donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,047
- 21,523
.
Mkuu unapenda sana kucheza draft
Hahah! NaelewaHahah kiaina mkuu sometimes unajispoil
Kama kawaida yako...
Hahah! Naelewa
Sasa hivyo vyekundu hapo ni maua ya sahani au ni miongoni mwa diko?Maana vyuma vikikikaza vinakaza kweli
Hivo vekundu ni vitu gani?
Sasa hivyo vyekundu hapo ni maua ya sahani au ni miongoni mwa diko?
Tunda gani hilo?Ni matunda mkuu
Tunda gani hilo?
Beetroot ni kiazisukarBeetroot mkuu
Beetroot kumbe n tundaBeetroot mkuu
Nimeshayapata kumbe huwa yanaliwa kama matunda?Beetroot mkuu
Kiazi Kitamu au?Beetroot ni kiazisukar
Nimeshayapata kumbe huwa yanaliwa kama matunda?
Kiazi Kitamu au?