Lukuvi na jumba la zaidi ya 1 b tsh

Lukuvi na jumba la zaidi ya 1 b tsh

Eti kuna misukule humu inatetea uovu huo wakati kwao wazazi wake wanalala kwenye nyumba za mbavu za mbwa,kula ya wasiwasi nao wanaongea huumu, puuumbavuuuu
 
Viongozi wengi wa ccm ni wanafiki. Zilongwa mbali zitendwa mbali.
kiongozi
Mjumba kama huu, wakati waja wazito wanalala chini mahospitalini!
Panakiongozi kweli hapo?
 
Kama ameijenga kwa pesa yake halali,basi MUNGU ambariki,kama amejenga kwa pesa za dhuluma kwa watanzania maskini,MUNGU ampige ktk hilo, na jumba hilo halitadumu,likateketee. WAPENDA HAKI WOTE WASEME AMINA..
 
Unafahamu mshahara wa mbunge?

Unafahamu mshahara wa wazir?

Unafahamu motisha za mbunge?

Unafahamu motisha za waziri?

Kama hujui chochote kati ya hayo niliyokuuliza, una haki ya kubwabwaja hapa JF kuhusu nyumba ya thamani ya Billion 1 (TZS).
Nyinyi ndo viazi wa nchi hii, whether we know their income or not, kama jumba hilo ni lake kwa kipato halali si haki. Kumbuka ni viongozi hawa hawa wanashindwa kulipa watumishi wa umma vizuri kwa kisingizio cha kuwa SISI NI NCHI MASKINI, sasa iweje wenyewe walipane posho na marupurupu ya nchi za kitajiri??? Kama wameamua watu wa chini wafunge mikanda, kwa nini na wao wasifunge hiyo mikanda??? Kwanini waambie wengine wafunge mikanda na wao walegeze mikanda yao??? Unafahamu kuwa vipato vyao ni kodi zetu na ni lazima vitumike rationally???
 
sembe sembe weee utatumalizaaaa
sembe sembe wee unajenga majumba
Twiga twiga wee unatoroshwa wanajenga majumbaa
Tembo tembo wee pembe zako zajenga majumba
Mikata mikataba feki wee wajenga majumba
Ufisi-hadi ufisi hadi wee utatumaliza

sijui vina vinabalance hapa ktk singo hiii
 
Unafahamu mshahara wa mbunge?

Unafahamu mshahara wa wazir?

Unafahamu motisha za mbunge?

Unafahamu motisha za waziri?

Kama hujui chochote kati ya hayo niliyokuuliza, una haki ya kubwabwaja hapa JF kuhusu nyumba ya thamani ya Billion 1 (TZS).

Mdanganye mwanao wa kindergarten, Mwalimu alikopa kujenga nyumba na akashindwa kilipa sasa huyu anayepanga foleni kwa Home shopping centre iko siku atatoa hesabu yake!!
 
It is a high time that Tanzanians stop complaining about graft and other vices ailing Tanzania. It is all about reaping what they sow. Until and unless Tanzanians wake up and take charge of their destiny, complaining in this forum or elsewhere is all nonsense. We are only good at whining and crying only to forget after a day. This is truly being Tanzanian.
 
Nimesoma kwenye Gazeti la MAWIO la Alhamisi Sept 5-11 nakala iliyoandikwa na Nyaronyo Mwita Kicheere.
Namnukuu.
"Lukuvi atueleze Watanzania kama lile jumba la kifahari alilonunua pale Mbezi Beach mtaa wa Colonel Mitha kwa shilingi milioni 700 akalibomoa na kujenga lingine mahali pake kwa zaidi ya shilingi bilioni 1 alitumia kipato gani halali?" mwisho wa kunukuu.

Jaman kama taarifa hii ni ya ukweli Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi pamoja na PCCB, ifanyieni kazi hiyo taarifa na Watanzania tuelezwe ukweli.

Sirahisi kwa mtu mwenye kipato kama cha lukuvi kwa muda wote huo aliotumikia serikali na chama cha ccm kuwa na kipato cha kufanya uwekezaji huo.
Lazima kuna fedha chafu haya ni mambo kama ya Maieg.

