

1967 War & USS Liberty

In 1967, Israel conquered still more land. Following the Six Day War, in which Israeli forces launched a highly successful surprise attack on Egypt, Israel occupied the final 22% of Palestine that had eluded it in 1948 – the West Bank and Gaza Strip. Since, according to international law it is inadmissible to acquire territory by war, these are occupied territories and do not belong to Israel. It also occupied parts of Egypt (since returned) and Syria (which remain under occupation).

Also during the Six Day War, Israel attacked a US Navy ship, the USS Liberty, killing and injuring over 200 American servicemen. President Lyndon Johnson recalled rescue flights, saying that he did not want to "embarrass an ally." (In 2004 a high-level commission chaired by Admiral Thomas Moorer, former Chairman of the Joint Chiefs of Staff, found this attack to be “an act of war against the United States,” a fact few news media have reported.)


NA HAPA MWISHO MSIKILIZE MTOTO WA JEWISH ARMY GENERAL ANASEMA NINI KUHUSU ISRAEL.

Watch "Miko Peled Son of General in Israel Army in Seattle." on YouTube - Miko Peled Seattle. Oct. 1, 2012: http://youtu.be/TOaxAckFCuQ

Na pia ALIYEKUWA RAIS WA AMERICA nini anasema kuhudu hao makafiro wa kiyahudi wanaua watoto wasio na hatia.

Watch "Jimmy Carter unveils truth about Israel" on YouTube - Jimmy Carter unveils truth about Israel: http://youtu.be/uvtC_qzHVM4
 
Tatizo la mleta mada ametanguliza udini, anarefaa biblia tuuuuuu….hatumii akili kutambua watu wazima watoto wanawake wanauwawa ndani ya nyumba zao…! wamekaliwa kwa mabavu, mungu gani aliite taifa teule liue watu wengine!!!!
 
hajui kabisa historia ya palestina huyo mwenye shati la draft. kamwaiya ndio kabisaa, sijui amesoma hadi langapi?

We ndio unajua historia ya Palestine?

Hili ndio tatizo la kula nguruwe viporo.
Matokeo yake unaathirika bila kujijua.

Mtu km wewe hata huko kusoma kwenyewe ni too late.

The wise man use to say "you can't teach an old Dog a new Tricks"

Sasa wee baki na huo uozo kichwa kwako usubiri malaika mtoa roho tu akupitie biashara iishe.
 
hahahaha, poleni sana mtatoka povu lakini israel ndio inazidi kujijenga. Mungu ibariki Israel na wayahudi wote...

Usijichekeshe km kuna mchungaji amekutekenya au kukutoa pepo.

Nimekuweke EVIDENCE Hapo juu ya MTOTO wa Jewish Army GENERAL alieongea UKWELI kuhusu Jeshi lao linavyoua wapalestina BILA KOSA LOLOTE.

We mswahili ambae maisha yako hujavuka Border na mwalimu wako ni Google kweli kuna kitu utakiandika hapa kiwe na mashiko?

Akilini mwako unadhani eti na wewe ni myahudi na hali ukijua kabisa kuwa Wayahudi hawana makalio Meusi!

Pili hao unaowapigia vigelegele ndio hao hao waliomfanyia kampeni mungu wako wakamvua nguo na kumtundika msalabani.

Na huna habari kuwa dada zenu weusi kutoka Africa wakifika huko kwenye taifa teule la waliberali wanachomwa sindano za KUFUNGA UZAZI ili watu wenye ngozi nyeusi wasiongezeke kwa hao mabwana zenu.
Na wengine walipojaribu kukataa WAKALAZIMISHWA.

Ushahidi huu hapa.

http://www.independent.co.uk/news/w...opian-jews-without-their-consent-8468800.html

By-ALISTAIR DAWBER

Sunday 27 January 2013

Israel has admitted for the first time that it has been giving Ethiopian Jewish immigrants birth-control injections, often without their knowledge or consent.

The government had previously denied the practice but the Israeli Health Ministry’s director-general has now ordered gynaecologists to carry on administering the drugs. According a report in Haaretz, suspicions were first raised by an investigative journalist, Gal Gabbay, who interviewed more than 30 women from Ethiopia in an attempt to discover why birth rates in the community had fallen dramatically.

One of the Ethiopian women who was interviewed is quoted as saying: “They [medical staff] told us they are inoculations. We took it every three months. We said we didn’t want to.” It is alleged that some of the women were forced or coerced to take the drug while in transit camps in Ethiopia.

The drug in question is thought to be Depo-Provera, which is injected every three months and is considered to be a highly effective, long-lasting contraceptive.

Viumbe msio na Elimu km Nyie mnaweza kuuza hata wazazi wenu na watoto wenu kwa hawa wauwaji kwa maslahi kidoogo kabisa.

Ndio maana hata yesu mkamgawa kwa hawa watu ili asulubiwe japo yeye mwenyewe alikuwa hataki.
 
hahahaha, poleni sana mtatoka povu lakini israel ndio inazidi kujijenga. Mungu ibariki Israel na wayahudi wote...



MONDAY, APRIL 30, 2012

Muslims claim that Jesus was only sent for the lost sheep of Israel, Mna ushahidi wowote kutoka katika Bible?

Hebu tumuulizw yesu je amekuja kwa ajili ya watu km wewe!

