Lukuvi na jumba la zaidi ya 1 b tsh

Lukuvi na jumba la zaidi ya 1 b tsh

Mwaka jana mwishoni nilibahatika kupanda basi la abood lililobeba wanachama wa ccm toka mbeya waliokuwa wakielekea dodoma kwenye uchaguzi wa viongozi wa ccm.kilichofanyika mle ni kuwa LUKUVI alitembeza rushwa balaa wao wanaita KIAMBATANISHI ila wale raia wamchague.watu walichukua rushwa ile ila mimi niliikataa a.k.a pesa zake zinanuka. Cha ajabu zaidi njiani tulipewa taarifa kuwa tukifika morogoro tutapokelewa na mkuu wa mkoa na mambo ya likuwa hivyo ilikuwa majira ya saa nane hivi tuliwasili morogoro na pale watu walipewa rushwa kutoka kwa lukuvi iliyopitia kwenye mikono ya mkuu wa mkoa,sasa huyu jamaa anatoa wapi hiyo pesa kama sio fisadi basi anauza unga.Naomba tushilikiane kuitoa hii serikali madarakani manaake inanuka yaani ile safari ilikuwa imejaa rushwa na uvunjifu wa sheria kibao,kwani tulipofika mikumi wakatupa nyama ya swala iliyotoka mikumi national park,pia askari akasimamisha basi akasema ni usiku hamruhusiwi kusafiri yaani nusura apigwe......wale viongo
kwa hiyo na wewe ni mmoja wao? tueleze wewe ulikuwa upande wa nani? inaonekana mlizidiwa kete ndo maana unabwata bwata? wewe ulipokea kiasigani? sasa nachangia naomba kujua elim ya Lukuvi.

matajiri wooote wamejificha CCM,easy to lobby
 
Wakati akiwa RC dar kulikuwa na zoezi la kutambua viwanja vilivyo vamiwa katika maeneo mbali mbali ya Jiji. Zoezi lilifanyika, lakini hatujaambiwa hatua zilizofuata baadaye,kwanini?
 
Kumiliki mali sio dhambi lakini hii ni zaidi
Kwanini Serikali isifanye mfumo wa Ufaransa
mali za viongozi zitangazwe kwenye Gazeti.
 
sasa wewe unashangaaa hiyo nenda Ilemela mwanza kule ziwani utakuta hotel moja inaitwa Malkia harafu uje umuulize mama Salma Kikwete hizo hela alizojengea alizitoa wapi?
Mkuu hoteli inaitwa malaika,si malkia,halafu cha kushangaza barabara ya kuelekea hapo imejengwa kwa kiwango cha lami,wakiiacha barabara ya kwenda kiseke,kwenye wakazi wengi,na nyumba za ppf,japo wamelalamika kwa muda mrefu!!
 
Nimesoma kwenye Gazeti la MAWIO la Alhamisi Sept 5-11 nakala iliyoandikwa na Nyaronyo Mwita Kicheere.
Namnukuu.
"Lukuvi atueleze Watanzania kama lile jumba la kifahari alilonunua pale Mbezi Beach mtaa wa Colonel Mitha kwa shilingi milioni 700 akalibomoa na kujenga lingine mahali pake kwa zaidi ya shilingi bilioni 1 alitumia kipato gani halali?" mwisho wa kunukuu.

Jaman kama taarifa hii ni ya ukweli Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi pamoja na PCCB, ifanyieni kazi hiyo taarifa na Watanzania tuelezwe ukweli.

Sirahisi kwa mtu mwenye kipato kama cha lukuvi kwa muda wote huo aliotumikia serikali na chama cha ccm kuwa na kipato cha kufanya uwekezaji huo.
Lazima kuna fedha chafu haya ni mambo kama ya Maieg.

Nadhani naye amenufaika kutokana na madawa ya kulevya kwasababu alishawahi kumshawishi Dada mmoja ambaye alikwenda kwake kuomba amsaidie kupata kazi. Yeye badala ya kumsaidia alimshawishi kumtafutia passport ili awe punda wa kubeba "MZIGO" Pakistan na Afughanistan. Binafsi sishangai kuona yeye pia anamiliki asset za mabilioni. Jambo la pili ni kwamba alipokuwa katika mradi wa mabasi ya wanafunzi Dar es Salaam badala ya kuuendeleza aliuua kabisa unadhani fedha zilikwenda wapi??? Usanii huu wa viongozi wetu hauwezi kukubalika kabisa naye pia ajiweke katika orodha ya vigogo wa madawa ya kulevya kwa heshima yake tutamuelewa
.
 
Naona hii si hoja. Lukuvi ni Waziri kwa miaka mingi. Anaweza kabisa kudunduliza masurufu yote anayopata ikiwemo yale ya safari za nje ya nchi, mikoani, bungeni, jimboni hadi akapata pesa hizo..0 Badala ya kumpongeza kuwa kawekeza nyumbani mnaanza tuhuma zenu!!

Bana msuri wa akili kidogo tu. TSh 1.7 bln (gharama za kununua na kujenga) itoke kwenye marupurupu na mshahara.
Inamhitaji awe na kipato cha TSh 150,000 kwa siku kwa miaka 31.05 ili aweze kuwa na huo mlungula. Haya basi tuambiye kama hilo linawezekana kwa huyo ndg yako yaani daily saving ya Tsh 150,000 kwa miaka 31.05. Vipi amekuwa waziri kwa miaka mia ngapi?😕😕
 
Hiyo picha sio sahihi Lukuvi hiyo nyumba sio yake
 
Unafahamu mshahara wa mbunge?

