Katibu Mkuu Kiongozi, Philemon Luhanjo,ametoa ripoti na kusema Jairo anarudishwa kazini kuanzia kesho.
===========
UPDATES:
Luhanjo anasema tuhuma zilikuwa za uwongo
Anasema taasisi za Wizara hazizidi 7 na si zaidi ya 20 kama ilivyodaiwa
Taasisi nne tu ndizo zilizochangia na zilichanga karibu TZS 500mil na si zaidi ya 1bil kama ilivyodaiwa
Pesa zilichangwa ili kuwawezesha watendaji watakaoenda kwenye bunge la bajeti
REA walichangia 50mil
TANESCO walichangia 40mil
EWURA waliombwa 40mil lkn hawakutoa, walichangia gharama za chakula na malazi kwa watendaji wa Wizara
Idara ya Uhasibu ya Wizara ilitoa 150mil
Idara ya mipango ya Wizara ilitoa 278mil
More updates to follow
Bajeti ya wizara ni Tshs 1.2trilion, these guys spend Tshs 500million for facilitation and these top fellow just sits there with his gray hair and says its okay to spend that much to get the budget passed by NA?? Damn it!
Shelukindo ndiye aliyeharribu sakata zima; kuhamisha fedha za serikali kwenda kwenye akaunti za serikali ni ngumu sana kuifanya iwe ufisadi Kama wezi wa EPA wangechukua zile bilioni 133 na kuziingiza kwenye akaunti ya wizara ya afya au elimu sidhani kama watu wangesema ni ufisadi. Labda improper yes lakini corruption the bar is very high. Shelukindo hakutaka watu wakamatwe.. vinginevyo angesubiri wabambishwe.
Kwa kauli aliyoitoa pinda siku hiyo kuhusiana na jairo ni aibu kubwa sana kwa kiongozi makini, sipati picha anatakiwa achukue hatua gani....Tuhuma hizo zilikosa uzito gani? Nadhani kwa sababu hatujui ripoti imesema nini inakuwa vigumu kulizungumzia hili suala.
Ila kutokana na hali halisi, yaani, maneno ya Waziri Mkuu bungeni na kwamba kutakuwa na kutafutana mchawi kati ya Jairo na wafanyakazi wa Wizara si busara kumrudisha wizarani! Waziri Mkuu ni bosi wake! Alimhukumu kabla ya kujua ukweli. Wafanyakazi wa wizara ndio waliomuuza kwa kina Shelukindo. Ni bosi wao!
Hii nchi ina mapungufu kila upande. Kwa wanaotaka mabadiliko na walioko madarakani. Wote wana mapungufu makubwa. Wote wanataka sifa kwa kutotenda au kutekeleza maslahi ya wananchi! Kila mtu anataka aonekane kiongozi bora sio kwamba ni kiongozi bora!
Inakwaza sana kufikiria mwisho wa haya yote!
Walio msingizia waburuzwe mahakamani basi. Kumbe huyu mtu ni innocent???Katibu Mkuu Kiongozi, Philemon Luhanjo,ametoa ripoti na kusema Jairo anarudishwa kazini kuanzia kesho.
===========
UPDATES:
Luhanjo anasema tuhuma zilikuwa za uwongo
Anasema taasisi za Wizara hazizidi 7 na si zaidi ya 20 kama ilivyodaiwa
Taasisi nne tu ndizo zilizochangia na zilichanga karibu TZS 500mil na si zaidi ya 1bil kama ilivyodaiwa
Pesa zilichangwa ili kuwawezesha watendaji watakaoenda kwenye bunge la bajeti
REA walichangia 50mil
TANESCO walichangia 40mil
EWURA waliombwa 40mil lkn hawakutoa, walichangia gharama za chakula na malazi kwa watendaji wa Wizara
Idara ya Uhasibu ya Wizara ilitoa 150mil
Idara ya mipango ya Wizara ilitoa 278mil
More updates to follow
IF SOME ONE IS THINKING DIFFERENT FROM YOU DOESNT MEAN HE/SHE IS WRONG.
JAMANI TUJIFUNZE KUTOFAUTISHA KATI YA MTUHUMIWA NA MKOSAJI...HUO NDIO UTAWALA WA SHERIA...TUACHE SIASA UCHWALA ZINAKWAMISHA SANA MAENDELEO YETU...MMEAMBIWA Pesa zilichangwa ili kuwawezesha watendaji watakaoenda kwenye bunge la bajeti SASA HAPO MNATAKA NINI? KWANI HUO NDO UTARATIBU WA KUPITISHA BAJETI ZA WIZARA ZOTE...ISHU SIO JAIRO...ISHU IKO KWENYE UTARATIBU

Tanzania ni zaidi ya uijuavyo tukazeni buti tu tutafika but not with these bunch of leaders.