Luhaga Mpina simamia hapohapo, wengine wameamua kulamba asali

Luhaga Mpina simamia hapohapo, wengine wameamua kulamba asali

Unaendelea kujidhihirisha ulivyo MPUMBAVU....ushahidi wa kuwa ninalishwa na shemeji yangu unao ?!!!

Ninaishi wapi ?!!! 😳😳🤣🤣

Anyways , ARGUMENTUM AD HOMINEM imeviza fikra zako.....umeamua tu kumshambulia mh.SSH kwa zile chuki zako zilizojaza moyo wako......View attachment 2180315
FB_IMG_16307140795615105.jpg
 
Unaendelea kujidhihirisha ulivyo MPUMBAVU....ushahidi wa kuwa ninalishwa na shemeji yangu unao ?!!!

Ninaishi wapi ?!!! 😳😳🤣🤣

Anyways , ARGUMENTUM AD HOMINEM imeviza fikra zako.....umeamua tu kumshambulia mh.SSH kwa zile chuki zako zilizojaza moyo wako......View attachment 2180315
Wao wanaleta maneno sisi tunapiga Kazi 👇

Screenshot_20220406-163449.png

Screenshot_20220406-153134.png
 
Baraza la mawaziri la awamu ya pili ya Magufuli kulikwa na waziri wowote kutoka Zanzibar??
Kwani huyu waziri wa Ujenzi wa sasa sio yule aliwahi kuwa kwenye Baraza la Magufuli pia?
 
Mama anazindua nembo, Bora hata anekuna kuzindua takwimu ,

Mama hakufaa kuwa Rais alifaa kuwa mama tu kama wanavyomuita alee watoto wake

USSR
Unadhani kwenye hafla ya Rais huwa kinazungumzwa kitu kimoja tuu? Ndio hapo anawapa vitasa live,yeye ana jukwaa la kuwananga na kuwajibu na wewe utaishia humu humu mitandaoni huwezi thubutu kukenua Domo lako hadharani 😬😬
 
😍👍👏💪🎵🎵

Hawaoni hawasikii ilihali wana MACHO NA MASIKIO🤣🤣

#Siempre SSH🙏
Hata hivyo wapumbavu huwa hawakosekani mkuu ndio Dunia inakamilika hivyo..

Unasikiliza mawazo yake lakini unampuuza na ku focus kwenye mambo ya msingi.
 
Baraza la mawaziri la awamu ya pili ya Magufuli kulikwa na waziri wowote kutoka Zanzibar??
Zanzibar ni akina nani? Wana Baraza lao la wawakilishi,ni mtanganyika yupi alishawahi kuwa kwenye Baraza la wawakilishi?
 
Uwe na adabu kama unavyomheshimu mama yako mzazi......

Mwambie mama yako mzazi agombee uchaguzi mkuu ujao na ashinde awe Rais......

Kuna mama gani wa kiafrika wa miaka zaidi ya 60 anayelea WATOTO wake?!!![emoji15][emoji15]
Nami nakazia hakufaa kuwa Rais,alitakiwa kuwa mama mzazi tu ndo anaweza kuongoza familia
 
Mkishamtumia msije kumtupa [emoji1][emoji1]..

Hadi Msukuma amemkana Bungeni kwamba ni mnafiki na mpuuzi,leo nimemsikia Msukuma kwa kauli yake kwamba Bwawa la Nyerere limesogea mara 4 zaidi ya alivyoliacha JPM na hata kusua sua kwake wamebaini ilikuwa shida ya kitaalamu na sio ishu ya Waziri Makamba..

Sasa huyo Mpina wako ndugu sukuma gang ataungwa mkono na nani? Mwambie arudishe bus la Musukuma alilikamata kwa kupakia samaki 3 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa nini umuhusishe Mpina na Musukuma?
 
Kwani Msukuma ni nani nchi hii zaidi ya kuwa Mbunge wa Geita na Msakatonge tunayemfahamu vema?

Unaongelea MusuKuma huyu huyu aliemkana LOWASSA mara tatu kabla ya Jua kuzama.

Musukuma wanayemjua Kanda ya ziwa ni tofauti na Yule unayemjua wewe!
 
