Lundenga atelekeza familia

Faith

Member
Jul 9, 2008
52
11
na Eugenia Kimolo

KESI ya madai inayomkabili Mkurugenzi wa Kampuni ya Lino Agency International, Hashim Lundenga, inatarajiwa kuanza kusikilizwa rasmi leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, chini ya Hakimu Jagalile Mwaseba.

Kesi hiyo iliyofunguliwa Agosti 5, mwaka huu na mke wa Lundenga, Twigi Hashim Lundenga, mlalamikaji anataka kugawana mali walizochuma pamoja na mumewe huyo, baada ya kumtelekeza na familia.

Hakimu aliyekuwa akisikiliza kesi hiyo Septemba 3 mwaka huu, Ritha Tarimo alimtaka mwanasheria wa mlalamikaji (Twigi), kuwa anatakiwa kuwasilisha pingamizi la majibu yaliyoletwa na wakili wa Lundenga, Audax Kahendaguza.

Licha ya kuwa Mkurugenzi wa Kamati ya Miss Tanzania, Lundenga, pia ni mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya klabu ya Yanga.

Pamoja na dini ya Kiislamu kumruhusu Lundenga kuwa na mke zaidi ya mmoja, kinacholalamikiwa mahakamani hapo, ni madai ya Lundenga kuitelekeza familia ya mke wake wa kwanza, baada ya kuoa mwanamke mwingine, aliyewahi kuwa mmoja wa warembo wa Mkoa wa Tanga mwaka 1997.

Inadaiwa kuwa, baada ya Lundenga kumwoa mwanamke huyo wa Tanga, alihamia katika nyumba mpya iliyoko Sinza, ambayo aliijenga akiwa na mke wa kwanza, huku akiitelekeza familia ya mke huyo na kusababisha atinge mahakamani.

source Tanzania Daima - Sauti ya Watu
Tanzania Daima - Kesi ya Lundenga kuitosa familia leo
 
Lundenga ametekeleza usemi kwamba kila mtu atakula ofisini kwake? Maana huwa tunasikia kuwa waandaaji wa mashindano ya Ulimbwende wanatake Advantage kwa dada zetu kwa ahadi ya kuwawezesha kushinda UMISS.
Sie yetu macho.
 
Ampe chake huyo mama ambae nadhani atakuwa alimwachia pia watoto...akishamlipa ndio aendelee zake hahuyo Miss wake....kwani nini si uamuzi na mipango yao..ila ampe kiasi walichochuma wote.....
 
Lundenga ametekeleza usemi kwamba kila mtu atakula ofisini kwake? Maana huwa tunasikia kuwa waandaaji wa mashindano ya Ulimbwende wanatake Advantage kwa dada zetu kwa ahadi ya kuwawezesha kushinda UMISS.
Sie yetu macho.
...Ndio Maisha hayo nadhani ni masuala ya kukubaliana tu sidhani kuwa ni suala la kuwa eti wanatake advantage kwa hao walimbwende...Kwani kama binti hataki relationship na mjumbe yeyote wa hiyo kamati ya Miss Tanzania watamfanya nini hata kama atakosa hiyo nafasi ya kuwa Miss Tanzania kwani ndio itakuwa mwisho wa maisha?
 
pole sana mama kwa kuachiwa familia naomba mahakama ihakikishe kuwa huyo mama anapata halali yake yaani nyumba wamejenga wote alafu anaenda kukaa na mkwe mwingine kweli wamama tunanyanyasika sana katika ndoa zetu Mungu azidi kutupa uvumilivu.
 
....hiii kitu nilisikia mahali sikutia muhimu ..nikajua ni majungu ya udaku...wanasema ametelekeza familia huko maeneo ya kimara bondeni alikoanzia maisha..tangu akiwa na wembe mkali UFI..baada ya umaharufu nadhani ameona bi mkubwa hafananii....but uzuri wa dini ya wenzetu hukatazwi kuoa..hapakuwa na haja ya kuhama kabisa juani alikochumia.....afteral kama na huyu miss kashazaa naye....
 
Huyu Lundenga kimatendo sasa hivi hajulikani ana dini gani, labda siku atakapotubu rasmi na kumrudia mola wake. Kuna wakati sheikh mmoja alimshutumu sana Lundenga kwa hiyo biashara yake ya kuwaanika wasichana "nusu uchi" kuwa ni kinyume na maagizo ya Mungu, na akatishia kuwa kwa tabia hiyo akifa bila kubadilika waislamu hawatamzika. Lundenga aliposikia hiyo mwenyewe alitoa kali zaidi: "msiponizika shauri yenu, mtabaki na harufu (mbaya)!"

Sasa mtu kama huyu hatua inayomfaa ni hiyo tu aliyochukua huyo mama, wagawane chao "pasu kwa pasu" kila mmoja aanze mbele!
 
HIVI JAMANI HUYU MALAYA ATAACHA LINI MAMBO HAYA!!!!KUMBE NA UFEDHULI WOTE HATA NYUMBA YAKE AMESHINDWA KUITUNZA????????BENY UNASOMA HIZI TAKATAKA ZA MWENZIO KAMA NILIVYOKWAMBIA PALE JNB NDUGUYO ANAJIONGEZEa tu dhambi
anyway oneday nilikutana na huyu bwana pale kwenye south africa kwenye klabu ya ceasers jnb..saa tatu za bongo......kukawa na story za mamiss .....muh baada ya kulewaakaanza kueleza jinsi wanavyopatikana na kusema miss anajulikana two weeks kabla kuna aina mbili za upatikanaji ma miss

moja

kuna ambao wanatoa rushwa ya mapenzi na si kwa lundenga tu na kwa baadhi ya majaji watukufu hapo ukiacha mapredeshe wakina msofe na ndunguze....
baada ya hapo wanajaribu kuwashawishi majaji nani wa kumchukua

kundi la pili ni lile la pesa
mfano ni miss tanzania b wema sepetu...wanandugu ukiacha udhaifu wa dada yetu kwenye mapenzi napenda niweke wzi alieaihidiwa kupewa ushindi alikuwa ni
miss jokate na tena baada ya kushugulikiwa na baadhi ya wah akiwemo lundenga...wema akiwa bagamoyo akapata somo ,,ikaja bifu yule binti alikuwa akiliwa na

MTOTO WA NGOMBARE MWIRU..FISAD WA MAPENZI KINJE/!!!!!!!!

