Lwaitama, Makwaiya: Israel Commits Genocide?

Lwaitama, Makwaiya: Israel Commits Genocide?

433px-Balfour_Declaration_in_the_Times_9_November_1917.jpg
whatever the case, you should know that ilishatabiriwa Mungu aliahidi kuwa atawarudishia nchi yao, hivyo hayo yaliyotendeka ni njia tu ambazo Mungu alitumia kutimiza neno lake. Mungu alisema amewatawanya lakini kuna siku atawarudisha na kuwapatia nchi yao na watakaa pale siku zote. nikupe kifungu usome?
 
Naona vijana wa kizazi hiki hawaisomi historia ya dunia na maelezo mengi mnayatoa wikipedia. Someni historia katika uhalisia wake na isiwe religious fanatism.
Kama mtajadili historia kwa kuegemea vitabu vya dini hamtaujua ukweli na ndivyo mjadala huu unakoelekea.
 
ndugu, hapa tunaongelea makosa ya jinai ambayo wayahudi wangeshitakiwa nayo, ndo wao wakasema ni genocide. hatutafuti terminologies, na akija mtu toka nje ndio maana wanatudharau watz kuwa ni mambumbumbu kwasababu huwa hatujadili vitu halisia tunajadili kwa minajiri kama hiyo ya kwako. how can you put israel accountable now kama haujui kosa gani wamefanya, utaendaje kuwashitaki ICC au popote pale? ni kwa kujua aina ya makosa na kwa ufahamu wa lwaitama na yule mwenzie, they were expected kuongea kisomi kama wasomi.

halafu,kama israel wangekuwa na nia ya kuua wapalestina, wangeshaua hata kwa masaaa mawili tu gaza yote ingeshapukutika. gaza ina watu milioni moja na nusu, waliokufa ni alfu mbili kwa mwezi mzima na waliowengi ni kwamba hamas ilikuwa inawatumia kama kinga na wakati huohuo wakirusha rocket israel na kupitia mahandaki kwenda kushambulia israel, ulitaka israel wanyamaze tu? ungekuwa wewe mtu anarusha risasi nyumbani kwako halafu ukitaka kumrudishia anashika kitoto kidogo kama kinga na wakati akiwa ameshika kitoto anaendela kukurushia risasi ungefanyeje....ULIONA yale mahandaki yaliyochimbwa toka gaza hadi israel?....kwa sababu kama hizo ndio maana hata israel haiwezi kushitakiwa kimataifa kwasababu kuna justification kama hizo na dunia nzima wameona. mara ngapi israel wametaka ceasefire lakiini hamas wamekataa? nani mgomvi na kwanini mnapendelea kualumu israel peke yake bila hamas? hamas ni babu zenu?

...Kunya anye KUKU akinya BATA kaharisha...wananikera sana wanao tetea hamas(Israel ndio dawa yao)..
 
kuhusiana na azimio la balfour, unachotakiwa kujua ni kwamba, ugomvi huu haujaanza leo, ulianza hata kabla ya Yesu kuzaliwa. kipindi wanatoka misri na Musa, Musa alipokufa jangwani aliyepewa kuongoza waisrael kwenda pale walipo ni Joshua na Kaleb. Mungu aliwaambia hawa vijana wawili kuwa mkifika kule muwapige kabisa wale wakazi wa pale na mchukue nchi. wao walipofika pale holy land wakawapiga lakini wakaona kuna wanawake wengine wazuri wakawaacha na wakaingia mkataba na wafalme wa kifilisti kuwa wasiwaue ila wao wafilist wawe chini ya wayahudi na watawatumikia. Mungu alichukia akawatabiria kuwa 'hao mliowaacha watakuwa mwiba kwenu maisha yenu yote". hili lipo kwenye Biblia ukitaka nitakufunulia kifungu.

walipoendelea kuishi pale tangu enzi na enzi hadi kipindi cha mfalme sauli na Daudi, utakumbuka walikuwa wakipigana vita na wafilisti kila wakati. hizo roho za hamas na hezbolah hazijaanza leo. unakumbuka issue ya Daudi na Goliath mfilisi? ndio walikuwa wapelestina hao....tena hata Bible imeeleza kabisa kuwa wafilisti walikuwa wanakaa gaza. goliath alikuwa mtu wa gaza. ila katika yote Mungu aliwapigania waisrael na ataendelea kuwapigania hadi kesho. you will never wipe them out.
okay,kumbe uko kidini zaidi.