Fuatana na mimi km una jeuri ya kutaka kufahamu ukweli.


Biblia inasema, Yesu ni mtume kwa waisraili

Ushahidi uko mwingi sana katika biblia, lakini tutafafanua kidogo.

Yesu akaondoka huko, akaenda kando pande za Tiro na Sidoni. Na tazama, mwanamke Mkananayo wa mipaka ile akatokea, akampazia sauti akisema, Unirehemu, Bwana, Mwana wa Daudi; binti yangu amepagawa sana na pepo.-
Wala yeye hakumjibu neno. Nao wanafunzi wake wakamwendea, wakamwomba, wakisema, Mwache aende zake; kwa maana anapiga kelele nyuma yetu. Akajibu, akisema, Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli. Naye akaja akamsujudia, akisema, Bwana, unisaidie. akajibu, akasema, Si vema kukitwaa chakula cha watoto na kuwatupia MBWA!
Akasema, Ndiyo, Bwana, lakini hata mbwa hula makombo yaangukayo mezani za bwana zao. Ndipo Yesu akajibu, akamwambia, Mama, imani yako ni kubwa; na iwe kwako kama utakavyo. Akapona binti yake tangu saa ile.Mathayo 15.21-28

Kwa maneno yasiotatanisha Yesu Kristo anasema kuwa yeye hakutumwa ila kwa "kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli." Hakuwajia Waarabu, wala Wazungu, wala Wahindi, wala Waafrika, wala Machina.

Kama hayo hayakutosha kuonyesha kuwa yeye hakuwajia wasio Mayahudi anazidi kufahamisha kwa mfano wa kumkata mtu kiu: Si vema kukitwaa chakula cha watoto na kuwatupia mbwa."

Ikiwa ipo shaka yo yote katika akili ya mtu kuwa maana ya maneno hayo ni kuwa Yesu anasema kuwa hakutumwa kwa kabila nyengine zo zote ila Waisiraili tu na atazame mwenye shaka tafsiri kubwa kabisa ya Wakristo inayoeleza maana wazi maneno ya Biblia,-The Interpreter's Bible, sahifa 441 jalada VII ambamo imeandikwa hivi:-"Yaonekana wazi kuwa Yesu hakika aliamini kuwa ujumbe wake kwanza na khasa ni kwa watu wake mwenyewe."Ndio maana alisema:-
Msiwape mbwa kilicho kitakatifu, wala msitupe lulu zenu mbele ya nguruwe, wasije wakazikanyaga chini ya miguu yao, wakageuka na kuwararua.Mathayo 7.6

Mbwa na nguruwe ni watu wa mataifa yasiyokuwa wana wa Israili.
Na mfano mzuri ni wewe AZUSA STREET Ukristo haufai kufundishwa watu wo wote isipokuwa Mayahudi.

Hayo ndiyo mawazo ya Yesu, au ya hao walioandika Injili na wakatia maneno hayo kinywani mwa Yesu. Kama asemavyo Isaac Asimov katika kitabu chake Guide to the Bible-(Uwongozi kwa Biblia):-

"Suala liliopo ni nani hao mbwa na nguruwe wnaokusudiwa katika mstari huu? Yaweza kuwa maana ya mstari huu ni kuwa haifai kufunza ukweli wa dini kwa wale wasiotubu katika kejeli zao, au wale waliozama katika madhambi, lakini hayo hayaelekei kabisa. Basi mtu amfundishe nani? Wale waliokwisha amini? Yesu mwenyewe anakanya hayo, kwani aliposhutumiwa kuwa anachanganyika na wenye dhambi ananukuliwa kusema:Wenye afya hawahitaji tabibu, bali walio hawawezi.Mathayo 9.12

"Upande mwengine, huku kutaja mbwa na nguruwe huweza kuwa ni maneno aliyoyachagua Mathayo kulipa nguvu wazo lake kuwa isifanywe juhudi kubwa kueneza mafunzo ya Yesu miongoni mwa Mataifa mengine. Labda ni nadhari ya Mathayo kuwa ipo khatari kubwa ya hayo Mataifa kuudhika na juhudi za kutaka kuwatanasarisha na kwa hivyo wakawatesa Wakristo; itakuwa ndio 'watageuka na kuwararua'.Na hayo kwa hakika waliwahi kuyafanya.
Yaweza kuwa aliona kuwa yale Mataifa yaliyoukubali Ukristo bila ya kuijua Sharia ya Musa yangeweza kuyavuruga mafunzo ya Yesu: 'na kuyakanyaga chini ya miguu yao.'"

Na juu ya kauli ya Yesu : "Si vema kukitwaa chakula cha watoto na kuwatupia mbwa," Asimov anasema:-
"Hapa Mathayo kwa uwazi anatuletea Yesu ambaye kazi yake ni ndani ya mipaka ya uwananchi wa Kiyahudi tu."

