glory to yhwh
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 1,019
- 1,411
Ichieo nade nyakoNyuka ni uji, wajaluo tunapenda sana uji thats why unalisikia often.
Ichieo nade nyakoNyuka ni uji, wajaluo tunapenda sana uji thats why unalisikia often.
sanaa yako inapokuwa imekubalika na watu wa ulimwengu wa kishetani wa hollywood,wakikupa deal za kucheza movie,tegemea kupewa scene za namna hiyo.ila mkwanja wake huwa sio wa kitoto,ni mrefu sana.Huyo Dada nilikoma kumuheshimu alipocheza movie inaitwa "twelve years of slave" ambapo alikubali kucheza uhusika ambao msambwanda na matiti na kiasi Fulani papuchi Yake vikadhihirika...
Akapoteza utamaduni wetu wa Africa usasa kusitiri Mali za siri
Achieo maber, wachane!Ichieo nade nyako
Ndio.Asante kwa kujali. Nmejifunza. Kwahiyo wewe naweza kukuita "nyako"...?
Wabogo sisi ni wa kuponda tu, ktk kila mafanikio ya mtu lazima tutafute cha kuongea. Sijui ni umasikini au ni kitu gani. Huwa naona ni mawazo ya kimasikini unapoona kijana mdogo ulompita umri kafanikiwa zaidi yako basi unatafuta cha kujifariji nacho, ie Diamond, hakuna asie ona juhudi zake tangu anaanza, ila alipofanikiwa watu wakaanza ooh freemason!!!Tia's proud na vyetu hivi kuna mnigeria mwenye position ya Lupita Hollywood?
Word mkuu tukubali Lupita is on another levelWabogo sisi ni wa kuponda tu, ktk kila mafanikio ya mtu lazima tutafute cha kuongea. Sijui ni umasikini au ni kitu gani. Huwa naona ni mawazo ya kimasikini unapoona kijana mdogo ulompita umri kafanikiwa zaidi yako basi unatafuta cha kujifariji nacho, ie Diamond, hakuna asie ona juhudi zake tangu anaanza, ila alipofanikiwa watu wakaanza ooh freemason!!!
Shukrani sana "nyako". Tafsiri halisi kabisa inamaanisha "msichana" au "binti" au wa "kike"?Ndio.
Shukrani sana "nyako". Tafsiri halisi kabisa inamaanisha "msichana" au "binti" au wa "kike".Ndio.
Manaa yake nini?Achieo maber, wachane!
Msaada wa tafsiri, please.Ichieo nade nyako
Aoenge wachAchieo maber, wachane!
Uneamkaje msichanaMsaada wa tafsiri, please.
Nimeamka salama, niambieShukrani sana "nyako". Tafsiri halisi kabisa inamaanisha "msichana" au "binti" au wa "kike".
Manaa yake nini?
Hahaaaa!! Kaniuliza nimeamkaji, nikamjibu nimeamka salama.Shukrani sana "nyako". Tafsiri halisi kabisa inamaanisha "msichana" au "binti" au wa "kike".
Manaa yake nini?
aah, najua basi ninawaona mwanza wakiongea hilo neno, na lingine nililodaka ni nyuka
Shukrani kwa tafsiriUneamkaje msichana
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Kumbeee! Uko vizuri..Hahaaaa!! Kaniuliza nimeamkaji, nikamjibu nimeamka salam.
Mnadumisha mila vizuri. Ninyi sio wahenga lakini...?Nimeamka salama, niambie
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Hivi kati ya Mwafrika na Mzungu nani mwenyeutamaduni wa kuvaa nguo....?Huyo Dada nilikoma kumuheshimu alipocheza movie inaitwa "twelve years of slave" ambapo alikubali kucheza uhusika ambao msambwanda na matiti na kiasi Fulani papuchi Yake vikadhihirika...
Akapoteza utamaduni wetu wa Africa usasa kusitiri Mali za siri