Lundenga atelekeza familia

na eugenia kimolo

kesi ya madai inayomkabili mkurugenzi wa kampuni ya lino agency international, hashim lundenga, inatarajiwa kuanza kusikilizwa rasmi leo katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu, chini ya hakimu jagalile mwaseba.

Kesi hiyo iliyofunguliwa agosti 5, mwaka huu na mke wa lundenga, twigi hashim lundenga, mlalamikaji anataka kugawana mali walizochuma pamoja na mumewe huyo, baada ya kumtelekeza na familia.

Hakimu aliyekuwa akisikiliza kesi hiyo septemba 3 mwaka huu, ritha tarimo alimtaka mwanasheria wa mlalamikaji (twigi), kuwa anatakiwa kuwasilisha pingamizi la majibu yaliyoletwa na wakili wa lundenga, audax kahendaguza.

Licha ya kuwa mkurugenzi wa kamati ya miss tanzania, lundenga, pia ni mjumbe wa kamati ya utendaji ya klabu ya yanga.

Pamoja na dini ya kiislamu kumruhusu lundenga kuwa na mke zaidi ya mmoja, kinacholalamikiwa mahakamani hapo, ni madai ya lundenga kuitelekeza familia ya mke wake wa kwanza, baada ya kuoa mwanamke mwingine, aliyewahi kuwa mmoja wa warembo wa mkoa wa tanga mwaka 1997.

Inadaiwa kuwa, baada ya lundenga kumwoa mwanamke huyo wa tanga, alihamia katika nyumba mpya iliyoko sinza, ambayo aliijenga akiwa na mke wa kwanza, huku akiitelekeza familia ya mke huyo na kusababisha atinge mahakamani.

Source tanzania daima - sauti ya watu
tanzania daima - kesi ya lundenga kuitosa familia leo

nilishamwambia kaka yangu tangu kule bagamohyo enzi za kina wema kaka ndoa na haya mambo ayaendani tuachie vijana na sisi tumeoa sasa naona bado anakimbizana navyo tu kule mbezi bichi na tinted lake laiti weale wasichana wangejua kile kiti cha pembeni wanakalia wangapi kwa siku loh

mama hongera chukua chako anza unapunguza maambukizi mengi tu dunia ovyo kabisa
 
Huyo Lundenga kabila gani? Kama ni mngoni wa Mbinga basi ana haki
 
Huyo Lundenga kabila gani? Kama ni mngoni wa Mbinga basi ana haki

wazinzi awana haki bana kakutana na mtanga anamtenda kama ana akili nzuri yule mtoto tunamfaidi kweli huku mbezi beach anavyochezewa
 
Wakuu hii kesi imeshamalizika ?.Mama mkubwa alipewa mgao wake ?.
 
Yuko wapi Pdidy? dah alimwaga ugali na mboga,yaani vululuvululu! Duh Duniani kuna mambo wajameni!
 
Ni mtihani mkubwa maishani has kwa mke mkubwa na watoto wake waliotelekezwa! Bora mama kajiwahia mahakamani hakusubiri ile ya kadhi maana hatujui tutaiunda lini.. na hiki ni kielelezo kwamba hitaji linazaa njea..pemye nia pana njia... Mama Lundenga sr. jipe moyo utashinda na maisha yanaendelea!
 
Nilimuona dada mmoja siku Vodacom Miss Tz red carpet ya Star TV akajitambulisha kwa jina ..then akamwambia mtangazaji kama ulikuwa hujui mie ndo MRS Ludenga dah hii kasheshe
 
world_aids_day_ribbon.png

Kumbe Inawezekana Wanatafuta Wenyewe nyaya za kidatu,ukizingatia tunaupungufu sasa hivi ukiludi tena jipangeni kuendelea kuunga.

Ina maana mpaka leo mlikuwa hamjui kwamba ma miss huwa wanatoa rushwa ya ngono? Na tena ni tabia yao wao wenyewe wala huwa hawawekewi shinikizo!
 
kichwa cha habari kimenishtua maana Hashim ni mtu wangu wa karibu,kumbe ni ishu ya 1947,ngoja niambae nielekee zangu mmu.
 
Mbuzi ula urefu wa kamba yake na wa Madhabahuni ula vya madhabahuni, usemi umetimia barabara, Hongera Kaka Hashim.

na Eugenia Kimolo

KESI ya madai inayomkabili Mkurugenzi wa Kampuni ya Lino Agency International, Hashim Lundenga, inatarajiwa kuanza kusikilizwa rasmi leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, chini ya Hakimu Jagalile Mwaseba.

Kesi hiyo iliyofunguliwa Agosti 5, mwaka huu na mke wa Lundenga, Twigi Hashim Lundenga, mlalamikaji anataka kugawana mali walizochuma pamoja na mumewe huyo, baada ya kumtelekeza na familia.

Hakimu aliyekuwa akisikiliza kesi hiyo Septemba 3 mwaka huu, Ritha Tarimo alimtaka mwanasheria wa mlalamikaji (Twigi), kuwa anatakiwa kuwasilisha pingamizi la majibu yaliyoletwa na wakili wa Lundenga, Audax Kahendaguza.

Licha ya kuwa Mkurugenzi wa Kamati ya Miss Tanzania, Lundenga, pia ni mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya klabu ya Yanga.

Pamoja na dini ya Kiislamu kumruhusu Lundenga kuwa na mke zaidi ya mmoja, kinacholalamikiwa mahakamani hapo, ni madai ya Lundenga kuitelekeza familia ya mke wake wa kwanza, baada ya kuoa mwanamke mwingine, aliyewahi kuwa mmoja wa warembo wa Mkoa wa Tanga mwaka 1997.

Inadaiwa kuwa, baada ya Lundenga kumwoa mwanamke huyo wa Tanga, alihamia katika nyumba mpya iliyoko Sinza, ambayo aliijenga akiwa na mke wa kwanza, huku akiitelekeza familia ya mke huyo na kusababisha atinge mahakamani.

source Tanzania Daima - Sauti ya Watu
Tanzania Daima - Kesi ya Lundenga kuitosa familia leo
 
Mara nyingi unaposema kuhusu hili shindano la Miss Tanzania watu uwa wanasababu nyingi sana la kulitetea kuwa ni zuri nk......Nimesema na nitaendelea kusema...lengo la shindano hili ni kuuza wasichana....kuna mabedeshee pale wameingia ubia na Lundenga kila mwaka wanapata vibinti vipya.....na yeye kazi yake ni kuangalia mabinti wapya kama Mswati II kule Swaziland kwenye lile onyesho lake la kila mwaka linalopigiwa kelele na dunia nzima la kuchagua mke mpya...Lundenga na Miss Tanzania ni laana nyingine kwa taifa....
 
Nilimuona dada mmoja siku Vodacom Miss Tz red carpet ya Star TV akajitambulisha kwa jina ..then akamwambia mtangazaji kama ulikuwa hujui mie ndo MRS Ludenga dah hii kasheshe

teh teh teh the the koh koh koh koh............................Mkuu umeniacha hoi,ngoja niende Chako ni Chako hapa DOM nikapate kuku na ugali...I will be back,I love JF.....I cant stay far away from you....
 
Back
Top Bottom