Lusinde na kampeni za matusi umeambulia aibu kubwa

Ningependa tu kujua mazishi ya magamba yatafanyika lini na wapi, nina ahidi kuhudhuri, na pia pesa za kusomea Arobaini nami nitajitahidi kuchangia.

RIP Magamba, pumzika kwa amani na madhambi yako.
 
wana jf,

hakika matendo ya mungu ni makuu. Mungu anazo njia nyingi za kuwaokoa watu wake. Alitenganisha maji watu wake wakapita jeshi la farao lilipojaribu kuwafuata likaangamia.

Ninajiuliza ilikuwaje ccm yenye vijana na wazee kama kina salim, warioba, malecela na angalau januari makamba ikawaacha ikawaleta kwenye kampeni kina wasira, maji marefu, lusinde mkapa nk! Hapa ni mungu aliwatia upofu au ni mungu aliifanya mioyo yao kuwa migumu wasiwaone watu wenye uwezo wa kutumia busara? Toka nikiwa mdogo sijawahi kumsikia wasira kaongea hata punje ya busara, maneno ya mkapa hayajawahi kuwa na ladha kwa mwananchi wa kawaida toka alipotutangazia kufunga mkanda mwaka 1995/6.

Sala fupi.
Ee mwenyezi mungu, twakuomba uendelee kuwatia upofu wote wanaokumbatia ufisadi, ili wasiweze kumwona miongoni mwao mwenye busara. Waendelee kuamini kuwa pesa ndio kila kitu. Wasipate kujua kuwa nguvu ya uma yashinda utajiri wa aina yoyote. Waendelee kujua kuwa maneno ya busara ni matusi na kuwa wazee wa mkoa wa dar es salaam ndo wawakilishi wa watanzania wote. Amen!

amen....tuhongidze
 
naomba wanasheria wana JF mtupe mwongozo sisi ambao si wataalamu wa sheria namna ya kumshtaki huyu jamaa. Tupeni vifungu husika, na namna ya mashtaka ya kumfungulia ikiwezekana kama Chadema hawataki kumshtaki, wapiga kura tujitolee kufungua mashtaka.

Tuwasiliane wana JF tumshitaki kama CDM hawataki. Nenda kwenye tovuti ya CDM it is unbelievable kuwa mtu mwenye akili anaweza toa matusi mbele ya watoto, mchana kweupe hivyo!!!
 
Kama kuna wakati na mahali CCM imeonesha bayana dalili za kifo chake, ni uchaguzi mdogo katika jimbo la Arumeru Mashariki. Maneno na vitendo vya wapiga kampeni wa CCM kuanzia Mkapa, Wassira, Lusinde na wenigine ni ishara wazi ya chama kilichotaabani kabisa. tena sitaelewa wanaharakati wa jinsia wasipomchukulia hatua Lusinde, Nasema sitawaelewa kabisa kwasababu katika kuipamba CCM huyu jamaa ambaye hata sielewi aliwezaje kuwa mbunge, ametumia muda mwingi kuwadhalilisha wanawake. Hivi dada zetu mkoje mnashangilia hata mtu anapowatukana ninyi wenyewe? siamini kama hiyo ndio siasa, hata kidogo. Sasa matokeo ndio hivyo tena CCM iliyokuwa inawatukana na huku mkiishangilia iko chali! Sijuwi kama mtajirudishie yale matusi ya Lusind? Huyu hafai kuwa kiongozi hata wa familia yake!
 
NYOONGEZA.
Eee Mungu mwenye neema na rehema ,tunakuomba uzidi kuwainunua akina JOSHUA NASSARI wengine ili wazidi kusimamia utajiri huu mkubwa tuliyo nao watz uwanufaishe wenye hali za chini kama JOSHUA.endelea kuwapiga upofu siyo wa macho tu ,hata wa rohoni wale wote wanaotumia kile kilichosababisha YUDA akajinyoga kama njia ya kupata uongozi wasijue kuwa nchi na vyote viijazavyo ni mali ya MUNGU.....Wale wote wasiyoridhika na yale waliyoyavuna TZ tangu wawe viongozi enzi na enzi..Ee MUNGU FUFUA KAZI YAKO KATIKATI YA MIAKA....
 
Usipoteze mda wako kumfikiria mtu kama lusinde,nawaonea huruma wananchi waliomchagua kuwa mbunge. Nalijua sana jimbo lake lilivyo maskini na namshangaa anavyotembea ovyo wakati alitakiwa akae jimboni kwake kusaidia wananchi. Maskini wana mtera....mtautua lini huu mzigo wenu wa lusinde????
 
