Lunch hour....

Hongera kwa kula mlo kamili mkuu ingawa umesahau kupiga picha bilauri ya maji.

ILA huo ugali kwa kweli ni mdogo mno. Chakula cha mchana ni vyema ukala cha kutosha. Kama unafanya kazi za kawaida (namaanisha unafanya kazi za 8-5pm) basi mchana unapaswa kula msosi ulioshiba. Jioni hakikisha unakula 80% ya kushiba kuupa mwili muda wa kupumzika ukiwa umelala.

Kwa ratiba zetu za bongo huenda unadamka mapema sana kwenda kazini, jitahidi jioni kufanya mazoezi japo nusu saa.
 
Back
Top Bottom