MISTAKE ALIYOFANYA KINJE NI KUMTUKANA SANA LUNDENGA NA MPREDESHE WAKE KWAMBA WAMEZIDI UMLAYA NA KUMBE KINJE ALISHATOA FUNGU KUBWA KWA MMOJA WA WAHUSIKA NDIPO MZEE MZIMA MMOJA ALIEKUWA AKIMPANGUA BI MKUBWA WEMA AKAINGIA BAGAMOYO IKU MOJA KABLA YA SHINDANO NAMSHINDI AKAPATIKANA MASAA MACHACHE KABLA YA SHINDANO..NI SWALA LA KUSIKITISHA NA WISH WATU WA MAADILI MUWE MNAENDA KUONA UCHAFU UNAOFANYIKA PALE BAGAMOYO

WAKUBWA WAH KABISA WANAJIFANYA KUJANA MAGARI Y KIFAHARI MENGINE HATA YA SERIKALI.....ALAFU MH LUN=DENGA ANATUMIWA KUWAPELEKEA CHUMBANI....VERY UNFAIR..ANY WAY USHAURI WANGU KAMA MNA WATOTO MSIWARUHUSSU WAINGIE MASHINDANO HAYA NA KIBAYA JAAMAA ALIANZA KUJISIFIA AMEZAA NA BAADHII WA MAMISS MAARUFU .WATOTO KIBAO...HILI SINA UHAKIKA ALIKUWA AMELEWA AU LA...NA KAMA NDIO MAMA NENDA MSIKITINI AU KANISANI UKAMSHUKURU MUNGU KWA KUACHIKA ..KUMBUKA ''KILA JARIBU LINA MLANGO WA KUTOKEA MUNGU AWEZI KUACHA UKITAABIKA NA KAMA MUNGU AKIKUWEKA HAI HUYO BWAA IPO SIKU MUNGU ATAMWONYESHA PAMOJA NA UMALAYA WOTE FAMILIA YAKO ILIKUWA MUHMU NA YA KWANZA KUIJALI

KILA LA KHERI MAMA LUNDENGA

RAY
 
Eheeeeeeeeeeeeeeee
Hii Kali kabisa, Huyu Lundenga anajifanya Muislamu wakt haishi kutokana na maadili ya dini yake .

Mama Mshukuru Mungu kwani amekuepusha na Huyu Firauni. Tunza watoto hao watakuja kukusaidia baadaye
 
yule mtoto aliyekuwa texas sio wa lundenga ? na yule mwingine anayefanya kazi kama secretary kule mwenge nae si wa lungenga pia ? naona ni watu wazima kidogo wanaweza kujikimu na kumkimu mama yao
 
uwiiiiiiiiiiiiiiiii
\

mama nilikuwa natafuta kweli mke wa lundenga nimpe ushauri

mama kama amekimbiaaaaaaaaaaaaaaaa mshukuru mungu

mwombe akuepushe na hili gonjwa la
\

ukimwi


mumeo ashakata na tamaa kabisa kila loi anaparamia hajui

lina mafuta au liko kwenye jeki

mmama mungu akutie nguvu akuepushe na mabaya yote
 
Naona lundenga mwenyewe leo hana raha pamoja na rafiki yake makoye na bosco pale cordial tours mtaa wa jamhuri .

Mamamia mke wake aliyezaa nae hao watoto wakubwa anaitwa aisha - yuko mambo ya ndani - ana mguu mguu , mwili mwili we acha tu
 
Haya mashindano hopeless kabisa ipo siku tutasikia mashindano ya mashoga na wenye akili zao watayapromoti. Ukisikia free market na economy liberalisation ndiyo hiyo I can guarantee you for that. All in all Lundenga alitakiwa afanye hii kitu kiungwana na mke wake wa kwanza na asipoangalia itamwaibisha sana kwenye jamii.
 
hhehehe haya sasa hao ma miss wanaokanaga ohhh hamna umalaya kwenye miss desh desh wako wapi???tena nasikia hata huyo jokate siku hizi nyodo full nyodo kupindukia!
n yet watu wazima hudirikia kutokea in public eti ku support hayo mashindano kumbe they know wat they get,sasa ni kina nani wanajua je huko huendaga kavu kavu ama wat?watoto wetu wangapi wa kike tunawapoteza kwa u huni huu??
 
Ina maana mpaka leo mlikuwa hamjui kwamba ma miss huwa wanatoa rushwa ya ngono? Na tena ni tabia yao wao wenyewe wala huwa hawawekewi shinikizo!
 
Hivi unategemea mtu aliyezoea kuangalia vichupi kila siku afanye nini?Mambo si ndiyo hayo.Halafu huyu jamaa namshangaa sana.Hivi haoni aibu kushabikia vitoto hivyo kila siku?Noma sana.
 
hivi bado ameitelekeza family au alisharudi?? maana wikendi kuna shoo nyingine ya miss tanzania
 
Back
Top Bottom