Unafahamu mshahara wa wazir?

Unafahamu motisha za mbunge?

Unafahamu motisha za waziri?

Kama hujui chochote kati ya hayo niliyokuuliza, una haki ya kubwabwaja hapa JF kuhusu nyumba ya thamani ya Billion 1 (TZS).

Kwa Mtanzania na mishahara yetu mtu akijitahidi sana atasevu asilimia moja ya mshahara kwa ajili ya ujenzi kiasi kinachobaki ni matumizi ya kawaida chakula, ada, nguo, dawa, nk. waziri kwa hadhi yake, meneja kwa hadhi yake na kibarua kwa hadhi yake. Kwa maana hiyo kama Lukuvi anafanya uwekezaji wa 1.7bn maana yake ni kwamba kipato chake katika utumishi hakipungui 170bn na atakuwa basi na utajiri unaowavuka hata matajiri wafanya biashara karibia wote wa nchi hii
 
Bongo bwana! Ukiwa kiongozi watu furaha yao ubakie hali ya chini, mambo yakikunyookea basi wee fisadi. Vipi akija hapa na kuonyesha katika huo ujenzi alidhamininiwa na taasisi ya fedha?
 
Nimesoma kwenye Gazeti la MAWIO la Alhamisi Sept 5-11 nakala iliyoandikwa na Nyaronyo Mwita Kicheere.
Namnukuu.
"Lukuvi atueleze Watanzania kama lile jumba la kifahari alilonunua pale Mbezi Beach mtaa wa Colonel Mitha kwa shilingi milioni 700 akalibomoa na kujenga lingine mahali pake kwa zaidi ya shilingi bilioni 1 alitumia kipato gani halali?" mwisho wa kunukuu.

Jaman kama taarifa hii ni ya ukweli Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi pamoja na PCCB, ifanyieni kazi hiyo taarifa na Watanzania tuelezwe ukweli.

Sirahisi kwa mtu mwenye kipato kama cha lukuvi kwa muda wote huo aliotumikia serikali na chama cha ccm kuwa na kipato cha kufanya uwekezaji huo.
Lazima kuna fedha chafu haya ni mambo kama ya Maieg.
Khaa!! Do you know his budget? Unajua kipato chake akiwa kama waziri na mbunge?? Unajua biashara zake nyingine (Azimio la Zanzibar)? Ninyi wenyewe mliliua Azimio la Arusha na ninyi wenyewe mmefanya mishahara na marupurupu ya viongozi yawe siri halafu leo mnaanza kulialia hapa. Kama vyote hivyo hujui halafu unalalamika nashindwa hata kujua sijui nikuite nani ...umenisikitisha sana :A S angry:
 
Kwa Mtanzania na mishahara yetu mtu akijitahidi sana atasevu asilimia moja ya mshahara kwa ajili ya ujenzi kiasi kinachobaki ni matumizi ya kawaida chakula, ada, nguo, dawa, nk. waziri kwa hadhi yake, meneja kwa hadhi yake na kibarua kwa hadhi yake. Kwa maana hiyo kama Lukuvi anafanya uwekezaji wa 1.7bn maana yake ni kwamba kipato chake katika utumishi hakipungui 170bn na atakuwa basi na utajiri unaowavuka hata matajiri wafanya biashara karibia wote wa nchi hii
Khaa!! umenifurahisha sana na hesabu yako. Kwa mshahara wangu wa milioni 3.78 kwa mwaka ambayo asilimia 1 yake ni Tshs 37,800/= hivyo kupata kiwanja angalalau cha Tshs 1,500,000/= ninahitaji kusave kwa miaka 40!!!! OOH GOD BLESS ME!
 
Nimesoma kwenye Gazeti la MAWIO la Alhamisi Sept 5-11 nakala iliyoandikwa na Nyaronyo Mwita Kicheere.
Namnukuu.
"Lukuvi atueleze Watanzania kama lile jumba la kifahari alilonunua pale Mbezi Beach mtaa wa Colonel Mitha kwa shilingi milioni 700 akalibomoa na kujenga lingine mahali pake kwa zaidi ya shilingi bilioni 1 alitumia kipato gani halali?" mwisho wa kunukuu.

Jaman kama taarifa hii ni ya ukweli Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi pamoja na PCCB, ifanyieni kazi hiyo taarifa na Watanzania tuelezwe ukweli.

Sirahisi kwa mtu mwenye kipato kama cha lukuvi kwa muda wote huo aliotumikia serikali na chama cha ccm kuwa na kipato cha kufanya uwekezaji huo.
Lazima kuna fedha chafu haya ni mambo kama ya Maieg.

Majibu,
kwani huyu si anahusika na kuhuharibia vijana wetu wale. MbOna nasikia ana wake anaowatuma kule pakistani , na anawalknda. Ndio maan anaweza kujenda nabkubomoa wakatinwowote. Mshahara tu hautoshi kujenga au kufanya kufuru hiyo. Hiyo ndio tanzania ..... Mtu kama huo anafnya mambo hayo hadharani usalama wanaona, lakini hakuna kinachofanyika . Kwa hiyo pale sherina zitaporuhusiwa kuchukuliwa mikononi mwa wananchi ndio wawatakapojutabkuzaliwa . Ngoja muda waja ambao wanaokula fedha zetu watatajwa na watakamatwa . Mimi wakati mwingine nashangaaa sana. Jeuri ya fedha namna hiyo inatutesa sana wanyonge wa nchi hii.
 
Back
Top Bottom