-------------------------------------------

Estate-Mansion-in-South-Africa_1.jpg
Mkuu, angalau ungeandika kuwa hii picha ni kielelezo na si mjengo wenyewe. Hili dude liko sandton johannesburg, link hii hapa
 
Ndio maana Chenge alisema zile pesa zake kule uswis ni visent, hawa jamaa wanajuana........ukitaka maisha yakunyookee basi jiunge CCM.........Nyumba ya 1B halafu mtu wala hatikisiki, mama anatembelea gari lake, kila mtoto lake, wanaosoma wanasoma tena shule za maana, misosi mpk wanasaza......sasa hata kama wana marupurupu lkn hii imezidi.
 
Ikifika mwaka2015 ccm km bado itaendelea kua madarakani nahapa haki ya mungu ntakua jambazi tena lililoshindikana... Maana nshachoka na huu ufisadi wa hii serikali ya tz liwalo na liwe I DON CARE....
 
Mkuu, angalau ungeandika kuwa hii picha ni kielelezo na si mjengo wenyewe. Hili dude liko sandton johannesburg, link hii hapa
Huyu jamaa alotuletea hii habari nadhani anataka kuchafua hali ya hewa humu ndani. Anatakiwa arudi aiweke vizuri hii hoja yake mana inaweza kuwa ni ya kichochezi.Ingawa kufanana huku hakumaanishi si kweli mana anaweza chukua hao waliojenga SA kuja kujenge mjengo hapa TZ, kwenye fedha hakuna kinachoshindikana isipokuwa kupinga kifo tu.
 
Tujifunze kuishirikisha akiri yetu kufikiri kwani nyumba ya B1 kwa mtu kama lukuvi jamani inawezekana kwani hivi ameana kuwa kiongozi mwandamizi tangu lini na kama tangu kipindi hicho alikuwa akiwekeza inawezekana kakisa kuwa na nyumba kama hiyo.Kwani mimi nimeona kwa rafiki yangu yeye kwa miaka mitano alinunua aridhi maeneo muhimu kabla ya kupanda bei na baada ya miaka kumi ameuza viwanja kumi na kupata zaidi ya B na kujenga jumba la ukweli maeneo ya makongo juu hivyo mimi naamini inawezekana kabisa na pia bado ananafasi ya kukopa na pia kama alikuwa akinunua hisa tangu Enzi hizo hivyo gawio lake litakuwa kubwa sana .Mimi sioni kama hii ni issue
 
Haha hahaha matokeo ya SEMBE hayo mnashangaa.
 
Huyu jamaa alotuletea hii habari nadhani anataka kuchafua hali ya hewa humu ndani. Anatakiwa arudi aiweke vizuri hii hoja yake mana inaweza kuwa ni ya kichochezi.Ingawa kufanana huku hakumaanishi si kweli mana anaweza chukua hao waliojenga SA kuja kujenge mjengo hapa TZ, kwenye fedha hakuna kinachoshindikana isipokuwa kupinga kifo tu.

hilo jumba la SA linauzwa $30mil usd! Lukuvi hana akili za kuiba hela hiyo (L0L). Huyu jamaa apige tu picha ya hilo la lukuvi la vijisenti tulione, vinginevyo inawezekana hata nyumba yenyewe haipo.
 
Tunataka Maji,Afya ,Elimu,Umeme,n.k Majumba ya akina Lukuvi yatatuxsaidia nn kuyajuwa?
 
Ndio maana biashara ya unga ime-boom sana hapa TZ, huu ni mfano wa matunda ya biashara ya sembe.

Siwezi kushangaa kwa mropokaji lukuvi kuwa na nyumba kama hiyo. Na nina amini kabisa hajachota ela serikalini.

Kwa mfano; akiwa na 50kgs za sembe anaweza kujenga nyumba kama hiyo. 50kgs*40mil= 2bil, je hajajenga tu hiyo nyumba?

Sasa hivi viongozi wengi wa chama na serikali wamebobea kwenye kuuza unga kwa sababu mianya ya kuiba ela serikalini imekua migumu sana.
 
majungu tu mnauliza kapata wapi wakati ana majina ya wauza sembe,kakataa kuyataja unategeme atlipwaje
 
Back
Top Bottom