Lupita Nyongo

Lupita Nyongo

Huyo Dada nilikoma kumuheshimu alipocheza movie inaitwa "twelve years of slave" ambapo alikubali kucheza uhusika ambao msambwanda na matiti na kiasi Fulani papuchi Yake vikadhihirika...

Akapoteza utamaduni wetu wa Africa usasa kusitiri Mali za siri
Jaribu kuangalia mambo katika 3 Dimensions, ile movie ndiyo imenifanya nimemjua Lupita, yale yaliyoonyeshwa ndiyo mambo yaliyotokea.

Una habari kuwa kuna wazungu hawawezi kuiangalia ile cinema kwa aibu ya mambo yaliyofanywa na babu zao?
 
[emoji2] [emoji2] hakika...
Mkuu niunge kwenye lile group la kichawi nataka ni dili na pes za kwenye mabenki tu.
[emoji102] [emoji2] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sikushauri
 
fbbe79ff756a0d9ad4727dad25deed3f.jpg
Huyu dada kutoka Kenya sio wa mchezo mchezo ati!!
Hata baba yake ni prof na anagombea ugavana kule Nyanza
 
Huyo Dada nilikoma kumuheshimu alipocheza movie inaitwa "twelve years of slave" ambapo alikubali kucheza uhusika ambao msambwanda na matiti na kiasi Fulani papuchi Yake vikadhihirika...

Akapoteza utamaduni wetu wa Africa usasa kusitiri Mali za siri
Utamaduni wa mwafrika kabla hatujaletewa nguo na wahindi na wazungu unaufahamu? Tatizo letu tumeupoteza hafu tumeiga wa wazungu
 
Back
Top Bottom