evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,984
- 9,938
Nimesoma kwenye Gazeti la MAWIO la Alhamisi Sept 5-11 nakala iliyoandikwa na Nyaronyo Mwita Kicheere.
Namnukuu.
"Lukuvi atueleze Watanzania kama lile jumba la kifahari alilonunua pale Mbezi Beach mtaa wa Colonel Mitha kwa shilingi milioni 700 akalibomoa na kujenga lingine mahali pake kwa zaidi ya shilingi bilioni 1 alitumia kipato gani halali?" mwisho wa kunukuu.
Jaman kama taarifa hii ni ya ukweli Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi pamoja na PCCB, ifanyieni kazi hiyo taarifa na Watanzania tuelezwe ukweli.
Sirahisi kwa mtu mwenye kipato kama cha lukuvi kwa muda wote huo aliotumikia serikali na chama cha ccm kuwa na kipato cha kufanya uwekezaji huo.
Lazima kuna fedha chafu haya ni mambo kama ya Maieg.
-------------------------------------------