Lakini hujui kuwa hii issue nzima ya kusema wayahudi wanaruhusiwa kuua watu ili tu wapore ardhi inamfanya mungu wao kuwa mwovu na mwonevu mkubwa?.
Maana mungu wao angeweza kutumia uwezo wake kuwapa ardhi kwa njia ingine na sio njia ya kuua raia wasio na hatia.
Huoni kwamba hapa wayahudi wame manipulate maandiko ili wayatumie kwa interest zao?.
Vita kati ya wayahudi na wafilist,wamoabu,wa amedi etc,ni vita tu vya kuteka maeneo kama ilivyokua vita vya akina zwangendaba,mirambo,kimweri etc.
Hayana mahusiano na mambo ya mungu
 
hahaha, msikie huyu naye, yaani huyu ndio hata hajui kinachoendelea. what do you mean occupied territory? nchi ambayo inatambuliwa na umoja wa mataifa, ni member wa UN wewe leo unakuja kusema ni occupying state, unafikiri hata siku moja mtakuka kuwaondoa warudi ulaya na marekani? je? palestina inatambuliwa na UN kama nchi? halafu zile tunnel unafikiri kweli ni za resistance au lengo lao ilikuwa ni kuteketeza wayahudi....badala ya kujenga shule na hospitali wao wanajenga tunnels, badala ya kinga raia wao wawawaweka raia mbele kama ngao ili wafe waonewe huruma na dunia na lawama iende kwa waisrael, badala ya kupeleka raia kwenye mahandaki wao wanapeleka silaha kwenye mahandaki...ajabu yake ni kwamba kule israel kuna makazi ya chini rocket zikiwa nyingi raia wanakimbilia chini wanalindwa....umeona tofauti ya terrorists na watu wa kawaida?

Usiandike km umekalia msalaba ulio na makali.

ZIONIST wamepewa NCHI HIO kimabavu na Waingereza baada tu ya vita kuu ya kwanza ya Dunia.

Unaongelea habari ya umoja wa mataifa! We huna habari umoja huo unakuona wewe mwafrika ni km nyani tu na mzungu ni km mungu wako?

Soma hii barua ya waziri mkuu wa Uingereza KUIGAWA Nchi ya PALESTINA kwa European JEWS bila hiari ya wenye mali.

Foreign Office

November 2nd, 1917
Dear Lord Rothschild,

I have much pleasure in conveying to you, on behalf of His Majesty's Government, the following declaration of sympathy with Jewish Zionist aspirations which has been submitted to, and approved by, the Cabinet.
"His Majesty's Government view with favour the establishment in Palestine of a national home for the Jewish people, and will use their best endeavours to facilitate the achievement of this object, it being clearly understood that nothing shall be done which may prejudice the civil and religious rights of existing non-Jewish communities in Palestine, or the rights and political status enjoyed by Jews in any other country."
I should be grateful if you would bring this declaration to the knowledge of the Zionist Federation.
Yours sincerely,

Arthur James Balfour

Halafu gonga hapa kwa ushahidi zaidi.
http://www.science.co.il/Balfour-Declaration.php

Maafrika sijui yatakuja kuamka lini.

Halafu Gonga hapa upate elimu zaidi we mparoko.

http://www.science.co.il/History-Palestine.php
 
whatever the case, you should know that ilishatabiriwa Mungu aliahidi kuwa atawarudishia nchi yao, hivyo hayo yaliyotendeka ni njia tu ambazo Mungu alitumia kutimiza neno lake. Mungu alisema amewatawanya lakini kuna siku atawarudisha na kuwapatia nchi yao na watakaa pale siku zote. nikupe kifungu usome?
Usichanganye imani ya dini na uhalisia wa mambo ardhini.
Wakoloni walipotutawala walikuja na maneno kama hayo na wakawaita waafrika MONKEYS and sub-humans.
Na hiyo wakaiweka kuwa moral justification ya kututawala kifikra na kiuchumi.