Tukiendelea na isemavyo Biblia juu ya ujumbe wa Yesu tunapata ushahidi zaidi kutokana na Injili ya Mathayo:-
Hao Thenashara Yesu aliwatuma, akawaagiza, akisema, Katika njia ya Mataifa msiende, wala katika mji wo wote wa Wasamaria msiingie. Afadhali shikeni njia kuwaendea kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli.Mathayo 10.5-6

Hao Thenashara (12) ni wanafunzi wake kumi na mbili aliowateua mwenyewe Yesu kutangaza mafunzo yake.
Hapo anawapa amri zilizo wazi kuwa wasiwaendee watu wa Mataifa, yaani wasiokuwa Waisraili. Hao wanafunzi kumi na mbili ndio wanaoitwa katika Biblia "mitume" kwa kuwa walitumwa na Yesu. Na wao kama yeye mwenyewe hawakutumwa ila kwa "kondoo waliopotea wa Israel" kwani "si vema kukitwaa chakula cha watoto na kuwatupia mbwa."

Kwa nini Yesu alisema maneno kama haya ya kukataa na kukataza kuwafunza dini ila Waisraili tu? Kwa nini alitumia mifano mibaya kama hivyo "mbwa" na "nguruwe" kwa kuwakusudia hao watu wengine wasio Mayahudi, yaani ndio mimi na wewe mwenzangu? Wataalamu wa Kikristo na wasio Wakristo wamestaajabishwa na maneno hayo.
Ni maneno machache katika aliyoyasema Yesu ambayo yamewatatiza wasomaji Wakristo kuliko maneno haya.

Wapo wanaoona kuwa Yesu alitumia matusi yale kuwaita wote wasio Mayahudi kufuata mwenendo wa Kiyahudi, yaani ndio hivyo Mayahudi wawaonavyo binaadamu wote wasio kuwa wao. Na wapo wasemao kuwa Yesu akipenda kufunza kwa mifano, na hivyo anafananisha kama kwamba yeye anaamini hiyo imani mbovu ya Kiyahudi ya kudharau watu wasiokuwa kabila yao.
Na wapo wengine kama Asimov ambao wanaona maneno yale ni ya Mathayo, na yeye Mathayo (au ye yote yule aliyeandika Injili hiyo) kamuambatisha nayo Yesu maneno hayo, kwa kuwa yeye mwandishi alikuwa Mkristo wa kabila la Kiyahudi na anacho kiburi cha Kiyahudi.

Ama kusema kuwa hakutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa Israeli inaonekana kama kilivyosema kitabu cha The Interpreter's Bible kuwa Yesu hakika kwanza aliamini kuwa alitumwa kwa Waisraili tu. Ni jambo la kustaajabisha kuwa Mungu au Mwana wa Mungu aje duniani atumwe na kwanza asiujue utumwa wake ila aamini tu kuwa katumwa kwa watu wake wa Kiyahudi basi. Na kama yeye ni Mungu au Mwana wa Mungu, katumwa na nani? Kama katumwa na Mungu, basi yeye si Mungu. Si hilo tu, bali hata akiwa ni Nabii na Mtume wa Mungu tunamtaraji aujue tangu mwanzo huo ujumbe wake aliokuja nao, asiwe kutapatapa, kupapasa, na kuhangaika katika jambo la msingi.

Hapana haja ya kuyatafutia tafsiri hii na maana hii, hayo maneno yaliyo wazi ya Yesu Kristo. Yesu hakika hakutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli. Yesu hakika kawakataza "mitume" wake wasende kuwahubiria mataifa mengine. Yesu ni kweli kaonya kuwa kuwafundisha mafunzo yake hayo mataifa mengine ni sawa sawa na kuwapa mbwa kilicho kitakatifu, na kuwatupia lulu nguruwe. Kwa nini ikawa hivi? Ikiwa Yesu kweli katumwa na Mungu, kwa nini ujumbe wake uwekewe mipaka kwa jamaa zake tu wa Kiisraili, na yeye asikiuke mipaka ile? Naam, zipo sababu zenye nguvu kwa hayo.

Kwa hakika hayo hayakuwa mageni, wala Yesu hakuwa Mtume wa mwanzo kutumwa hivyo na Mwenyezi Mungu. Mitume wote waliokwisha kuja kabla yake walikuwa ni Mitume wa vikundi vyao tu, na zama zao tu, na walikuja na mafunzo yao maalumu machache. Musa alikuwa hivyo, na Yesu hali kadhaalika. Hali yake hali ya wenziwe, ila yeye alikuwa ndiye Mtume wa mwisho katika Mitume waliotumwa kwa kabila maalumu. Kwa nini Mwenyezi Mungu akafanya hivyo?

