Tetesi: Luhanga Mpina kuhamia upinzani 2025. Lipo lengo maalumu linapangwa

Habari zenu wadau wa JF siasa.

Hali ni tete nchini, ndivyo unavyoweza kusema. Amini usiamini, Mbunge wa Kisesa Mh Luhanga Mpina atagombea Urais kupitia chama Kikongwe Cha upinzani 2025

Mpango na mikakati inasukwa kwa ustadi wa Hali ya juu na huenda mwezi June 2025 uanachama wake ndani ya CCM ukakoma. Yeye na watu wake wakubwa wapatao 40 wamejipanga kukiteka chama hicho Cha upinzani. Itakumbukwa kuwa Mheshimiwa Luhanga Mpina amekuwa mkosoaji mkubwa wa serikali akimkosoa Bosi wake wa zamani January Makamba.

Hii sio desturi ya CCM, ni sehemu ya mikakati inayosukwa kumjenga kishawishi na kisisa. Hatma ya CCM ya kipindi hicho itaamuliwa na maombi na kudra za Mwenyezi Mungu.

Kabla ya hiyo June 2025, kundi hili litaibua Mambo mengi serikalini na chamani na itabidi wazee wa chama wasimame haswa kuhakikisha hakutokei vurumai za kisisa nchini.

Huu uzi utafufuliwa mwezi June 2025.
LABDA AENDE ACT CCM B kwa mkopo
 
Mbona alinyimwa tangu enzi za Magufuli?
Si alidhani atakumbukwa!! Kuona hopes zimekufa ndio mapovu ila hakuna mwana CCM asiye mnafiki!!

Kabudi na Pole pole ulitegemea siku moja wangeikana katiba mpya? Ulitegemea Mama Mghwira angeikana hoja ya mikopo kwa wanafunzi??
 
Habari zenu wadau wa JF siasa.

Hali ni tete nchini, ndivyo unavyoweza kusema. Amini usiamini, Mbunge wa Kisesa Mh Luhanga Mpina atagombea Urais kupitia chama Kikongwe Cha upinzani 2025

Mpango na mikakati inasukwa kwa ustadi wa Hali ya juu na huenda mwezi June 2025 uanachama wake ndani ya CCM ukakoma. Yeye na watu wake wakubwa wapatao 40 wamejipanga kukiteka chama hicho Cha upinzani. Itakumbukwa kuwa Mheshimiwa Luhanga Mpina amekuwa mkosoaji mkubwa wa serikali akimkosoa Bosi wake wa zamani January Makamba.

Hii sio desturi ya CCM, ni sehemu ya mikakati inayosukwa kumjenga kishawishi na kisisa. Hatma ya CCM ya kipindi hicho itaamuliwa na maombi na kudra za Mwenyezi Mungu.

Kabla ya hiyo June 2025, kundi hili litaibua Mambo mengi serikalini na chamani na itabidi wazee wa chama wasimame haswa kuhakikisha hakutokei vurumai za kisisa nchini.

Huu uzi utafufuliwa mwezi June 2025.
Yaani yule yulealiyetupimia samaki kwa rula na kutaifisha mabasi yetu kisa abiria ana samaki wawili wa mboga?
Hafai kabisa.
Kama kuna shida anatakiwa kusema sasa hivi na kuirekebisha sio kusubiri kusema ili ajinufaishe kisiasa.
Mtu wa namna hiyo hatufai
 
Huyu mwehu alichotufanyia na dili lake chapa ya ng'ombe hafai hata kumsikia.
 
Yaani yule yulealiyetupimia samaki kwa rula na kutaifisha mabasi yetu kisa abiria ana samaki wawili wa mboga?
Hafai kabisa.
Kama kuna shida anatakiwa kusema sasa hivi na kuirekebisha sio kusubiri kusema ili ajinufaishe kisiasa.
Mtu wa namna hiyo hatufai
Huyo huyo bwashee na atawatesa sana .Jamaa anajua kujenga hoja.Hoja yake imejadiliwa kwa wikinzima yaani hadi Maria space imewaibua kina Lissu halafu unamdharau
 
Tangu lini wavuvi wakaamua hatma ya nani awe raisi wa nchi ya Danganyika acheni masihara basi ,mwendazake kabla hajawa raisi aliwaambia watu wa kigamboni wapige mbizi na bado akawa raisi ccm ni zaidi uijuavyo ..............
 
Hata waliopita ilikuwa kwa influence ipi..?.
Jibu swal ndipo uulize swal!

IMG_20220311_114133.jpg
 
Hicho chama kitakuwa kipumbavu sana, bora kinichukue mimi kama kimekosa mtu!
 
Habari zenu wadau wa JF siasa.

Hali ni tete nchini, ndivyo unavyoweza kusema. Amini usiamini, Mbunge wa Kisesa Mh Luhanga Mpina atagombea Urais kupitia chama Kikongwe Cha upinzani 2025

Mpango na mikakati inasukwa kwa ustadi wa Hali ya juu na huenda mwezi June 2025 uanachama wake ndani ya CCM ukakoma. Yeye na watu wake wakubwa wapatao 40 wamejipanga kukiteka chama hicho Cha upinzani. Itakumbukwa kuwa Mheshimiwa Luhanga Mpina amekuwa mkosoaji mkubwa wa serikali akimkosoa Bosi wake wa zamani January Makamba.

Hii sio desturi ya CCM, ni sehemu ya mikakati inayosukwa kumjenga kishawishi na kisisa. Hatma ya CCM ya kipindi hicho itaamuliwa na maombi na kudra za Mwenyezi Mungu.

Kabla ya hiyo June 2025, kundi hili litaibua Mambo mengi serikalini na chamani na itabidi wazee wa chama wasimame haswa kuhakikisha hakutokei vurumai za kisisa nchini.

Huu uzi utafufuliwa mwezi June 2025.
Magu ndo kiongozi wa mwisho SECULAR leader. 2025 hakuna UCHAGUZI,Tunza na hiyo.
 
Back
Top Bottom