Ni msimamo kama huo huo ambao Israel inautumia kutawala ardhi ya wapalestina.
Pengine ungetupa jibu sasa kama wewe una uhusiano mzuri na Mungu, hawa waPalestina waliumbwa na nani,waliingiaje hapo, watapelekwa sehemu gani na wana haki gani basi ya kuishi katika dunia hii iliyoumbwa na Mwenyezi Mungu.
 
whatever the case, you should know that ilishatabiriwa Mungu aliahidi kuwa atawarudishia nchi yao, hivyo hayo yaliyotendeka ni njia tu ambazo Mungu alitumia kutimiza neno lake. Mungu alisema amewatawanya lakini kuna siku atawarudisha na kuwapatia nchi yao na watakaa pale siku zote. nikupe kifungu usome?
hakuna cha kutabiriwa mkuu ,hii ishu ilisukwa kwa akili sana,walichofanya ni ku manipulate maandiko ili yawe favour kwao.

Hivi hujiulizi kwanini barua ya balifour kuhusu kuanzisha taifa la israel katika palestina aandikiwe Rothchild?.
Unamjua huyo rothchild na ukoo wao walivyo na history chafu?.
Pia jiulize kwanini huyo rothchild mwenyewe hataki kurudi nchi waliyopewa na mungu wao,ameng'ang'ania London?
 
vita haina macho inakuaje hamas wameua askari wa israel lakini israel wameua watoto wakati israel wana technology ya kutumia precision attack?.

Wapalestina kuchimba underground tunnels si ndo resistance yenyewe ama hujui kuwa ni occupied territory?.ulitaka walale tu wakati wanaminywa uhuru wao?.
Na hapo ndipo tunapoona uwezo wa kufikiri wa israeli kwamba ni mkubwa,Israeli wanapeleka vitani askali na siyo raia na ndo maana waliouwawa vitani ni askari na sio raia,Zile rockets za hamas kama siyo taaluma ya israeli zingeweza ua watoto na raia wengine kwani nazo zinalenga makazi ya watu

Wakati hamas wanawatumia watoto ili mataifa yawaonee huruma,kama una akili timamu huwezi kuchimba tunnel ya kwenda kumvamia adui yako kwenye maeneo ya shule wanakosoma watoto wako wakati unajua adui yako ana nguvu kuliko wewe.Nadhani ya ngoswe tumwachie ngoswe maana tunalumbana sisi lkn wanaopigana wasipoelewana sisi tutakuwa tunapoteza muda.
 
Usiandike km umekalia msalaba ulio na makali.

ZIONIST wamepewa NCHI HIO kimabavu na Waingereza baada tu ya vita kuu ya kwanza ya Dunia.

Unaongelea habari ya umoja wa mataifa! We huna habari umoja huo unakuona wewe mwafrika ni km nyani tu na mzungu ni km mungu wako?

Soma hii barua ya waziri mkuu wa Uingereza KUIGAWA Nchi ya PALESTINA kwa European JEWS bila hiari ya wenye mali.

Foreign Office

November 2nd, 1917
Dear Lord Rothschild,

I have much pleasure in conveying to you, on behalf of His Majesty's Government, the following declaration of sympathy with Jewish Zionist aspirations which has been submitted to, and approved by, the Cabinet.
"His Majesty's Government view with favour the establishment in Palestine of a national home for the Jewish people, and will use their best endeavours to facilitate the achievement of this object, it being clearly understood that nothing shall be done which may prejudice the civil and religious rights of existing non-Jewish communities in Palestine, or the rights and political status enjoyed by Jews in any other country."
I should be grateful if you would bring this declaration to the knowledge of the Zionist Federation.
Yours sincerely,

Arthur James Balfour

Halafu gonga hapa kwa ushahidi zaidi.
Balfour Declaration

Maafrika sijui yatakuja kuamka lini.