Kwa nini Yesu alikatazwa, mathalan, asiwahubirie yeye wala wafwasi wake, Waafrika, au Wazungu, au Wahindi, au Machina, au Waarabu? Amekatazwa kwa sababu kabila zote hizo zilikuwa hata hazijachukua khatua ya mwanzo ya kuamini Mungu Mmoja. Kabila hizo na mataifa hayo yalikuwa makafiri ama wa kuabudu masanamu, au kuabudu mapango au miti au viumbe vyengine au kuabudu wanaadamu wenzao. Na ujumbe wake Yesu ni kutengeneza mwenendo, tabia ya watu ambao tangu hapo wanayo imani ya Mungu mmoja. Yeye hakuwa na uwezo wala muda wa kujenga tangu chini. Yeye kazaliwa katika umma wenye kuamini Mungu Mmoja, umma wenye sharia ya Mwenyezi Mungu. Kazi yake kwa muda mchache alioishi na kuhubiri ni kiasi ya kuwapiga msasa tu Mayahudi ambao walikwisha tahiriwa, wanajua cha halali na haramu, na muhimu kabisa wanamjua Mwenyezi Mungu Mmoja, asiyezaa wala kuzaliwa. Ila yao Mayahudi ni kutokuwa na huruma, na kuifanya dini sharia tu isiyo na roho na imani. Mayahudi waliishika sharia ya Musa kwa dhaahiri yake, lakini waliutupilia mbali uchamngu wa Ibrahimu, wakashika ya kuonekana na watu, na wakatupa ya ndani anayoyaona Mwenyezi Mungu na dhamiri zao. Walipoacha "mitume" wa Yesu amri hiyo ya Mungu ya kutowendea makafiri wasiomjua Mungu wala msingi wa sharia, ndipo mafunzo ya Yesu yalipochafuka. Kwani hao makafiri walipoingia katika Ukristo walijigeuza jina tu, lakini waliingiza karibu yao yote ya kikafiri katika dini ya Yesu, ikaitwa Ukristo, na hali sio Ukristo kabisa aliyoufundisha Yesu. Mahekalu yao ya kipagani yakageuzwa makanisa, na mizimu na mapango yao yakawa ndio monastari za Kikristo. Lau kuwa Wana wa Israili wangeli mwitikia Yesu, basi Ukristo usingelichafuka kama ulivyo chafuka.

Upton Sinclair akiandika juu ya wakati ilipoingia Dola ya Kirumi katika Ukristo na ikaufanya ndio dini rasmi ya taifa, amesema kwa masikitiko: "Ulikuwa ni ushindi kwa Kanisa, na kwa mwenyewe mwenye kuanzisha (yaani Yesu) ni kushindwa kwa muda. Maana yake ni kuwa maadui zake wamelichukua jina lake, mafunzo yake, na nguvu zake."

Yesu alionya, lakini Paulo hakusikia:-
"Katika njia ya Mataifa msiende, wala katika mji wo wote wa Wasamaria msiingie. Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli. Si vema kukitwaa chakula cha watoto na kuwatupia mbwa. Msiwape mbwa kilicho kitakatifu, wala msitupe lulu zenu mbele ya nguruwe, wasije wakazikanyaga chini ya miguu yao, wakageuka na wakawararua."

Yaliyosemwa yamekuwa. Kwa kitendo cha Paulo kuwaingiza mapagani wa Kizungu katika dini ya Yesu sharia ya Mwenyezi Mungu ikaambiwa ni laana, ikatolewa ruhusa kula nyamafu, nguruwe na damu, na kila kiuzwacho sokoni bila ya kutia wasiwasi wo wote katika dhamiri. Tohara aliyoamrishwa Ibrahimu na Mwenyezi Mungu na Manabii wote wakaifuata mpaka mwenyewe Yesu na wanafunzi wake, Paulo aliipuuza kuwaridhi makafiri. Imani za kipagani za mungu mwana na utatu zilizoenea katika mila za Mithra, Osiris, Attis n.k. zikaingizwa katika dini ya Kikristo.
Katika ufalme wa mbinguni Yesu ana yakini kuwa hatokuwa nao ila wana wa Israili tu. Injili ya Mathayo inasema:-

Yesu akawaambia, Amin, nawaambia ya kwamba ninyi mlionifuata mimi, katika ulimwengu mpya, atakapoketi Mwana wa Adamu katika kiti cha utukufu wake, ninyi nanyi mtaketi katika viti kumi na viwili, mkiwahukumu kabila kumi na mbili za Israeli.Mathayo 19.28

Hata katika maombi yake inaonyesha kuwa Yesu alikuwa anajua mipaka yake na uwezo wake. Madai ya kuwa yeye ni mwombezi, mbali kuwa ni mwokozi, wa ulimwengu mzima ni kumsingizia jambo ambalo mwenyewe hakulidhania. Kumpa mtu cheo asichokuwa nacho ni kumtukana, ni kumvika kilemba cha ukoka, kama Mayahudi walivyotaka kumkejeli kwa kumvika taji la miba. Cheo alicho nacho kwa hakika si kidogo. Kuwa ni Mtume wa Mwenyezi Mungu miongoni mwa Mitume na Manabii watukufu ni jambo kuu kweli kweli. Kuwa mtumishi wa Mwenyezi Mungu mwenye kupendeza si utukufu mdogo. Na Yesu alitafakhari nao, na alitafakhari kuwa yeye hakutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa Ki-Israili. Na hayo si kwa upungufu wo wote kwa upande wake, ila ni kuutumikia ujumbe wa Mwenyezi Mungu kwa kuulinda usiharibiwe na washirikina mpaka ufike wakati wa kuja huyo atayekuwa kazi yake ni kuitangazia risala ya Mungu kwa ulimwengu mzima.

