Lusinde na kampeni za matusi umeambulia aibu kubwa

huyu LUSINDE AMETUDHALILISHA SANA WAGOGO, hatuko hivi sisi ni wapole, wenye busara na hekima ila kwa alichokifanya Arumeru jimboni kitamtesa sana. Najiandaa kugombea kama ccm watampitisha kugombea CDM MTERA 2015 PEUPEEEEEEEEE
 
Kushindwa kwa.ccm huko Arumeru kumetokana na wananchi kupiga kura za chuki dhidi ya ccm kutokana lugha ya ovyo aliyokuwa anatumia bwana Ludinde,hivyo basi ni wakati muafaka wa kumwajibisha huyu jamaa
hakuna kura ya chuki hapo acheni unafiki bwana mgombea wa chadema alistahili kushinda, ninyi ndo mnakiua chama cha magamba kwa unafiki yenu, hata kama Lusinde asingetukana ccm ingeshindwa tuuu!
 
huyu LUSINDE AMETUDHALILISHA SANA WAGOGO, hatuko hivi sisi ni wapole, wenye busara na hekima ila kwa alichokifanya Arumeru jimboni kitamtesa sana. Najiandaa kugombea kama ccm watampitisha kugombea CDM MTERA 2015 PEUPEEEEEEEEE
kumbe wewe ni mgogo unatakiwa kuwapa elimu wagogo wenzako waachane na magamba!
 
Alisema watakaoshindwa watazaa leo

Nakumbuka hii statement na nimeshtuka niliposikia viongozi wa CCM wameondoka Arumeru saa 8 za usiku, nikasema ndio safari ya MATERNITY WARD kujifungua kutokana na kauli za Lusinde za atakayeshindwa leo atajifungua. This guy is outside
 
Baada ya kupata matokeo ...Kichaaa wa kuzaliwa Lusinde alisikika akisema....Kudadadeki......ile mimba tumezaa cc....kudadadeki....sasa itakuwajeee!!!!!?....Mbona Mtoto hana Baba....Kudadadeki tumezaa mtoto haramu..................... C .C .M...C.C.M...C.C.M
 
Mimi nina ushauri wa Bure Kwa Lusinde!! Vijisenti anavyopata kwa sasa kwenye Ubunge Atunze sana!! Kwani Najua Magamba Hawajali professionalism ila alikowafikisha nadhani Hata kwa Mbeleko Habebeki!! By The way Kumjadili huyu Bwana standard 7 8-years to get that profession sidhan hata kama ana uwezo wa kusoma hili Jukwaa!! Ni sawa na utegemee Mtu wa mtaani tu ambaye hajui hata Computer anapata information za Jukwaa Hili!!
 
wamfukuze vipi wakati yeye ndo mwenyekiti wa matusi pale...ila ukipoteza akili zako na mda kwa chizi na wewe utakua chizi, mi nafikili aachwe tu
 
infact maana na dhana nzima ya uheshimiwa kwa huyu mtu inapoteza maana kabisa.shame on u Lusinde(not Mh ,mheshimiwa gani ambaye hajiheshim mwenyewe)
 
The bad thing ni kwamba Lusinde anadai alikua anatukana kwa sababu ametukanwa.Matusi aliyotukanwa hana evidence.Lakini yale aliyotukana yeye hadi video watu wanayo.Shame on him.Aibu yakeeeee kubwa,Ingekua wameshinda wangeficha aibu kidogo lakini now they are totally EXPOSED.
 
Kushindwa kwa.ccm huko Arumeru kumetokana na wananchi kupiga kura za chuki dhidi ya ccm kutokana lugha ya ovyo aliyokuwa anatumia bwana Ludinde,hivyo basi ni wakati muafaka wa kumwajibisha huyu jamaa

Kwa kweli akili ni nywele, Lusinde alikuwa akitukana matusi ya nguoni bila kujali wananchi walifika kwenye mikutano hiyo wakiambatana na watoto wao, wakwe zao, wazazi wao, n.k. Tunashukuru wana Arumeru kwa kutoa adhabu sitahiki kwa Hiki chama cha matusi (CCM)
 
huyu LUSINDE AMETUDHALILISHA SANA WAGOGO, hatuko hivi sisi ni wapole, wenye busara na hekima ila kwa alichokifanya Arumeru jimboni kitamtesa sana. Najiandaa kugombea kama ccm watampitisha kugombea CDM MTERA 2015 PEUPEEEEEEEEE
Solo wenyu Araba,Lusinde amelaaniwa huyu hakika ni mtovu wa nidhamu nidhamunana amejidhalilisha mwenyewe na laana yake sio sie Wagogo
 
Mimi nina ushauri wa Bure Kwa Lusinde!! Vijisenti anavyopata kwa sasa kwenye Ubunge Atunze sana!! Kwani Najua Magamba Hawajali professionalism ila alikowafikisha nadhani Hata kwa Mbeleko Habebeki!! By The way Kumjadili huyu Bwana standard 7 8-years to get that profession sidhan hata kama ana uwezo wa kusoma hili Jukwaa!! Ni sawa na utegemee Mtu wa mtaani tu ambaye hajui hata Computer anapata information za Jukwaa Hili!!
Mkuu huyu jamaa kaishia std 3 huko std 7 na 8 unampaisha bure kabisa yan
 
Back
Top Bottom