Luhanjo atoa ripoti, Jairo arudishwa kazini

The gd thing kuhusu hii ni kwamba there's no way serikali ile tusiyoiamini ikawashawishi wananchi kwa hayo wanayosema.

Ningekuwa mshauri wa serikali na CCM ningewaambia just simple ''If u r in a hole stop digging further down" Wamejiumbua na wameumbuka, they win kisheria, with intellectual arguments but in that court that plays a big game in politics, "The court of public opinion" wameumia.
 
Nimechoshwa na hii serikali, inabariki wizi hivi hivi, Inamaana watumishi wanaokwenda pale mjengoni hawalipwi PERDIEM au inakuwaje? kama wakitoka wanalipwa zile pesa walizoziomba wanawalipa tena mara mbilimbili? huyu CAG nae mwizi tu.
 
Mimi nimesikiliza mwenyewe na bado siamini, hivi jamani sasa ni saa ngapi, nisije nikawa naota. kama hali nos hii kuna haja gani ya kusema chama kimechafuka, si wanakichafua wenyewe!!
 
Duh!si bora pm akae pemben 2.ccm is ful of robs.'re aint shame..afu u held m2 kafunga na maunafiki yote...poor tanzagiza..nd us..
 
bongo mipang mingi kiasi kwamba hata hapa wanataka kutuingiza chaka hivi
 

Ee Mungu wa rehema tuhurumie
 

Hiyo report inasema za chakula ni za nini? Huyu Mkaguzi angeenda mbali zaidi na kuuhoji ama kujiridhisha kama waliokuwa wanaandaa budget walilipwa posho za kujikimu. Utata mtupu
 
Soma kwa MIchuzi aka mzee wa CCM utaiona hii habari!!
 

kwa upande wa rea ewura na tanesco ni sisi wenyewe kwenye luku ndio wamechukua hiyo hela na sio kwenye bajeti zao hapa tu ndio na choka kabisaa:embarrassed:
 
Hii serikali inatupeleka wapi sasa. Mtu ambaye ametuhumiwa kwa uwazi kabisa anarudishwaje tena kazini. It beats me!

Bosi we si ndiye uliwahi kusema serikali ya JK haitaki mchezo? Yaone sasa ya watendaji wake.
 
Tanzania kuna siku itakuwa kama Misri, hivi tatizo la ****** ni nini hasa au ndio serikali yote imeoza na inanuka na inasababisha nchi nzima kunuka. Nadhani haina haja ya kuendelea kuishi Tz maana si nchi tena, vongozi wetu wamekuwa majambazi kupitiliza, natamani nijivishe mabomu nikajilipue magogoni.
 
Natafuta katusi kazuri kalikotulia kama kale alikokatoa Msekwa jana ka'Songombwigo" ki kwetu ni tusi.....
 
Kwa mara ya kwanza napingana na serika yangu! Kama hili ni kweli, Katibu mkuu kiongozi na secretariet yake watakuwa hawakumtendea haki Pinda!

Bythe way, let the system work.

Naomba usianze kuichukia sasa..umechelewa sana.
 
Mh. Pinda amedhihirisha kuwa ni simba aliyechorwa kwenye karatasi laini za kuchambia (Toilet paper).

Nafikiri huu utakuwa muda muafaka kwa Mh. Pinda kujisafisha kwa kuachia ngazi. Amedhihirisha aidha ni mropokaji kama vile alivyoropoka juu ya Magufuri na bomoabomoa ya nyumba zilizo kwenye hifadhi ya barabara...au alivyoropoka juu ya Jairo kwamba angekuwa na uwezo angefanya maamuzi magumu pale bungeni.

Kama si mropokaji basi hasikubali ujinga huu wa mtu ambaye amedhihirika kukiuka ethics za kazi na yeye Pinda akajiridhisha kuwa amekiuka, kisha anarudishwa kazini.

MH. PINDA, mie ni mtu mchache sana katika taifa la Tanzania lakini huu ujumbe ni mzito. Ni wakati sasa unatakiwa kuondoka kwa kushindwa kufanya kazi zako.
 
tusi zuri ni lipi na likoje??? naombeni fasta fasta niliweke hapa fasta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…