Katika Injili ya Yohana ananukuliwa Yesu kusema:-

Mimi nawaombea hao; siuombei ulimwengu; bali hao ulionipa.Yohana 17.9

Tukiyachungua vilivyo maneno ya Yesu kama yalivyosimuliwa na Mathayo na Marko ya kuwa yeye alitumwa kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israili, na maamrisho yake yalio wazi kuwapa "mitume" wake wasende kwenye mataifa mengine isipokuwa Mayahudi tu, na kuwa yeye na wanafunzi wake kumi na mbili watakaa katika viti vyao vya utukufu wakizihukumu kabila kumi na mbili za Israili katika ulimwengu mpya wa mbinguni, hatuwezi ila kuhukumu kuwa hao watu anaowaombea Yesu ni hao hao waliokwisha tajwa kabla, yaani wana wa Israili, sio ulimwengu, sio mimi na wewe. Mimi na wewe si Wana wa Israili. Mimi na wewe ni mataifa mengine. Mimi na wewe na ulimwengu, usiokuwa wa Kiyahudi, Yesu kesha sema hatuombei, ikiwa tutakubali maneno yaliyoandikwa katika Injili zote.

Ni jambo linalojuulikana katika historia - na hata ukisoma katika Biblia kitabu cha Matendo ya Mitume utaona - ya kuwa Ukristo kwanza haukuhubiriwa kwa mataifa mengine mpaka alipoingia Paulo. Na yeye alipingwa vikali sana kwa kutoa shauri hiyo na wanafunzi wake Yesu waliomwona na wakawa naye siku zote na wakajifunza vilivyo mafunzo yake na makatazo yake ya kwenda kuwahubiria watu ambao bado ni makafiri. Dr. Marcello Craveri anaandika katika kitabu chake-The Life of Jesus:-
"Na hapo Paulo akaingia uwanjani. Kwa heba yake ya kitisho na tamaa yake, hakupoteza wakati ila alijifanya kuwa ni mmoja miongoni mwa 'nguzo' za kikundi kile, kama mwenyewe alivyokuwa kwa kejeli akiwaita Yakobo na Petro. Ukazuka ugomvi na ushindani baina yao na Paulo, na khasa katika shauri ovu la huyu Mkristo mpya kutaka kuivusha dini mipaka ya Uyahudi."
Mtaalamu wa Biblia, Dr. Hugh Schonfield, katika kitabu chake,-Those Incredible Christians, (Wale Wakristo wa Ajabu) ameandika juu ya Paulo na ugomvi wake na wafuasi wa kweli wa asli wa Yesu hivi:-
"Saulo wa leo, aliyetumia jina la Kirumi la Paulo, alionekana kama ni adui aliyepandwa na shetani wa Daudi mpya. Hatimaye alipokuwa mfungwa wa Warumi, hapana Mkristo aliyenyanyua hata udole kumsaidia, la Wakristo wa Yerusalemu wala wa Roma. Juhudi zake Paulo zote, hata kule kukusanya michango kuwasaidia watakatifu masikini wa Yuda, hazikupunguza upinzani dhidi yake. Wale walioshika kani miongoni mwa wana-kanisa la halali walimwona Paulo kuwa ni mtu wa khatari na mharibifu aliyeazimia kupata wafuasi wengi katika Mataifa yasiyokuwa Mayahudi ili apate ushindi wa idadi kuweza kuwapinga Wazee walioko Yerusalemu. Paulo alikuwa ni adui tangu mwanzo, na kwa sababu alishindwa katika ule uadui wake wa wazi, alijipenyeza kwa hila katika kikundi ili aweze kukibomoa kwa ndani. Hili aliweza kulifanya kwa kuitenga Torati takatifu na kumuingiza katika dini ye yote anayetaka kumfuata kwa kutamka tu imani. Ingelifaa asingekubaliwa kabisa mtu huyu; lakini walikuwapo watu ambao hawakujua wala hawakuwa na shaka naye kwa hivyo hawakutambua nini khasa makusudio yake. Na tazama basi ile imani yao imefikisha wapi hali ya mambo! Unasara wote, juhudi ya Masihi mwenyewe ikaingia katika khatari ya kudharauliwa kabisa katika Israili. Kwa sababu Paulu ni mmoja katika wasemaji wao wakubwa, na yeye alikuwa akitangaza kuwa Torati ni baatili, haifai tena kwa uwokofu, ikawa inaaminiwa na Mayahudi wachamngu kuwa wafuasi wa Yesu ni makafiri wa mwisho."

Busara ya Mwenyezi Mungu kukataza mafunzo ya Yesu yasikiuke mipaka ya Israili ni kuwa isije dini ya haki ikaharibiwa na ushirikina wa makafiri ulioenea pande zote katika zama zile. Ulimwengu ulikuwa bado haujawa tayari kupokea ujumbe wa ulimwengu mzima, na huyo mwenye kuweza kubeba ujumbe ule hajazaliwa, na umma wa kutimiza jambo hilo na kulieneza bado haujapikika ukawa tayari. Yaliyotokea tumeyaona. Ukristo tuuonao na ulioenea ulimwenguni sio Ukristo aliofundisha Yesu. Wa Yesu ulitoweka na mwenyewe na wafuasi wake wa mwanzo wa kabila la Kiyahudi. Paulo kaufuja Ukristo.

