Itikadi ya chama itatuumiza sanaMtaendelea kubwabwaja pamoja na hiyo saccos yenu chadema
Ndo hapo chacha tujiulize jamaa yetu kakwarua jipunga lote hilo toka wapi manake kwa mahesabu yetu kujenga ni mpaka siku ya kustaafu kaziKhaa!! umenifurahisha sana na hesabu yako. Kwa mshahara wangu wa milioni 3.78 kwa mwaka ambayo asilimia 1 yake ni Tshs 37,800/= hivyo kupata kiwanja angalalau cha Tshs 1,500,000/= ninahitaji kusave kwa miaka 40!!!! OOH GOD BLESS ME!
Unafahamu mshahara wa mbunge?
Unafahamu mshahara wa wazir?
Unafahamu motisha za mbunge?
Unafahamu motisha za waziri?
Kama hujui chochote kati ya hayo niliyokuuliza, una haki ya kubwabwaja hapa JF kuhusu nyumba ya thamani ya Billion 1 (TZS).
Assumption tu kwamba gharama zote zimegonga Two Billions, ok!
Then, assume kwamba take home yake Month ni Twenty Milllions, alright!
Therefore:- 2,000,000,000/20,000,000 = 100 yaani miezi mia moja anakusanya huo mkwanja. What does it mean?
100/12 = 8 round figure, miaka minane anakusanya pesa bila kuitumia.:confused2:
Unafahamu mshahara wa mbunge?
Unafahamu mshahara wa wazir?
Unafahamu motisha za mbunge?
Unafahamu motisha za waziri?
Kama hujui chochote kati ya hayo niliyokuuliza, una haki ya kubwabwaja hapa JF kuhusu nyumba ya thamani ya Billion 1 (TZS).
Sio kumtetea Lukuvi. Kwa kweli I am not even sure kwamba Waziri anaweza kuwa na kipato hicho.
Lakini siku hizi kuna financial instruments, huhitaji hata kusubiri miaka nane. Ukiwa na income hiyo na uthibitisho unaenda benki na kuchukua mkopo.
Ndiyo maana mimi nakomaa na swali la kama ame declare au vipi. Maana kama mtu ana declare mali, Azimio la Zanzibar linaruhusu kiongozi kuwa na mali.
Na yeye kashakataa nyumba si yake. Picha tuliyoletewa nyumba ya South Africa.
Wanaotuhumu waweke wazi vielelezo kuonesha kama anadanganya basi.
Lukuvi is certainly not above reproach, lakini hapa hawa wanaomtuhumu wanashindwa kujenga kesi yenye mantiki. Inabaki kama ushabiki.
Hili si jipya, kuna mtu mwingine ashazushiwa nyumba Makongo, tukaja kugundua picha ni ya nyumba ya Marekani.
Manofanya vituko hivi mnafanya utani kwenye jambo serious. Kesho mtakuja na issue serious tutaona mnatania .
Come correct, or stop crying wolf.
Hata mimi bado nazungumzia Bilioni Mbili, sina tatizo na hizo instruments maana mimi mwenyewe nakopa sana tu. Na "Azimio la Zanzibar" kama lipo lakini, (maana lile la Arusha liko wazi) nadhani litakuwa linasema kipato/mali halali.
Najaribu kuifikiria kauli ya Mheshimiwa akiwa Bungeni kwamba "Endapo wauza madawa ya kulevya watatajwa, basi bungeni hapatakalika; wengi wataumbuka". Hii inamaana viongozi wengi, wakiwemo wabunge na mawaziri wetu wanajishugulisha na biashara haramu; NA SERIKALI INALIFAHAMU HILO! It's a shame!!:A S angry:
Khaa!!! haya vizuri. Hebu tuwekee hapa mshahara na marupurupu yake kwa mwezi pamoja na vitega uchumi vyake kwani siku hizi si dhambi kwa kiongozi wa siasa kuwa na vitega uchumi. Usipofanya hivyo NITAKUDHARAU!!usidanganye bwana watu mishahara yote ya wafanyakazi wa serikali inajulikana labda ni wewe tu ndo huijui kwa hiyo bwana usiganye watu ,kwani mishahara yao wamalipwa na majini? hebu tupigie hesabu yake kwa mwezi mwaka halafu kwa miaka aliyofanya kazi tuone kama zitafika hizo fedha, kwa hesabu za haraka haraka gharama halisi ni zaidi ya bilion mbili. hapa unachukua gharama za kununulia, gharama za kuvunja na kusomba takataka kupeleka nje ya mji na gharama za ujenzi bila kuweka mjengo wake wa Dodoma.Uzalendo uwe mbele bwana KAMA TAI