Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,020
Poa ila nayaonaga tu masokoni sijuagi ni nini kazi yakeNdio mkuu
Poa ila nayaonaga tu masokoni sijuagi ni nini kazi yakeNdio mkuu
KiazisukarKiazi Kitamu au?
yule mnaijeria umemuacha?
Beetroot. Inaongeza damu![]()
![]()
Me too!Huaga sielewi kati ya kitamu,mbatata au sukari
Kwa hiyo ni tunda au ni kiazi!Kiazisukar
Ahsante Sana nilikuwa sijui kiswahiliBeetroot ni kiazisukar
Si tunda, ni aina ya mazao ya bustanini/shambani. Ni mzizi.Beetroot mkuu
Siyo masikioni, ni sokoni.Poa ila nayaonaga tu masikoni sijuagi ni nini kazi yake
Asante mwalimuu...Siyo masikioni, ni sokoni.
😀Asante mwalimuu...
Ilikua kosa la uandishi