Muda si mrefu nimeongea na mdau wa JF Lunyungu akaniarifu kuwa kapata ajali mbaya maeneo ya Bagamoyo baada ya gari alilokuwa akiendesha kupinduka vibaya.
Kwa wale wenye kuhitaji kuongea naye naweza kuwapa namba yake katika PM.

Pole mkuu. Namshukuru Mungu kwamba kakunusuru na ajali hii mbaya.
Nakuombea afya njema haraka na mapema iwezekanavyo urudi tuendeleze mapambano katika muhimili mwingine huu wa tano jf.
pole sana mkuu Lunyungu, tunashukuru kwa vile walau umetoka mzima,, haya mambo ya barabarani tunayajua hayana muamana wakati na mahali popote ajali inatokea..