Kauli zinazonukuliwa kwa kudai kuwa ni ushahidi kuwa Yesu mwenyewe alitaka mafunzo yake yakafundishwe kwa ulimwengu wote yamo katika Injili ya-Mathayo 28.19-20, Injili ya-Luka 24.46-49-na-Marko 16.15. Mathayo inasema:-

Basi, enendeni, mkwafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu; na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari.Mathayo 28.19-20

Luka anatwambia:-
(Yesu) akwaambia, Ndivyo ilivyoandikwa, kwamba Kristo atateswa na kufufuka siku ya tatu; na kwamba mataifa yote watahubiriwa kwa jina lake habari ya toba na ondoleo la dhambi, kuanza tangu Yerusalemu. Nanyi ndinyi mashahidi wa mambo haya. Na tazama, naweletea juu yenu ahadi ya Baba yangu; lakini kueni humu mjini, hata mvikwe uwezo utokao juu.Luka 24.46-49

Na Injili ya Marko inasema:-
(Yesu) akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.Marko 16.15

Je, imekuwaje? Yesu ni kigeugeu? Mbona huku anawakataza wanafunzi wake wasende kuwahubiria ila kabila kumi na mbili za Israili, na huku anawaambia nendeni kuwahubiria Injili ulimwengu mzima. La, Yesu si mbabaishi, wala si kigeugeu. Hebu natuziangalie vilivyo hizo amri mbili, moja ya kuwa mafunzo yake wasifunzwe ila wana wa Israili tu, na ya pili ni hii ya kuwa watu wote wafunzwe dini.

Vipande vyote vitatu tulivyonukulu mwishoni havitaji mambo ya Yesu alipokuwa na maisha yake ya uhai wa kidunia, lakini vyaeleza mambo yaliyotukia baada ya "kufufuka kutoka wafu" kama inavyosimuliwa na Injili zote tatu. Yajuulikana kuwa Injili ya mwanzo kuandikwa ni Injili ya Marko. Hizo nyingine ziliandikwa baadae, na labda ujuzi wao ulitegemea hiyo hiyo Injili ya Marko. Yajuulikana vile vile kuwa maneno yote yaliyohusu kufufuka Yesu kutokana na wafu, pamoja na hayo maamrisho ya kwenda kuihubiri Injili "kwa kila kiumbe", kinyume na maamrisho yake yote ya kuwa asihubiriwe ila Muisraeli tu - maneno hayo yote hayakuwamo katik Marko ya asli, bali yaliongezwa baadae.

Encyclopaedia Brittanica, nakla ya 11, jalada 17, sahifa 730, yasema ya kuwa kipande chote hicho kiliongezwa baadae, yamkini mwanzo mwanzo wa karne ya pili, kuchukua maneno yaliyopotea, au yaliyoonekana kuwa ni mapungufu.-

William Neil akiandika katika tafsiri ya Biblia iitwayo-Harper's Bible Commentary-anasema:-
"Kama lipo jambo lolote katika uchunguzi wa Injili ambalo juu yake wataalamu wamekubaliana, ni kuwa kufika hapa (yaani Marko 16.8) Injili ya Marko inakoma. Sehemu iliyobaki ya sura (yaani 16.9-20) ndio hiyo iitwayo "Kimalizio kirefu" cha Injili. Kimalizio hicho hakionekani katika nakla za miswada ya zamani, na ambacho ni nyongeza iliyopachikwa katika karne ya pili kutokana na maongezo ya Mathayo, Luka na Matendo...ushahidi wa kale kabisa ulioandikwa juu ya Kufufuka (Yesu) haumo katika Injili bali katika barua ya kwanza ya Paulo kuwapelekea Wakorintho 15.3-8."
Maneno hayo ya Paulo aliyowaandikia Wakorintho na ndio mara ya kwanza kutajwa kufufuka kwa Yesu ni haya:-
Kwa maana niliwatolea ninyi hapo mwanzo yale niliyoyapokea mimi mwenyewe, ya kuwa Kristo alikufa kwa ajili ya dhambi zetu, kama yanenavyo maandiko; na ya kuwa alizikwa; na ya kuwa alifufuka siku ya tatu, kama yanenavyo maaandiko; na ya kuwa alimtokea Kefa; tena na wale Thenashara; baadaye aliwatokea ndugu zaidi ya mia tano pamoja; katika hao wengi wanaishi hata sasa, ila baadhi yao wamelala; badaye akamtokea Yakobo; tena na mitume wote; na mwisho wa watu wote, alinitokea mimi, kama ni mtu aliyezaliwa si kwa wakati wake.1 Wakorintho 15.3-8

Ikiwa kipande chote tangu mstari 9 mpaka mstari 20 katika sura 16 ya Injili ya Marko, kimepachikwa, basi kisa chote cha kufufuka Yesu kimebuniwa. Mwenye kubuni kisa hichi ni Mtakatifu Paulo. Hivyo ndivyo tunavyoweza kuagua kutokana na kuisoma Biblia, kwani maandishi ya kwanza hayamo katika Injili bali yamo katika barua ya Paulo kwa Wakorintho.

Amesema Craveri katika Maisha ya Yesu:-
"Paulo alijihakikishia mwenyewe kuwa ijapokuwa Yesu ni kweli alikufa, lazima awe amefufuka, akiuwacha mwili wake wa kidunia nyuma ili avae mwili wa 'kiroho'...Paulo alichanganya mawazo yake mwenyewe ya kikafiri kafiri ya Yesu kuwa na maisha mapya kwamba ni malipo yake kwa mema yake, pamoja na imani ya Kiyahudi ya kuwajibika mapatano na Yehova (Mungu) na agano la pili. Kwa hivyo Paulo akafunza kuwa ndiyo haya khasa yaliyokuwa ni kazi ya Yesu, na hicho ndicho cheo chake machoni mwa Mungu: kafara ya nafsi yake kwa utakatifu wake na kutokuwa na dhambi kwake ili afutie kwa pamoja makosa ya wote."

