Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 9,275
- 19,914
Anayeamua nani awe mbunge ni kamati kuu ya CCM ambayo kiongozi wake ni Samia, mbunge kimbelele utakatwa tu, jidanganye eti wananchi 😂😂Ni kweli kabisa, tena huenda ikafika mahali wakatamani lisionyeshwe live.
Maana baadhi ya wabunge watakaojitambua wataamua kupigania ubunge wao kwa kukaa upande wa wananchi.
Sababu kupitia Bunge live,wapiga kura wao,watakuwa wakiwashuhudia kazi yao!
Yule gaidi wenu aliyekuwa akiua demokrasia mlicheka mkidhani atatawala milele