Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,065
- 285,685
Dah ! Bongo raha sana aisee ! Kwa elimu aliyo nayo Lukuvi na mali anazomiliki , kuna haja ya kusoma kweli ?

Nimesoma kwenye Gazeti la MAWIO la Alhamisi Sept 5-11 nakala iliyoandikwa na Nyaronyo Mwita Kicheere.
Namnukuu.
"Lukuvi atueleze Watanzania kama lile jumba la kifahari alilonunua pale Mbezi Beach mtaa wa Colonel Mitha kwa shilingi milioni 700 akalibomoa na kujenga lingine mahali pake kwa zaidi ya shilingi bilioni 1 alitumia kipato gani halali?" mwisho wa kunukuu.
Jaman kama taarifa hii ni ya ukweli Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi pamoja na PCCB, ifanyieni kazi hiyo taarifa na Watanzania tuelezwe ukweli.
Sirahisi kwa mtu mwenye kipato kama cha lukuvi kwa muda wote huo aliotumikia serikali na chama cha ccm kuwa na kipato cha kufanya uwekezaji huo.
Lazima kuna fedha chafu haya ni mambo kama ya Maieg.
Mheshimiwa huyo uliyemweleza mlolongo wote huu wa ushuhuda wala hawezi kukuelewa hata ukimpa mda wakutosha kutafakari, hapa umepoteza mda wako bure hapo tayari ameshaingiza siku, watu kama hawa nikuwasamehe tu kwakua hata kwafamilia zao usikute ni kero.
Lukuvi amekuwa mbunge na waziri kwa miaka mingi,ukiangalia na mishara yao na marupurupu yao sion tatizo kwa yeyekujenga au kumiliki nyumba ya 1bilioni.
Mbona nyinyi vijana hamizungumzii tena ndio mafisadi wakubwa kweelii....mwaka mmoja tu kazini una gari nzuri tena umenunua cahs sio mkopo,nyumba unajenga na mambo kibao,hela mnapata wapi kama sio wizi,ufisadi na rushwa humohumo.
Tunataka majibu ya kina toka kwa MCHOCHEZI lukuvi juu ya kipato chake na ufisadi huo.
Ni ile nyumba yenye lile dubwana kuuubwa la kuhifadhi samaki sebuleni?
Nimesoma kwenye Gazeti la MAWIO la Alhamisi Sept 5-11 nakala iliyoandikwa na Nyaronyo Mwita Kicheere.
Namnukuu.
"Lukuvi atueleze Watanzania kama lile jumba la kifahari alilonunua pale Mbezi Beach mtaa wa Colonel Mitha kwa shilingi milioni 700 akalibomoa na kujenga lingine mahali pake kwa zaidi ya shilingi bilioni 1 alitumia kipato gani halali?" mwisho wa kunukuu.
Jaman kama taarifa hii ni ya ukweli Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi pamoja na PCCB, ifanyieni kazi hiyo taarifa na Watanzania tuelezwe ukweli.
Sirahisi kwa mtu mwenye kipato kama cha lukuvi kwa muda wote huo aliotumikia serikali na chama cha ccm kuwa na kipato cha kufanya uwekezaji huo.
Lazima kuna fedha chafu haya ni mambo kama ya Maieg.
Lukuvi amekuwa mbunge na waziri kwa miaka mingi,ukiangalia na mishara yao na marupurupu yao sion tatizo kwa yeyekujenga au kumiliki nyumba ya 1bilioni.
Mbona nyinyi vijana hamizungumzii tena ndio mafisadi wakubwa kweelii....mwaka mmoja tu kazini una gari nzuri tena umenunua cahs sio mkopo,nyumba unajenga na mambo kibao,hela mnapata wapi kama sio wizi,ufisadi na rushwa humohumo.
Bongo kweli raha. Hadi Mbowe nae Billionea?! eti mali za kurithi, umewahi kufanya tathmini ya mali za Mbowe na zile ambazo amerithi?
Wakati wote tunajua kama Mbowe alikula SIFURI kidato cha sita.