Ikiwa basi msingi wa hadithi nzima ya kufufuka Yesu hadi ya ubora wake ni kuwa ni ya shaka shaka - licha ya kuwa ni wazi kuwa ni ya uwongo - hapana njia ya kuamini ya Kuwa Yesu wakati wo wote katika historia aliwahi kuamrisha watu "Enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu," kwa sababu haya hakuyasema ila baada ya huko kunakoambiwa ni kufufuka.
Katika Biblia ya Kiswahili iliyo mbele yangu iliyotangazwa na-The British and Foreign Bible Society-1950 kifungu cha Marko 16 tangu mstari wa 9 mpaka mwisho yaani mstari wa 20 kimetiwa katika mipinde miwili hivi ( ) kuonyesha kuwa maneno hayo hayakuwamo katika maandiko ya asli. Ilivyokuwa imethibitika kuwa hayo ya Marko si madhubuti, basi yaliyonukuliwa na Mathayo na Luka juu ya mambo hayo ya kufufuka, na kuamrisha kwenda kuhubiria watu wa ulimwengu, na kuutaja Utatu, yote hayo ni baatili.

Kwa mukhtasari tunaona kuwa Biblia inashuhudia kuwa Yesu alikuwa ni Nabii aliyetumwa na Mwenyezi Mungu kwa Waisraili waliopotea njia. Hadithi ya kuwa aliamrisha mafunzo yake yakatangazwe kwa watu wote "kwa jina la Baba, na Mwana na Roho Mtakatifu" imebuniwa na kuongezwa mwishoni mwa Injili tatu za Mathayo, Marko na Luka. Kadhaalika kuwa Yesu alifufuka kutoka wafu kwa njia ya kimiujiza imeongezwa, na kauli ya Utatu basi ya kuwa mafunzo yakatangazwe "kwa jina la Baba, na Mwana na Roho Mtakatifu" pia nayo imebuniwa na wala haina asli yo yote ya kweli.

mpaka hapa kwa mwenye akili atafahamu kuwa Yesu Hakuja kwa ajili ya watu wote bali ni kwa WAISRAELI PEKE YAO.

Okoeni nafsi zenu na Moto wa Jahannam.
Karibuni ktk Uislamu.
 
Last edited by a moderator:
serikali ya makaburu ya israel yazidi kuwekewa vikwazo vya kiuchumi.
Poultry products
originating from
Israeli settlements no
longer sent to Europe
amid EU sanctions
Officials at the foreign and
agriculture ministries say that so
far no serious economic damage
has been done, with diversion to
the local market solving the
problem.
By Barak Ravid | Aug. 17, 2014 |
3:33 AM | 2
2 Tweet 170
An Israeli poultry wholesaler.
Photo by Archive: Tomer
Neuberg/Jini
The Agriculture Ministry decided
two months ago to divert
settlements’ poultry products to
markets outside the European
Union after the EU imposed
sanctions have made it very
difficult to send such products to
Europe.
Officials at the foreign and
agriculture ministries say that so
far no serious economic damage
has been done, with diversion to
the local market solving the
problem.
On February 17, the European
Commission, the EU’s executive
body, enacted procedures under
which the EU would no longer
recognize the authority of Israeli
veterinary services for livestock
in the West Bank, East Jerusalem
or the Golan Heights.
Without veterinary approval,
importing to EU countries
becomes virtually impossible.
According to a senior Israeli
official, an investigation showed
that hens are supplied by some
farms in the Jordan Valley to the
Off Tov (Good Chicken) poultry
plant, which prepares products
exported to Europe.
The new procedures raised
concerns that all the company’s
exports to Europe would be
blocked, given the difficulty in
establishing the source of each
product.
At the end of June, Agriculture
Minister Yair Shamir, a member
of the right-wing Yisrael Beiteinu
party, tried to resolve the issue.
The ministry ordered the
diversion of settlements products
to plants that supply local
markets, or to countries outside
the European Union.
Hens from the settlements were
put on different production lines
to distinguish them from other
poultry. A delegation of experts
from the European Union arrived
here in late July to confirm this
separation so that exports to
Europe could continue.
The new procedures have
affected other items exported to
Europe. According to the daily
Maariv this weekend, dairy
exporters were also told to
separate items coming from
settlements from those
originating within Israel’s 1967
borders.
Fish products are expected to be
next in line for such treatment. A
plant at the Atarot industrial area
north of Jerusalem raises fish for
export to Europe. Other farmers
export decorative fish to Europe.
Without veterinary approval
these companies will have to find
another destinations.
Senior officials at the foreign and
agriculture ministries say
diversion to the local market will
work for fish as well. Wine is also
expected to be included in the
new arrangement, but this will
cause serious damage because
many wineries are located across
the 1967 borders.
To get the latest from Haaretz
Follow @haaretzcom
 
Wakirisito wa bongo bwana aibu tupu....wao wadhania kuunga mkono israel ndio kuupiga vita uislamm
Kweli kuelimika sio kwenda shule
 
Wakirisito wa bongo bwana aibu tupu....wao wadhania kuunga mkono israel ndio kuupiga vita uislamm
Kweli kuelimika sio kwenda shule
Na bakht mbaya hawajui kwamba hao mayahudi wanaojipendekeza kwao huwaona wao wakristo wapo kwenye upotofu.
 