Halafu Gonga hapa upate elimu zaidi we mparoko.

History of Palestine and Palestinians
Mkuu hiyo mitandao ni haya kwenye koran tukufu au wameandika wanadamu kwa mitizamo yao
kutegemea na misimamo yao?
 
ile ardhi ni ya wayahudi tangu kipindi cha ibrahim, isaka, Yakobo (israel), Daudi hadi kesho. Mungu aliwapa ile ardhi na biblia inao ushahidi huo ambao ni tangible hadi kwenye ulimwengu wa leo hii. Israel is prepared to live with the enemy for life my friend, hawatishiwi nyau. kama una hitaji, nitakupatia hapa historia ya ile ardhi tangu kipindi kabla ya Yesu (ila itabidi nitype na kuiweka pdf kwasababu nitajaza ukurasa).

umeshafika israel? umeshafika westbank? ukiwa kule westbank kuna eneo linaitwa Bethlehen ya Uyahudi (pale ndipo Yesu alipozaliwa) ni eneo ambalo wanakalia wapalestina kwa sasa. kuna eneo pia linaitwa Hebron ambapo Daudi mfalme wa israel alijenga ule mji. ukija Jerusalem, kuta za hekalu alilojenga suleiman mfalme wa israel zipo mpaka leo na ndipo mahali patakatifu kuliko pote kwa wayahudi hii ikijumuisha Temple Mount (ule msikiti uliojengwa na waislam baada ya kuvunja helalu la wayahudi ambalo Yesu alitabiri kuwa litavunjwa vipandevipande). kwa kifupi ile ardhi ilikuwa ni ya waisrael hadi kule juu milima ya golan, hadi jordan isipokuwa waisrael walimwasi Mungu Mungu akawapa adhabu wakatawanyika duniani lakini aliahidi kwenye Biblia kuwa kuna siku atakuja kuwarejesha tena kwenye ardhi yao aliyokuwa amewapa.

Mungu ndiye aliyeumba hii dunia na ndiye mmiliki wa ardhi kuliko hata sisi. hivyo yeye kama mmiliki namba moja akiamua kumpa mtu ardhi hakuna wa kupinga au kutafuta human rights. Mungu alishawapa wayahudi ile ardhi hivyo hata kama kibinadamu tutaona sio sawa lakini Mungu alishawapa. upende usipende ndivyo ilivyo.

Mkuu Mungu wa aina hiyo ni teja, kwa akili ya kawaida unapomzungumzia Mungu maana yake unahubiri Upendo na Amani, sasa huyo Mungu wa Israel naamini atakuwa anavuta BANGI kwa maana anawaruhusu hao jamaa kuhukumu wakat vitabu hivyo vinatukataza kuhukumu, na Mtoa hukumu ni yeye peke yake hajakasimisha madaraka ya kiumbe yeyote. Labda nielimishwe zaidi
 
pale waikuwa wanatafuta chanzo au namna gani ya kurudisha islael na palestina wawe kitu kimoja
 
Usiandike km umekalia msalaba ulio na makali.

ZIONIST wamepewa NCHI HIO kimabavu na Waingereza baada tu ya vita kuu ya kwanza ya Dunia.

Unaongelea habari ya umoja wa mataifa! We huna habari umoja huo unakuona wewe mwafrika ni km nyani tu na mzungu ni km mungu wako?

Soma hii barua ya waziri mkuu wa Uingereza KUIGAWA Nchi ya PALESTINA kwa European JEWS bila hiari ya wenye mali.
dah hivi kwanini waarabu wanawadanganya sana hawa ndgugu zetu? mzee azusa msaidie uyo jamaa aelewe basi.
 
