Lupaso, Mtwara: Kulikoni Rais Magufuli? Haonekani kwenye ibada ya kumuaga mpendwa wetu Hayati Benjamin Mkapa

Imetangazwa atawasili muda wowote, Lakini maswali mengi bado yatabaki kujibiwa!!

Sijui itakaa wapi!?
 
Dr William mtanzania wa USA America huyo. Hua anaandika ujinga ujinga mwingi ila baadae hubadilika kua kweli.

Mtafute fb tu
Kuna mtu aliandika mahali tokea wiki iliyopita kuwa kamwe hatahudhuria shughuli ya kuzika, (siyo zile shughuli za kuaga uwanjani)... jana wakati magu anaingia mtwara wadau wakamnanga kweli kweli lakini yeye akazidi kusimamia msimamo wake kwamba hataonekana kwenye maziko!
Aisee muda ni mwalimu mzuri sana!
 
Historia inaonesha toka aingie madarakani huwa hahudhirii misiba na majanga makubwa ya kitaifa. Huwa anaenda baada ya siku kadhaa nyingi kupita...

Mfano, msiba wa watoto wa shule kule Arusha mwaka jana, hakwenda kabisa...

Janga la tetemeko la ardhi lililosababisha uharibifu mkubwa mikoa ya kanda ya ziwa hususani mkoa wa Kagera, hakwenda kwa wakati. Alikwenda baada ya siku kadhaa na mnaokumbuka aliishia kutoa maneno ya kashfa kwa wahanga...

Mwenendo na tabia hii ya Rais Magufuli, ilipelekea watu kuanza kuumiza kichwa na hata kuhoji, kulikoni.....? Maana haikuwa ya kawaida tofauti na watangulizi wake...

Hata hili kama mzee huyu atazikwa pasipo uwepo wake, ndiyo litachochea zaidi shauku ya watu kutaka kujua kulikoni?

Sababu haiwezi kuwa ya "kuumia au kujisikia machungu ya kifo ya mzee huyu". Mimi kwa kweli nafsi yangu inakataa hili mpaka kesho...!!

Mimi naamini ipo sababu nyingine inayopanga utaratibu huu tena ikiwa na uhusiano na imani za kichawi, kiuaguzi, matambiko na ushirikina.....

Huyu mzee hata kutosafiri nje ya nchi hususani nje ya bara la Afrika na badala kuwakilishwa tu na wasaidizi wake, lina connection na hisia hizi. Iwe isiwe, tutajua tu hata wajifiche vipi...!!
Kwa ratiba hii shughuli ilitakiwa iwe imeisha......km Kuna mambo km uliyosema hapo juu basi ni km inatakiwa asihudhuria mazishi....

Wasiwasi wangu ni kwamba km wanataka kulazikisha ahudhurie wkt viapo vyake haviruhusu maana yake tunaenda kumpoteza soon....
 

Attachments

  • IMG-20200729-WA0007.jpg
    IMG-20200729-WA0007.jpg
    72.7 KB · Views: 2
Mimi leo kuna ndoto nimeota na inashangaza sana japo naiweka kabatini msiba upite nitaitoa na najuwa huu mwaka huwezi kuisha basi inawezekana kabisa tukaimba nyimbo zaidi na waliokuwa mgongoni wakianza kutafuta namna ya kushuka na kukimbia bila kujuwa wanaelekea wapi
Hama uswahilini njoo mikocheni huku uone kama utaota kuhusu watu wasiokuhusu.
 
Ametoka mtwara saa 10:14 sijui atafika saa ngap?
Amezungukia mnazi mmoja? Watu wamemshauri vibaya hapo pana ka distance. Tokea mtwara hadi Lupaso angetumia helicopta saa hizi wanaorudi Dar kwa ma V8 wangekua Nangurukuru.
 
Back
Top Bottom