Kwa wanaume: Kwani vibaya tukija na mashosti wetu?

cutelove

JF-Expert Member
Oct 3, 2017
3,317
7,509
Umeniita somewhere kula lunch au vinywaji na shosti yangu, msiri wangu anaomba anipe kampani siwezi kumkatalia.

Na mwanaume kuniita lunch au vinywaji ina maana upo vizuri kipesa so si mbaya tukaja na mashosti.

Kwanza kuna faida ya kuja na mashosti wangu, ukalipa bili vizuri watanipongeza, wataniona nina bonge la mwanaume na watakuongea vizuri sana.

Tafuteni pesa muache kulalamika tukija na mashost wetu.
 
Umeniita somewhere kula lunch au vinywaji,na shosti yangu,msiri wangu anaomba anipe kampani siwezi kumkatalia

Na mwanaume kuniita lunch au vinywaji inamaana upo vizuri kipesa so si mbaya tukaja na mashosti

Kwanza kuna faida ya kuja na mashosti wangu,ukalipa bili vizuri watanipongeza,wataniona nina bonge la mwanaume na watakuongea vizuri sana

Tafuteni pesa muache kulalamika tukija na mashost wetu
Hebu njoo pm nitupie na kapicha kako hutajutia!
 
Back
Top Bottom