Na hapo ndipo tunapoona uwezo wa kufikiri wa israeli kwamba ni mkubwa,Israeli wanapeleka vitani askali na siyo raia na ndo maana waliouwawa vitani ni askari na sio raia,Zile rockets za hamas kama siyo taaluma ya israeli zingeweza ua watoto na raia wengine kwani nazo zinalenga makazi ya watu

Wakati hamas wanawatumia watoto ili mataifa yawaonee huruma,kama una akili timamu huwezi kuchimba tunnel ya kwenda kumvamia adui yako kwenye maeneo ya shule wanakosoma watoto wako wakati unajua adui yako ana nguvu kuliko wewe.Nadhani ya ngoswe tumwachie ngoswe maana tunalumbana sisi lkn wanaopigana wasipoelewana sisi tutakuwa tunapoteza muda.
wapalestina hawajawahi kutumia tunnels kwenda kuua raia wa israel wala kuvamia mashule ya israel.

Palestina wametumia tunnel kwa kuvusha vyakula na mahitaji muhimu.
Na hata katika vita,palestina wametumia tunnel kuwaibukia askari wa israel na kuwateka ama kupambana nao ,hakuna tukio la wapalestina ama hamas kuibuka toka kwenye mashimo na kuua raia wa israel.
Ila waisrael bila aibu wameua watoto na wamama kwa kuwamwagia mabomu bila kufanya selective attack.
 
pale waikuwa wanatafuta chanzo au namna gani ya kurudisha islael na palestina wawe kitu kimoja
kipindi hicho palestine na jew wakiishi kwa amani hapo,ni mpaka hao wazungu wayahudi walipokuja na declaration iliyotaka palestina iwe kwa ajili ya jews na si jamii zingine,ndipo amani ilitoweka hapo.
 
Mkuu Mungu wa aina hiyo ni teja, kwa akili ya kawaida unapomzungumzia Mungu maana yake unahubiri Upendo na Amani, sasa huyo Mungu wa Israel naamini atakuwa anavuta BANGI kwa maana anawaruhusu hao jamaa kuhukumu wakat vitabu hivyo vinatukataza kuhukumu, na Mtoa hukumu ni yeye peke yake hajakasimisha madaraka ya kiumbe yeyote. Labda nielimishwe zaidi
jamaa wanachaguaga vifungu vinavyokidhi interest zao.

Yesu alisema wazi kuwa wayahudi ni wa sinagogi la shetani,na iko documented kwenye bible.sasa hapa yesu akiwasema wayahudi wapi kama sio hawahawa?
.pia aliwambiwa wazi kuwa ufalme wa mungu utaondolewa kwa wayahudi na aliwaita wayahudi kizazi cha zinaa.
Hao wenyewe wayahudi akina rothchild hawa amini hata mungu ni wapagani wazuri sana,ndo maana hata kwenye xmasi katika mkesha pale bethelehem hajawahi kukesha waziri mkuu wa israel japo viongozi wa palestine wamekua wakishiriki mkesha mwaka hadi mwaka.
 
