GreenCity
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 5,872
- 4,604
So wataka kusema nini?View attachment 537815
Nmejaribu kuangalia kwa makin hyo Pete ya huyo Dada.
So wataka kusema nini?View attachment 537815
Nmejaribu kuangalia kwa makin hyo Pete ya huyo Dada.
Freemason au sioSo wataka kusema nini?
Hahaaa! huko simo mkuu!Freemason au sio
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Mbona hamuulalamikii? Kule Kusini mwa Afrika (S.A, Lesotho, Swaziland, Botwana) watu wanatembea karibu mwili wote uko nje kaigiza Lupita imekuwa nongwa.Hivi kule kwa mswati sio Afrika?
Iyo kaliake babakeDhaaaa!! Yesu na maria
Mkuu embu nipatie namba
Ya huyo alievaa green
Kuanzia mbele kwenda nyuma
Chuchu mubashara hzo
Ndio maana nimesema "Africa Usasa"Utamaduni wa mwafrika kabla hatujaletewa nguo na wahindi na wazungu unaufahamu? Tatizo letu tumeupoteza hafu tumeiga wa wazungu
Lupita hata akiongea unajua huyu mwanamke si tu actress anayejua ku act, lakini pia kichwani yupo vizuri.Huyo Dada nilikoma kumuheshimu alipocheza movie inaitwa "twelve years of slave" ambapo alikubali kucheza uhusika ambao msambwanda na matiti na kiasi Fulani papuchi Yake vikadhihirika...
Akapoteza utamaduni wetu wa Africa usasa kusitiri Mali za siri