Sasa hivi Lusinde kimyaaa,nasikia kachukuliwa jana usikuusiku na basha wake Mwigugu kuletwa hotelini huko Dsm. Hivyo,kwa muda huu Mwigulu anampulia kisogoni bwabwa wake. Mwee,pole Lusinde na pia pole ziwafikie wana Mtera kwa kutoa mbunge ambaye ni chakula ya watu (Mwigulu)

ha ha ha!! BAN Linakuhusu best!!
 
mimi nashangaa hizi takataka ccm imezitoa wapi.... zamani kulikuwa na campaign magers kama Adulrahman Kinana ...wapo makini walifanya kampeni zao kwa staili ya kimya huku wakivizia kuiba kura kama mtaji wao mkubwa wa kushinda ... sasa hivi "jiwelinaloishi' yeye kazi yake ni matusi tuu na mwingine Nchemba kazi yake ni kuropoka tuu nonsense
 
jamani huyu lusinde mi namjua kwanzia shule ya msingi alikua hivi hivi,mtoro na mtukutu,baada ya hapo akwa ni mtu wa kijiweni na vibiashara vyake vya nyama,from kijiweni akaingia kwenye siasa na baada ya kushindwa na malecela akawaga mpambe wake ndio akampa shavu la ukatibu huko mara baadae dogo akarudi akampindua mzee malecela,sidhani kama kaiva kivile katika kuchambua vitu na kujenga hoja,yeye ni mtu wa kijiwe pure na ndo maana yanayomtoka ndio yameujaza moyo wake
 
huyu lusinde ni tahira, alisema ccm isiposhinda igunga atajinyonga, arumeru matusi, Sure Huyu jamaa ana matatizo ya akili
 
ntashangaa sana kama chake kitamfumbia macho
sitakuwa na hati kama ntakiona chama cha kihuni kisichojali utu
na heshima ya Mtanzania.
 
ifanyike mara moja ...huyu jamaa ni kichaaa ,,,,lakini ukichaa wake utajikamilisha vema pindi atakapo kuwa anajitetea mbele ya mahakama...ni aibuuuuuuuuuuuuu kwa mtu uliyepigiwa kura kuongea ugoro kama huo .WAGOGO wa mtera mpooooooooooooooooo mlikusudia kumchagua huyu jamaa?????????????????????? ni aibu mno....
............nadhani ndiyo maana mzee JSM alisema hajui kitu gani kilitokea hadi huyu jamaa akamshinda.....
 
Naamini! na mimi ni mfuatiaji wa siasa za kimataifa na za ndani, hakuna kiongozi yoyote duniani mwenye mamlaka ya kibunge, ambaye anaweza kusimama mbele ya hadhala akatamka maneneo ya aibu kama alivofanya Lusinde, amepotoka, amejidhalilisha, amelidhalilisha taifa, ameidhalilisha familia yake, amekidhalilisha chama chake. Lusinde inabidi ashughulikiwe kwa kadri itakavowezezekana mara moja. Kama haitakuwa hivo, basi! uwe mwanzo wa kujenga mazingira ya kushughulikiwa watu kama hawa kisheria, ili tuweze kujenga jamii yenye maadili mema na endelevu. Kama Lusinde anatamka maneno ya namna ile hadhalani kama Teja, je watu wakawaida katika jamii watkuwa upande gani?. inasikitisha sana.
 
Wana ARUMERU hawajapiga kura za hasira.Wameamua kumchagua Nassari kutokana na Sera za CDM na ujasiri wa kijana.
 
Tena IMEFAHAMIKA KUWA WEWE NI DARASA LA 3 ULIEKACHA SHULE NA KUKIMBILIA KUTEGA NDEGE Vichakani!
 
Dah!Kweli CCM Imechokwa!
TUONGEZE JUHUDI 2015 TUWATOE WAREMBO JENGO JEUPE. SASA NI KAZI KWA KWENDA MBELE. MUNGU ANAJIBU MAOMBI
JANA NIMESALI SALA NDEFU SANA KUIOMBEA CDM AMENIJIBU SASA NAFUNGA KUOMBEA KIFO CHA CCM NA MAJAMBAZI WOTE. MUNGU AWAWEKE KWENYE GARI MOJA AFU WAPATE AJALI WAFE.WALITAKA KUTUMIA MSIBA WA BABA YAKE KAMA NJIA YA KUTAFUTA KUHURUMIWA KWISHNEI:rockon::rockon::rockon::rockon::rockon::rockon::rockon::rockon::rockon::rockon::rockon::rockon:
 
wahuni kama Lusinde hta mwalimu Nyerere aliwakataa, alisema waende wakafanye uhuni mitaani na si kupew uongozi
 
Back
Top Bottom