bategereza
JF-Expert Member
- Dec 26, 2013
- 3,314
- 1,072
hawawaiti "wayahudi" wanawaita "mayahudi", yeye anaamini wayahudi marekani wamefika 2ml, (hajui kama wemefikia 10mil)....kama wanajadili kitu kizuri, kwanini wawaite mayahudi? yeye atafurai akiitwa "matanzania" au "mapalestina".....kwani lwaitama elimu yake ni ipi, najua yupo pale chuo na kuna miaka fulani tulikuwa tunapishana sana kwenye daladala, na ni mkorofi ajabu hata kwenye daladala anagombana, na juzi tu hapa aligombana na precision air hadi kawekwa ndani..anavuta bange?
Azusa street. You have a head and you use it. the guy in the middle is Salim Msoma. jamaa kiazi kupitiliza. hata gazeti la uhuru hasomi yule. atakua mteja mzuri wa ijumaa wikienda. Makwaiya ndio kabisaaaa. mapalestina. mayahudi hii ni nomino ya wapi ?