usser
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 13,978
- 14,092
Kama airfos oneViva Wajaluo....tupo juu
Kama airfos oneViva Wajaluo....tupo juu
Tumshukuru huyo huyo mzungu kwa kutuletea hizi nguo tunazovaa leo, tumejisahau tunaona hizi ndio utamaduni wetu eti!!Hivi kati ya Mwafrika na Mzungu nani mwenyeutamaduni wa kuvaa nguo....?
![]()
Dhaaaa!! Yesu na mariaHivi kati ya Mwafrika na Mzungu nani mwenyeutamaduni wa kuvaa nguo....?
![]()
KwaiyoHuyu dada kutoka Kenya sio wa mchezo mchezo ati!!![]()
hii stair ya kushkana mikono ni mm tyu ndo nmeelewa hapoHuyu dada kutoka Kenya sio wa mchezo mchezo ati!!![]()
Hakuna Mnigeria yupo Hollywood lakini unajua kwa nini? Wazungu wanapenda watu watakaowatumia eg Lupita etc Nigeria wanajitambua movie zao ni nzuri zina ujumbe na pengine zina ubora zaidi kuliko hizo za Hollywood. Hebu tuchukue actress wa kutoka Nigeria yeyote tu awe Mercy Rita Genevieve etc kuna wa kufanana na Lupita? Si kwa uzuri tu hata umahiri wao wa uigizaji. Lupita ni coincidence tu yupo huko. Anyways huwa siangalii movie za Hollywood sababu ni too much fiction na yasiyowezekana.Tuwe proud na vyetu hivi kuna mnigeria mwenye position ya Lupita Hollywood?
kamongo asinda nyama, lakini maharage natoka droo, ndungululisucho!!!!Nyuka ni uji, wajaluo tunapenda sana uji thats why unalisikia often.
check kwenye non stop ni cabin crewHuyo Dada nilikoma kumuheshimu alipocheza movie inaitwa "twelve years of slave" ambapo alikubali kucheza uhusika ambao msambwanda na matiti na kiasi Fulani papuchi Yake vikadhihirika...
Akapoteza utamaduni wetu wa Africa usasa kusitiri Mali za siri
Kwani hata hao wakenya wako wangapi huko nje na bado hawakuweza kufanya kama Lupita? Sio suala la kujitambua au laa, alithubutu akaweza.Hakuna Mnigeria yupo Hollywood lakini unajua kwa nini? Wazungu wanapenda watu watakaowatumia eg Lupita etc Nigeria wanajitambua movie zao ni nzuri zina ujumbe na pengine zina ubora zaidi kuliko hizo za Hollywood. Hebu tuchukue actress wa kutoka Nigeria yeyote tu awe Mercy Rita Genevieve etc kuna wa kufanana na Lupita? Si kwa uzuri tu hata umahiri wao wa uigizaji. Lupita ni coincidence tu yupo huko. Anyways huwa siangalii movie za Hollywood sababu ni too much fiction na yasiyowezekana.
Hadi Lindi kuna wajaluo kumbeViva Wajaluo....tupo juu
Hawajaipata sababu wazungu wanajua ubora wao. Hao African Americans wanalalamika na wanayotendewa Hollywood itakuwa wampe fursa Nigerian au hata Waghana tu. Kenya ni puppets wa wazungu hawajitambui the rest of Africa tunajitambua.Kwani hata hao wakenya wako wangapi huko nje na bado hawakuweza kufanya kama Lupita? Sio suala la kujitambua au laa, alithubutu akaweza.
Kuna movie aliicheza mnaijeria siikumbuki jina ila ni wa kiume.
Hiyo ni fursa ambayo sidhani hata kama hao kina genevievr wakiipata wanaweza kuiacha, sema hawajaipata.
zaidi ya lupita kama adelawale akinnuoye agbaje au ecko katoka series ya lost,Tuwe proud na vyetu hivi kuna mnigeria mwenye position ya Lupita Hollywood?
umeniacha round about ya msimbaziIchieo nade nyako
Haya.Hawajaipata sababu wazungu wanajua ubora wao. Hao African Americans wanalalamika na wanayotendewa Hollywood itakuwa wampe fursa Nigerian au hata Waghana tu. Kenya ni puppets wa wazungu hawajitambui the rest of Africa tunajitambua.
Not that I have everything against Nigerian actors.. But are you for real nolywood over hollywood...Hakuna Mnigeria yupo Hollywood lakini unajua kwa nini? Wazungu wanapenda watu watakaowatumia eg Lupita etc Nigeria wanajitambua movie zao ni nzuri zina ujumbe na pengine zina ubora zaidi kuliko hizo za Hollywood. Hebu tuchukue actress wa kutoka Nigeria yeyote tu awe Mercy Rita Genevieve etc kuna wa kufanana na Lupita? Si kwa uzuri tu hata umahiri wao wa uigizaji. Lupita ni coincidence tu yupo huko. Anyways huwa siangalii movie za Hollywood sababu ni too much fiction na yasiyowezekana.





wapo mbona, acha naijeria, west africa mbona wapo wengi tu hollywood, ila wengi ni wanaume na sio wanawakeHakuna Mnigeria yupo Hollywood lakini unajua kwa nini? Wazungu wanapenda watu watakaowatumia eg Lupita etc Nigeria wanajitambua movie zao ni nzuri zina ujumbe na pengine zina ubora zaidi kuliko hizo za Hollywood. Hebu tuchukue actress wa kutoka Nigeria yeyote tu awe Mercy Rita Genevieve etc kuna wa kufanana na Lupita? Si kwa uzuri tu hata umahiri wao wa uigizaji. Lupita ni coincidence tu yupo huko. Anyways huwa siangalii movie za Hollywood sababu ni too much fiction na yasiyowezekana.
Hollywood ina ubora wake so as NollywoodNot that I have everything against Nigerian actors.. But are you for real nolywood over hollywood...
Sent from my TECNO DP7CPRO using JamiiForums mobile app