Hakuna cha Ukristo wala Uislamu hapo !! Ukweli ni lazima usemwe !! Msihamishe magoli !!
Mpina anawapiga pini kweli kweli

Naona vita ya kidini inazidi kuwa kubwa BUNGENI ni wakristo na jpm dhidi ya waislam na Samia

CC. Zito kabwe

USSR
 
Tunajua kuna "WALAMBA ASALI" watakaotumika ili kukukatisha tamaa juu ya maamuzi uliyoamua kuyachukua kwa kuwa upande wa wanyonge dhidi ya walamba Asali wa nchi hii.

Tunawaona wengine humu kila Mkemea maovu dhidi ya wanyonge anaishia kuitwa "Sukuma Gang"

Wewe kazia uliposimamia "UKWELI" daima,hujitenga na "UONGO"

Usiwasikilize bali sikiliza wale waliokutuma Bungeni.

Pia tumekwisha waona baadhi ya wazee wa kihuni ndani ya Chama wakianza Press Comference za kutetea Midomo na Matumbo yao.

Sababu wanalamba Asali kupitia teuzi za watoto wao!

Hao tumewazoea na tunawajua na ndio haohao waliowahi kuifelisha CCM hadi wakiuza hata shule za wanyonge.

Lakini leo hii wanajitokeza kama mashujaa,tena wakijisifia kuimiliki CCM.

Mpina umeamua maamuzi magumu lakini katika kipindi muhimu zaidi.Tunajua silaha kubwa ya walina Asali huwa ni "Moto".

Hivyo basi tambua kuwa unapoamua kuingia msituni dhidi ya walamba Asali.
Vema pia ujizatiti kwa kujihadhari zaidi na moto kutoka kwa Wale walina Asali na Moto wao wa "Janaba" na kundi lao la Walina Asali.

Umeamua kupigana vita na kundi ambalo halipo kwa maslahi ya wanyonge,bali kwa maslahi yao na koo zao.

Kwa kuwa Kundi kubwa la wabunge wa CCM,wameamua kuwatelekeza wananchi na wapiga kura wao.
Sababu ya tamaa ya teuzi kwa maslahi yao binafsi.

Wewe simama na "Haki" na hili litaonyesha majibu ambayo yatawashangaza walina Asali.
Labda wajirekebishe.

La sivyo itakuwa suala la Muda tu.umeanza kama peke yako....lakini muda utaongea na Mungu atasimama upande wa wengi!

Sisi watafuta Sembe tuko na wewe........

Maamuzi yoyote ya kukufunga mdoma kwa hila Ovu yatawaumbuwa Soon!
commonmwananchi
10101.
Asimamie nini?unajua kuwa huyo luhaga ni jambazi watayafunua yote aliyowafanyia wavuvi na wafugaji
 
WatApata faida ya kudhalilisha wazee hapo kipindi cha nyuma, dalili zote zinaonyesha utabiri wa Mwalimu unaenda kutimia !! Just a matter of time !!
Kwa sasa wabunge wanataka kujijengea jina na political power kwa wananchi wanapigamia wananchi na kupigania WANANCHI lazima uwe dhidi ya serkali hapa ni hatari sana CCM inagawanyika

USSR
 
Mkishamtumia msije kumtupa [emoji1][emoji1]..

Hadi Msukuma amemkana Bungeni kwamba ni mnafiki na mpuuzi,leo nimemsikia Msukuma kwa kauli yake kwamba Bwawa la Nyerere limesogea mara 4 zaidi ya alivyoliacha JPM na hata kusua sua kwake wamebaini ilikuwa shida ya kitaalamu na sio ishu ya Waziri Makamba..

Sasa huyo Mpina wako ndugu sukuma gang ataungwa mkono na nani? Mwambie arudishe bus la Musukuma alilikamata kwa kupakia samaki 3 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Elimu ndogo tu ya musukuma

USSR
 
Unaendelea kujidhihirisha ulivyo MPUMBAVU....ushahidi wa kuwa ninalishwa na shemeji yangu unao ?!!!

Ninaishi wapi ?!!! [emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]

Anyways , ARGUMENTUM AD HOMINEM imeviza fikra zako.....umeamua tu kumshambulia mh.SSH kwa zile chuki zako zilizojaza moyo wako......View attachment 2180315
Serkali nzima kuzindua nembo TU huoni akili zako zipo viza

USSR
 
Unaweza thibitisha? Hilo Bunge unaangalia peke yako na kuiona hiyo vita?

Mods watu kama Hawa wanaoleta chokochoko za kidini piga ban
Maskini wewe unajua mlipuko wa bei hapa tanzania au unalishwa na babamkwe

USSR
 
Back
Top Bottom