Mutakyamirwa
JF-Expert Member
- Jan 24, 2011
- 4,942
- 1,360
Nilishajiuliza kiburi cha huyu jamaa anakitoa wapi, kumbe ni vijisenti! Huyu jamaa ana kiburi cha uzima sijapatakuona.
Hakuna majibu hapa ila tambua SEMBE@WORKTunataka majibu ya kina toka kwa MCHOCHEZI lukuvi juu ya kipato chake na ufisadi huo.
Dawa yao kubwa ni sanduku la kura tu basiKwa Tanzania yetu hakuna atayemuuliza chochote. Mnapoona wako tayari kuua watu hili waendelee kubaki madarakani mnafikiri nini. Hiyo ndo CCM na watu wake bwana
Mkuu hoja yako pumba tupu tena pumba zinazokera.
Nayakumbuka maneno ya NYERERE Mwl aliposema "mkiona wanajiongezea ulinzi kila kukicha jua wanawaibia"
Unafahamu mshahara wa mbunge?
Unafahamu mshahara wa wazir?
Unafahamu motisha za mbunge?
Unafahamu motisha za waziri?
Kama hujui chochote kati ya hayo niliyokuuliza, una haki ya kubwabwaja hapa JF kuhusu nyumba ya thamani ya Billion 1 (TZS).
Bongo kweli raha. Hadi Mbowe nae Billionea?! eti mali za kurithi, umewahi kufanya tathmini ya mali za Mbowe na zile ambazo amerithi?
Wakati wote tunajua kama Mbowe alikula SIFURI kidato cha sita.
​Mkuu, utaambiwa una wivu wa kike sasa hivi!
Nimesoma kwenye Gazeti la MAWIO la Alhamisi Sept 5-11 nakala iliyoandikwa na Nyaronyo Mwita Kicheere.
Namnukuu.
"Lukuvi atueleze Watanzania kama lile jumba la kifahari alilonunua pale Mbezi Beach mtaa wa Colonel Mitha kwa shilingi milioni 700 akalibomoa na kujenga lingine mahali pake kwa zaidi ya shilingi bilioni 1 alitumia kipato gani halali?" mwisho wa kunukuu.
Jaman kama taarifa hii ni ya ukweli Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi pamoja na PCCB, ifanyieni kazi hiyo taarifa na Watanzania tuelezwe ukweli.
Sirahisi kwa mtu mwenye kipato kama cha lukuvi kwa muda wote huo aliotumikia serikali na chama cha ccm kuwa na kipato cha kufanya uwekezaji huo.
Lazima kuna fedha chafu haya ni mambo kama ya Maieg.
Mwaka jana mwishoni nilibahatika kupanda basi la abood lililobeba wanachama wa ccm toka mbeya waliokuwa wakielekea dodoma kwenye uchaguzi wa viongozi wa ccm.kilichofanyika mle ni kuwa LUKUVI alitembeza rushwa balaa wao wanaita KIAMBATANISHI ila wale raia wamchague.watu walichukua rushwa ile ila mimi niliikataa a.k.a pesa zake zinanuka. Cha ajabu zaidi njiani tulipewa taarifa kuwa tukifika morogoro tutapokelewa na mkuu wa mkoa na mambo ya likuwa hivyo ilikuwa majira ya saa nane hivi tuliwasili morogoro na pale watu walipewa rushwa kutoka kwa lukuvi iliyopitia kwenye mikono ya mkuu wa mkoa,sasa huyu jamaa anatoa wapi hiyo pesa kama sio fisadi basi anauza unga.Naomba tushilikiane kuitoa hii serikali madarakani manaake inanuka yaani ile safari ilikuwa imejaa rushwa na uvunjifu wa sheria kibao,kwani tulipofika mikumi wakatupa nyama ya swala iliyotoka mikumi national park,pia askari akasimamisha basi akasema ni usiku hamruhusiwi kusafiri yaani nusura apigwe......wale viongo
kwa hiyo na wewe ni mmoja wao? tueleze wewe ulikuwa upande wa nani? inaonekana mlizidiwa kete ndo maana unabwata bwata? wewe ulipokea kiasigani? sasa nachangia naomba kujua elim ya Lukuvi.
Unafahamu mshahara wa mbunge?
Unafahamu mshahara wa wazir?
Unafahamu motisha za mbunge?
Unafahamu motisha za waziri?
Kama hujui chochote kati ya hayo niliyokuuliza, una haki ya kubwabwaja hapa JF kuhusu nyumba ya thamani ya Billion 1 (TZS).
Acha kuish kwa Majungu.....hv 1bln mbna hela ndogo tu kina bakhresa wana bl 900..