Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 77,337
- 163,642
beetroot zileeee, jamaa atapata choo chekundu hatari
beetroot zileeee, jamaa atapata choo chekundu hatari
Kiaina tu mkuuHiyo Lunch meal ulishiba chief?![]()
Hahah, hivi unafikiri ukila tani moja ya ugali ndio ujanja? Mwili unaabsorb nutrients zinazihitajika basi nyingine zinatoka kama waste products inaelekea mkuu (ashakum si matusi) ila unapenda kunya sanaWanaume wa dar bhana hicho kijiugali si kitone tu tena mpka uzoom kula ugali wewe acha mizinguo
Msosi umetulia kabsa!balanced diet,wanaume wa mkoani wameshazoea kula sufuria nzima watalalamika hawashibi mfyuu ndo maana wana viribatumbo

Ushauri mzuri kabisa mkuuHongera kwa kula mlo kamili mkuu ingawa umesahau kupiga picha bilauri ya maji.
ILA huo ugali kwa kweli ni mdogo mno. Chakula cha mchana ni vyema ukala cha kutosha. Kama unafanya kazi za kawaida (namaanisha unafanya kazi za 8-5pm) basi mchana unapaswa kula msosi ulioshiba. Jioni hakikisha unakula 80% ya kushiba kuupa mwili muda wa kupumzika ukiwa umelala.
Kwa ratiba zetu za bongo huenda unadamka mapema sana kwenda kazini, jitahidi jioni kufanya mazoezi japo nusu saa.
Hahahahahaa anakula mboga tupu mbna sijaona mlo kamili
Mbona unakula ugali wa mtoto? Unawezaje kushugulikia mwanamke kwa ugali kiduchu namna hiyo?
Aina ya chakula na kiwango cha chakula, hata table manners kunasadifu mambo mengi. Ndio maana mzungu akitaka kujua tabia ya mtu, ataijua kwa kupitia chakula. Atakualika ule kwake, the way unavyobehave anasoma tabia. Na hata mikoa mingine ukienda kuoa, wanakujua kupitia chakula. Unaletewa ugali mkuuubwa, ukidonoma matonge mawili matatu, wanajua hapa hakuna mwanaume, unanyimwa binti. So kama unaenda kwenye wakwe wa dizaini hiyo, unahakikisha hujala siku mbili. Yani unashindia biskuti ili kutengeneza njaa ya maana.Yan we unawaza kuwashughulikia wanawake tu mkuu?
Aina ya chakula na kiwango cha chakula, hata table manners kunasadifu mambo mengi. Ndio maana mzungu akitaka kujua tabia ya mtu, ataijua kwa kupitia chakula. Atakualika ule kwake, the way unavyobehave anasoma tabia. Na hata mikoa mingine ukienda kuoa, wanakujua kupitia chakula. Unaletewa ugali mkuuubwa, ukidonoma matonge mawili matatu, wanajua hapa hakuna mwanaume, unanyimwa binti. So kama unaenda kwenye wakwe wa dizaini hiyo, unahakikisha hujala siku mbili. Yani unashindia biskuti ili kutengeneza njaa ya maana.



Napenda kunya wapi wew waachie dadazako wale dietHahah, hivi unafikiri ukila tani moja ya ugali ndio ujanja? Mwili unaabsorb nutrients zinazihitajika basi nyingine zinatoka kama waste products inaelekea mkuu (ashakum si matusi) ila unapenda kunya sana
Napenda kunya wapi wew waachie dadazako wale diet
Ok shangazi dada wa babaSawa dada
Mimi naona donlucchese yupo sahihi kwa kiasi cha ugali kilichopo. Kwa wataalamu wa lishe 'nutritionists' wanasema;Hongera kwa kula mlo kamili mkuu ingawa umesahau kupiga picha bilauri ya maji.
ILA huo ugali kwa kweli ni mdogo mno. Chakula cha mchana ni vyema ukala cha kutosha. Kama unafanya kazi za kawaida (namaanisha unafanya kazi za 8-5pm) basi mchana unapaswa kula msosi ulioshiba. Jioni hakikisha unakula 80% ya kushiba kuupa mwili muda wa kupumzika ukiwa umelala.
Kwa ratiba zetu za bongo huenda unadamka mapema sana kwenda kazini, jitahidi jioni kufanya mazoezi japo nusu saa.
Mimi naona donlucchese yupo sahihi kwa kiasi cha ugali kilichopo. Kwa wataalamu wa lishe 'nutritionists' wanasema;
During breakfast time : You eat like a king
During lunch time : You eat like a queen and
During dinner time : You eat like a beggar