Hapo hata mimi waliniacha hoi. Eti taifa la Israeli limeanzishwa juzi tu. Ina maana vitabu vya dini vinatudanganya? Mjadala uliegemea upande 1 (biased). Walishindwa ku-balance mjadala.
definition yao kuhusu taifa ni ile ya matokeo ya mikutano ya Berlin miaka ya 1880s haa! haa!


PHP:
 
Wewe ndo hata biblia hujui soma utangulizi utajua "na nukuu ; na kazi ya kuiandika biblia haikuwa ndogo maana kuna majina zaidi ya elfu 3 ilibidi yaangaliwe upya,tulipunguza ya kupunguza na kuongeza ya kuongeza na majina ya watu na miji pia ilibidi yafikiriwe upya .....sasa hili ni tabu ni uchafu

acha usagaji wa maneno wewe!
 
karibuni kitimoto hapa KIBO PALACE, nawasoma jinsi mnavyodanganyana
 
kwani ukiweka utofauti wa quran ndo umesolve nini mkuu?.
Unaanza kuniblackmail eeh?..
Actually bible inajicontradict yenyewe na kama umesoma hapo juu kumbe hata kwenye utangulizi wameweka wazi kuwa walibadili na kuongeza maneno walivyoona inafaa.

mmh kweli dunia ni flati na siyo ya mvilingo. Dah
 
Na bakht mbaya hawajui kwamba hao mayahudi wanaojipendekeza kwao huwaona wao wakristo wapo kwenye upotofu.

Ummar, tunajua yote hayo na tunajua kuwa wataongoka. Ninyi waislam mwamedi kawaambia sisi WAKRISTO & WAYAHUDI ni najis kama kinyesi.

Biblia inatuongoza siyo hisia

eeh ISRAEL BE BLESSED by YAHWEH! piga piga wote wanaotaka ufutike kwenye ramani ya dunia
 
Last edited by a moderator:
hawawaiti "wayahudi" wanawaita "mayahudi", yeye anaamini wayahudi marekani wamefika 2ml, (hajui kama wemefikia 10mil)....kama wanajadili kitu kizuri, kwanini wawaite mayahudi? yeye atafurai akiitwa "matanzania" au "mapalestina".....kwani lwaitama elimu yake ni ipi, najua yupo pale chuo na kuna miaka fulani tulikuwa tunapishana sana kwenye daladala, na ni mkorofi ajabu hata kwenye daladala anagombana, na juzi tu hapa aligombana na precision air hadi kawekwa ndani..anavuta bange?
Uko sawa huyu Lwaitama ni mkorofi na mlevi wa bangi na rubisi!!Na Makwaiya anajifanya mjuaji na mdini kumbe mwisho wake ni chanel ten.(ubongo wa samaki)
 
75d556a3-1cae-4e2c-a308-f262977cc2db-460x276.jpeg
.
Israeli ship remains
at sea as thousands
of protesters gather
in Oakland
 
We ndio unajua historia ya Palestine?

Hili ndio tatizo la kula nguruwe viporo.
Matokeo yake unaathirika bila kujijua.

Mtu km wewe hata huko kusoma kwenyewe ni too late.

The wise man use to say "you can't teach an old Dog a new Tricks"

Sasa wee baki na huo uozo kichwa kwako usubiri malaika mtoa roho tu akupitie biashara iishe.

unaharibu lugha ya kikafiri kahtaan, hata mtoto wangu wa standard one hawezi andika hovyo kama wewe!

We andika kama majini tu, kuanzia kulia hadi kushoto
 
Last edited by a moderator:
Ummar, tunajua yote hayo na tunajua kuwa wataongoka. Ninyi waislam mwamedi kawaambia sisi WAKRISTO & WAYAHUDI ni najis kama kinyesi.

Biblia inatuongoza siyo hisia

eeh ISRAEL BE BLESSED by YAHWEH! piga piga wote wanaotaka ufutike kwenye ramani ya dunia

Huyo Yehw ndio mnyama gani?

Au ni wale nguruwe wasiocheua!

Manake nyie kila siku mnatuijia na majina ya ajabu ajabu hapa.

Eti "SISI WAKRISTO"!

Hebu nionyeshe Sehemu yyt ktk Bibilia inayokwamhia wewe uwe MKRISTO!

Nyie wapika gongo ndio maana huwa mnakufa vifo vibaya. Akili zenu zimeathiri kwa ule moshi!
 
Last edited by a moderator:
unaharibu lugha ya kikafiri kahtaan, hata mtoto wangu wa standard one hawezi andika hovyo kama wewe!

We andika kama majini tu, kuanzia kulia hadi kushoto



Deutronomy .23:1
He that is wounded in the stones, or hath his privy member cut off, shall not enter into the congregation of the LORD.

23:2-A bas.tard shall not enter into the congregation of the LORD; even to his tenth generation-shall he not enter into the congregation of the LORD

So Nyakageni do you know your biological father! Or are you one of those mentioned on D.t 23:2.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom