Luhaga Mpina simamia hapohapo, wengine wameamua kulamba asali

Luhaga Mpina simamia hapohapo, wengine wameamua kulamba asali

Tunajua kuna "WALAMBA ASALI" watakaotumika ili kukukatisha tamaa juu ya maamuzi uliyoamua kuyachukua kwa kuwa upande wa wanyonge dhidi ya walamba Asali wa nchi hii.

Tunawaona wengine humu kila Mkemea maovu dhidi ya wanyonge anaishia kuitwa "Sukuma Gang"

Wewe kazia uliposimamia "UKWELI" daima,hujitenga na "UONGO"

Usiwasikilize bali sikiliza wale waliokutuma Bungeni.

Pia tumekwisha waona baadhi ya wazee wa kihuni ndani ya Chama wakianza Press Comference za kutetea Midomo na Matumbo yao.

Sababu wanalamba Asali kupitia teuzi za watoto wao!

Hao tumewazoea na tunawajua na ndio haohao waliowahi kuifelisha CCM hadi wakiuza hata shule za wanyonge.

Lakini leo hii wanajitokeza kama mashujaa,tena wakijisifia kuimiliki CCM.

Mpina umeamua maamuzi magumu lakini katika kipindi muhimu zaidi.Tunajua silaha kubwa ya walina Asali huwa ni "Moto".

Hivyo basi tambua kuwa unapoamua kuingia msituni dhidi ya walamba Asali.
Vema pia ujizatiti kwa kujihadhari zaidi na moto kutoka kwa Wale walina Asali na Moto wao wa "Janaba" na kundi lao la Walina Asali.

Umeamua kupigana vita na kundi ambalo halipo kwa maslahi ya wanyonge,bali kwa maslahi yao na koo zao.

Kwa kuwa Kundi kubwa la wabunge wa CCM,wameamua kuwatelekeza wananchi na wapiga kura wao.
Sababu ya tamaa ya teuzi kwa maslahi yao binafsi.

Wewe simama na "Haki" na hili litaonyesha majibu ambayo yatawashangaza walina Asali.
Labda wajirekebishe.

La sivyo itakuwa suala la Muda tu.umeanza kama peke yako....lakini muda utaongea na Mungu atasimama upande wa wengi!

Sisi watafuta Sembe tuko na wewe........

Maamuzi yoyote ya kukufunga mdoma kwa hila Ovu yatawaumbuwa Soon!
commonmwananchi
10101.
Naunga mkono hoja.
 
Mkuu mark my words ndani ya CCM Kuna vuguvugu kubwa sana zaidi ya Lile la lowasa mwaka 2015 dhidi ya kikwete na mfumuko wa bei utawabeba maana njaa ndio kila kitu hakuna mjanja mbele ya njaa

Wabunge wa ccm wanajipigania maana 2025 kutakuwa kigumu Ile mbeleko ya JPM haipo tena na mama hana mgongo wa kuwa beba

USSR
😳😳🤣🤣🤣

Muda utaongea.....

CCM ipo tu....GREEN PARTY kipo tu......

#Siempre JMT
2991488_images_7.jpeg
🙏
 
Wakati akiwa waziri aliwapola whavuvi mnyavu ,mashine za mitumbwi na Mifugo ,nenda Bariadi waulize jamii ya kisukuma na wamasai wa Morogoro alichowafanyia.
Hatuko hapa kujadili makaburi bali maisha tunayoishi kwa sasa.

Wewe jaribu kuishi nje ya kaburi.

Wewe mdudu hujui nini kilikuwa kinalikumba ziwa victoria hadi kupelekea viwanda vya Samaki kanda ya ziwa hadi Kisumu na Migori,kenya kufungwa.

Bila ile Operesheni uvuvi haramu wa Baruti na Nyavu haramu zenye matundu madogo na Kokoro.
Leo kusingekuwa na hilo ongezeko la samaki katika ziwa Victoria na biashara ya Samaki kurudi mahali pake.
 
Upinzani halisi na wa kweli utatoka ndani ya CCM yenyewe mkuu!

Huko ndio kuna kundi kubwa la wapenda haki ila wametekwa na kundi la moto wa Asali.
Ndio ha hapa ndio unatoka Sasa hivi

USSR
 
Wakati akiwa waziri aliwapola whavuvi mnyavu ,mashine za mitumbwi na Mifugo ,nenda Bariadi waulize jamii ya kisukuma na wamasai wa Morogoro alichowafanyia.
Sisi hayatuhusu hizo ni tuhuma tu kama vipi mkamshtaki , tuko naye kwenye mambo ya msingi

USSR
 
Kwa sasa wabunge wanataka kujijengea jina na political power kwa wananchi wanapigamia wananchi na kupigania WANANCHI lazima uwe dhidi ya serkali hapa ni hatari sana CCM inagawanyika

USSR
Tatizo ni UHUNI uliorudi kwa kasi ndani ya CCM yao.

Kwa lugha na kebehi wanazoendekeza viongozi, lazima kutakuwa na Mpasuko mkubwa.
Unless wamejirekebisha.
 
Ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu .....

Serikali ya Tanzania haikuanza kuundwa na mh.SSH....

Huko nyuma "ujinga huo usiopo" ulisemwa sana na "wafia dini" wasioitambua vyema thamani kubwa ya taifa lao Tanzania.....

Kama si utoto ni nini sasa ?!!!

Tanzania ni MUHIMU zaidi kuliko hizo IMANI ZA DINI ZENU zinazowafanya muwabague wengine tu kwa kuwa tu fulani ameonekana ikulu....kwani ikulu wanatakiwa akina nani haswa?!!!!

#Tanzania NiMuhimu Zaidi Ya Imani Zenu Za Kinafiki
#Siempre JMT[emoji120]
Tangu 2021 march vitu vimepanda bei mamako Yuko huko anademka tu na kuzindua nembo


USSR
 
[emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Muda utaongea.....

CCM ipo tu....GREEN PARTY kipo tu......

#Siempre JMTView attachment 2180301[emoji120]
Nani kakataa kuwepo ccm ipi ila imechoka maisha ya watanzania na mfumuko wa bei unaizamisha tena kama 2015[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] hakuna Rais muislam aliweza kuibeba nchi

USSR
 
Tangu 2021 march vitu vimepanda bei mamako Yuko huko anademka tu na kuzindua nembo


USSR
Mama yuko busy na maandalizi ya 2025.
Huku akisahau Tool kubwa hapo ni sisi wenyewe wapiga kura [emoji994] [emoji819] [emoji735].
 
Hatuko hapa kujadili makaburi bali maisha tunayoishi kwa sasa.

Wewe jaribu kuishi nje ya kaburi.

Wewe mdudu hujui nini kilikuwa kinalikumba ziwa victoria hadi kupelekea viwanda vya Samaki kanda ya ziwa hadi Kisumu na Migori,kenya kufungwa.

Bila ile Operesheni uvuvi haramu wa Baruti na Nyavu haramu zenye matundu madogo na Kokoro.
Leo kusingekuwa na hilo ongezeko la samaki katika ziwa Victoria na biashara ya Samaki kurudi mahali pake.
Huyu anaishi dodoma hajui uvuvi ni nani?


USSR
 
Mpina anawapiga pini kweli kweli

Naona vita ya kidini inazidi kuwa kubwa BUNGENI ni wakristo na jpm dhidi ya waislam na Samia


CC. Zito kabwe

USSR
Kumbe hili ndio tatizo, Sasa naamini upande mmoja wa dini ni wavumilivu. Maana dola ikishikwa na upande wa hakina Magufuli mambo huwa shwari, ila upande wa hakina mama Samia upande wanaanza issues udini.

Sasa hapa ndipo napogundua kuwa huwa mambo mengine yanakuwa ni attacking tu kwa masilahi ya kidini tena ambayo hayana afya kwa Taifa.
 
Back
Top Bottom