Lwaitama, Makwaiya: Israel Commits Genocide?

msimamo upi? Huwa sisomi `copy and paste' za mitandao
sasa mkuu utaendelea kuugopa ukweli mpaka lini?.

Jikaze tu usome wayahudi wanamuona vipi yesu christo pengine ukweli utakuweka huru uachane na mambo ya udini.
 
Ni ajaaabu kuona wagalatia wanavyosema na kutokwa povu eti ya kwamba israel ni taifa la mungu.

Ukiwauliza mungu yupi....wanasema yesu.

Ukiwauliza tena maneno hayo ya kwamba israel ni taifa la mungu mnayapata wapi?

Wanasema wanayapata kwenye bible.

Injili hiyo hiyo wanayoitumia kuwapa backup kwa huo uongo wao ndiyo injil hiyo hiyo ambayo huyo yesu alikuja nayo kwa wana wa israel kisha wakaikataa na kumkataa hadi yeye mwenyewe yesu na kufikia hatua ya kumuua kama wanavyosema wenyewe.

Sasa kama andiko mnalolitumia kusema kwamba israel ni taifa la mungu ili hali hata wenyewe waisrael hawalitambui lina maana gani??

Infact mungu yesu mnaomuabudu nyinyi hao israel hawamjui wala hawamtambui..

Hapo ndipo utakuja kuona kwamba kweli wagalatia most of them hawana akili.
 
Fact? Ha ha haaaa ni sawa na ule upuuzi wa kung'ang'ania eti YESU ni issa
mkuu mi nakushauri kwa moyo mweupe kabisa soma hapo juu msimamo wa dini ya kiyahudi kuhusu yesu,nina hakika utakuwa aware ya nini hasa ama wapi unaposimamia.kama husomagi copy na paste ntakuwekea link sasa ivi.
 
au yesu ni jesus.

Hapo sasa.

Tokea lin jina likawa na translation.

Kama Ibrahim wanamuita Abraham.

Musa Wanamuita Moses..

Isihaqa wanauita isaac...

Atleast kuna mshahabiano wa matamko.

Sasa yesu na jesus wapi na wapi?
 
Hapo sasa.

Tokea lin jina likawa na translation.

Kama Ibrahim wanamuita Abraham.

Musa Wanamuita Moses..

Isihaqa wanauita isaac...

Atleast kuna mshahabiano wa matamko.

Sasa yesu na jesus wapi na wapi?
ngoja tusubiri asome then atupe conclusion yake.ila nahofu atadai hasomagi mambo hayo.
 
mkuu mi nakushauri kwa moyo mweupe kabisa soma hapo juu msimamo wa dini ya kiyahudi kuhusu yesu,nina hakika utakuwa aware ya nini hasa ama wapi unaposimamia.kama husomagi copy na paste ntakuwekea link sasa ivi.

unanifundisha nini wakati ugumu wa wayahudi upo katika Biblia?

Hivi hadi sasa hujui kwa nini mwamed alituita pamoja kama WATU WA KITABU?

In short anajua tutakuwa pamoja wakiongoka na kuchelewa kwao kuongoka ni kutimiza unabii

Subiri siku yaja wenye alama ya shetani kwenye paji, 666, la uso watakiona
 
asili ya waisrael waliopo pale ni spain na sehemu za italia, tatizo lako umejaa dharau na udini hautaki hata kusoma au kufuatilia,,,, usiendeshwe na hisia
ndivyo wanavyowafundisha kuwalisha -----, hata wangewaambia waisrael a.k.a mayahudi kama mlivyoambiwa muwaite, walitoka mtwara mngekubali. kama hivyo, unajua maana ya ashkenaz jews?

kwa kukusaidia, wayahudi wengi walikuwa ulaya ya poland, Germany, russia, ufaransa na marekani. wengine wengi walitoka yemen na hadi leo wako na utamaduni wa kiyemen. hiyo ni list kidogo tu kukuondoa ukoko kichwani kwako.
 
tatizo hawa jamaa wanaiga kila tendo la mtume mwamedi(suna), HADI UJINGA WA MWAMEDI
 
unanifundisha nini wakati ugumu wa wayahudi upo katika Biblia?

Hivi hadi sasa hujui kwa nini mwamed alituita pamoja kama WATU WA KITABU?

In short anajua tutakuwa pamoja wakiongoka na kuchelewa kwao kuongoka ni kutimiza unabii

Subiri siku yaja wenye alama ya shetani kwenye paji, 666, la uso watakiona
sasa mkuu huoni kuwa umejiunga na hao wa 666?.

Hujui kuwa kina Rothchild ndo wazee wa new world order,dunia moja,serikali moja,dini moja na kuwa ndo hawahawa wameanzisha taifa la israel.
Kwamaana ingine wao ndo walijipa kazi ya masiha ya kulisimamisha taifa la israel.je wajua hata kiwanja cha UN pale manhatan alikitoa mmojawao wa hawa watu.unadhani ni kwanini kuna UN RESOLUTION nyingi against israel kuliko nchi zote za dunia combined lakini huwa hazifanyiwi kazi.?
Si ndo hawa yesu alidai kuwa ni wa sinagogi la shetani?
Na inasemwa hata mpinga kristo atakua myahudi?.
Kwanini sasa uwe upande wa hawa watu?
 
mpinga KRISTO ni MWAMEDI
 
ndivyo wanavyowafundisha kuwalisha -----, hata wangewaambia waisrael a.k.a mayahudi kama mlivyoambiwa muwaite, walitoka mtwara mngekubali. kama hivyo, unajua maana ya ashkenaz jews?

kwa kukusaidia, wayahudi wengi walikuwa ulaya ya poland, Germany, russia, ufaransa na marekani. wengine wengi walitoka yemen na hadi leo wako na utamaduni wa kiyemen. hiyo ni list kidogo tu kukuondoa ukoko kichwani kwako.
hata spain imetoa jews,unambishia tu.ashekenaz ni group moja tu tena inadai kijenetics wao si jews bali wamekua converted ,na ndo wamekamata madaraka hapo israel,yesu alitabiri ujio wa hawa watu watakaodai wao ni wayahudi wakati si wayahudi.
 
hguwa husomi lakini huwa unaweka na kumezea ,tena wakati mwengine unatumia ids nyengine usijulikane , teteteeeea

hapa tutaenda kwani najua na chat na binadamu siyo jini, naamini yale ma paste ni kazi za majini
 
kwani mungu wenu aliolewa , mbona makanisani mnaoana watu wa jinsia moja au huo kwako wewe sio ujinga ni uwerevu??

`pilgrimage to Mecca is incomplete without copulating a camel'

an old arabic adage
 
Back
Top Bottom