Zionism
Further information: Zionism
In 1896, Theodor Herzl, a
Jewish journalist living in
Austria-Hungary, published Der
Judenstaat ("The Jews' State" or
"The State of the Jews" –
sometimes erroneously
translated as "The Jewish State"
although Herzl did not mean it
as such. He meant a state for
the Jews; not a Jewish state), in
which he asserted that the only
solution to the " Jewish
Question" in Europe, including
growing antisemitism, was
through the establishment of a
state for the Jews. Political
Zionism had just been born.[4]
A year later, Herzl founded the
Zionist Organization (ZO),
which at its first congress,
"called for the establishment of
a home for the Jewish people
in Palestine secured under
public law". Serviceable means
to attain that goal included the
promotion of Jewish settlement
there, the organisation of Jews
in the diaspora, the
strengthening of Jewish feeling
and consciousness, and
preparatory steps to attain
those necessary governmental
grants.[5] Herzl passed away in
1904 without the political
standing that was required to
carry out his agenda of a
Jewish home in Palestine.[6]
During the first meeting
between Chaim Weizmann and
Balfour in 1906, Balfour asked
what Weizmann's objections
were to the idea of a Jewish
homeland in Uganda, (the
Uganda Protectorate in East
Africa in the British Uganda
Programme), rather than in
Palestine. According to
Weizmann's memoir, the
conversation went as follows:
"Mr. Balfour, supposing I was
to offer you Paris instead of
London, would you take it?"
He sat up, looked at me, and
answered: "But Dr.
Weizmann, we have
London." "That is true," I
said, "but we had Jerusalem
when London was a marsh."
He ... said two things which I
remember vividly. The first
was: "Are there many Jews
who think like you?" I
answered: "I believe I speak
the mind of millions of Jews
whom you will never see and
who cannot speak for
themselves." ... To this he
said: "If that is so you will
one day be a force."[7]
Two months after Britain's
declaration of war on the
Ottoman Empire in November
1914, Zionist British cabinet
member Herbert Samuel
circulated a memorandum
entitled The Future of Palestine
to his cabinet colleagues. The
memorandum stated that "I am
assured that the solution of the
problem of Palestine which
would be much the most
welcome to the leaders and
supporters of the Zionist
movement throughout the
world would be the annexation
of the country to the British
Empire".
 
Sasa kichwa cha habari cha nje na cha ndani wapi na wapi?! Mkunduo!!!
 
Kwa sababu hajafanya kosa maana waliokufa walijitakia wenyewe taarifa walipewa kwa njia ya SMS,Vipeperushi lakini waliwasikiliza Hamas sasa nani mwenye makosa???labda wawashitaki Hamas
Waungwana. mmeshawahi kujiuliza.Mbona Milocevic alipelekwa kushtakiwa THE HAGUE. Kenyatta and co. wa Kenya. Johnson wa Liberia. Ntaganda wa Congo etc
Sijawahi kusikia mtu akitishia kumpeleka Benyamin Netanyahu huko mahala kushtakiwa.
Mnajua ni kwa nini ???????
 
hakuna cha kutabiriwa mkuu ,hii ishu ilisukwa kwa akili sana,walichofanya ni ku manipulate maandiko ili yawe favour kwao.

Hivi hujiulizi kwanini barua ya balifour kuhusu kuanzisha taifa la israel katika palestina aandikiwe Rothchild?.
Unamjua huyo rothchild na ukoo wao walivyo na history chafu?.
Pia jiulize kwanini huyo rothchild mwenyewe hataki kurudi nchi waliyopewa na mungu wao,ameng'ang'ania London?
Bible na kuundwa kwa taifa la israel mwaka 1948 kipi kilianza, kama ni kitu kilichoundwa baada ya vita ya pili ya dunia Bible nayo iliandikwa miaka hiyo na kuongelea taifa la israel?
 
wapalestina hawajawahi kutumia tunnels kwenda kuua raia wa israel wala kuvamia mashule ya israel.

Palestina wametumia tunnel kwa kuvusha vyakula na mahitaji muhimu.
Na hata katika vita,palestina wametumia tunnel kuwaibukia askari wa israel na kuwateka ama kupambana nao ,hakuna tukio la wapalestina ama hamas kuibuka toka kwenye mashimo na kuua raia wa israel.
Ila waisrael bila aibu wameua watoto na wamama kwa kuwamwagia mabomu bila kufanya selective attack.
Nini chanzo cha vita hii mkuu kama wewe ni mfuatiliaji wa habari hizi? wale watoto watatu wa israeli nin i kiliwatokea?
Na kwanini hamas amekuwa akirusha rockets kwenye makazi ya wayahudi?
Nikurudishe nyuma kidogo,kumbuka Sharon aliwahamisha waisrael watoke gaza ili kuwaachia wapalestina ardhi yao kama wanavyodai,Hamas ikaanza kupigana na esbora vita ile iliua wakazi wa gaza zaidi ya 1000,sharon alipoachia ngazi wayahudi wakayatwaa makazi yao tena,sasa nauliza hao watu 1000 waliouawa walikuwa watu wazima tu au na watoto?
 
Back
Top Bottom