Luhaga Mpina simamia hapohapo, wengine wameamua kulamba asali

Niliwahi kusema umoja wa ccm uko kwakuwa upinzani uko, lakini ukiua upinzani ccm itagawanyika kikanda, kidini na kimaslahi. Huu ni mwanzo tu, the worse is yet to come. Naomba hiki chama cha washirikina, wapika majungu na mumiani waendelee hivi hivi ili mabadiliko ya kweli yatokee.
Hayo makundi Chadomo hayapo

USSR
 
Nimeshavuka hatua ya kutegemea pesa za vyama vya siasa, au mbeleko ya serikali.
Maisha Yako yalikuwa magumu sana , siku hizi hata humu hujikumtetea gaidi mkuu

USSR
 
Maskini mnalalamikia kilo ya nyama kuwa 10,000..

Mwingine alisema sahani ya wali imepanda kutoka 1,000 hadi 1,500 [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Nalalamikia wewe huko kijini utakula nyama lini na huo umaskini

USSR
 
Kama mamako alivyozeeka na upumbavu wake

USSR
Moja ya sifa ya wapumbavu ni matusi baada ya kukosa hoja.😬😬😬

Ewe mpumbavu tumia akili 👇

JamiiForums-443627714_375x463.jpg
 
Acha uongo wako na kujipa faraja zisizokuwepo. CCM ifanye ufisadi wa Richmond, EPA, ituongezee tozo, watu wasiojulikana, ikatae katiba mpya na Tume Huru halafu unatuletea ujinga wa upinzani wa kweli utatoka CCM ya upumbavu.

Upinzani wa kweli upo Upinzani. Hivi upinzani wa kweli Ni upi zaidi ya kulimwa Risasi na kutupwa gerezani kwa kosa la ugaidi?.
Mkuu econonist suala la upinzani wa kweli kutoka CCM sio kauli yangu bali ya Baba wa Taifa Mwalimu nyerere.

Kwa upumbavu wangu nimeshuhudia Upinzani wa kweli ukitokea CCM mara mbili.

Mara ya kwanza ilikuwa ni kutoka kwa Augustino Mrema.

Mara ya pili ilikuwa ni kutoka kwa Edward LOWASSA

Lakini pia,kwa upumbavu wangu huo huo nimeshuhudia Upinzani wa kweli ukitokea ndani ya Chadema yenyewe.

Hii ilikuwa ni kutoka kwa Zitto Zuberi Kabwe kuanzisha @ACT ambaye mnasumbuana naye pengine kuliko hata @CCM yenyewe.
 
Niko jukwaani since 2011, sijawahi kuyumba bundle.
Tangu ulivyopigwa chini pale BAVICHA wakamchagua yule dogo nilijua utakimbia ukabila pale ufipa , upo tu

USSR
 
Mkuu econonist suala la upinzani wa kweli kutoka CCM sio kauli yangu bali ya Baba wa Taifa Mwalimu nyerere.

Kwa upumbavu wangu nimeshuhudia Upinzani wa kweli ukitokea CCM mara mbili.

Mara ya kwanza ilikuwa ni kutoka kwa Augustino Mrema.

Mara ya pili ilikuwa ni kutoka kwa Edward LOWASSA

Lakini pia,kwa upumbavu wangu huo huo nimeshuhudia Upinzani wa kweli ukitokea ndani ya Chadema yenyewe.

Hii ilikuwa ni kutoka kwa Zitto Zuberi Kabwe kuanzisha @ACT ambaye mnasumbuana naye pengine kuliko hata @CCM yenyewe.
Zito huyuhuyu mchumia Tumbo

USSR
 
Mama yuko busy na maandalizi ya 2025.
Huku akisahau Tool kubwa hapo ni sisi wenyewe wapiga kura [emoji994] [emoji819] [emoji735].
Wewe unaamini unaweza kumtoa Samia kwa Kura?? Kweli mnaota 😂😂
 
Tunajua kuna "WALAMBA ASALI" watakaotumika ili kukukatisha tamaa juu ya maamuzi uliyoamua kuyachukua kwa kuwa upande wa wanyonge dhidi ya walamba Asali wa nchi hii.

Tunawaona wengine humu kila Mkemea maovu dhidi ya wanyonge anaishia kuitwa "Sukuma Gang"

Wewe kazia uliposimamia "UKWELI" daima,hujitenga na "UONGO"

Usiwasikilize bali sikiliza wale waliokutuma Bungeni.

Pia tumekwisha waona baadhi ya wazee wa kihuni ndani ya Chama wakianza Press Comference za kutetea Midomo na Matumbo yao.

Sababu wanalamba Asali kupitia teuzi za watoto wao!

Hao tumewazoea na tunawajua na ndio haohao waliowahi kuifelisha CCM hadi wakiuza hata shule za wanyonge.

Lakini leo hii wanajitokeza kama mashujaa,tena wakijisifia kuimiliki CCM.

Mpina umeamua maamuzi magumu lakini katika kipindi muhimu zaidi.Tunajua silaha kubwa ya walina Asali huwa ni "Moto".

Hivyo basi tambua kuwa unapoamua kuingia msituni dhidi ya walamba Asali.
Vema pia ujizatiti kwa kujihadhari zaidi na moto kutoka kwa Wale walina Asali na Moto wao wa "Janaba" na kundi lao la Walina Asali.

Umeamua kupigana vita na kundi ambalo halipo kwa maslahi ya wanyonge,bali kwa maslahi yao na koo zao.

Kwa kuwa Kundi kubwa la wabunge wa CCM,wameamua kuwatelekeza wananchi na wapiga kura wao.
Sababu ya tamaa ya teuzi kwa maslahi yao binafsi.

Wewe simama na "Haki" na hili litaonyesha majibu ambayo yatawashangaza walina Asali.
Labda wajirekebishe.

La sivyo itakuwa suala la Muda tu.umeanza kama peke yako....lakini muda utaongea na Mungu atasimama upande wa wengi!

Sisi watafuta Sembe tuko na wewe........

Maamuzi yoyote ya kukufunga mdoma kwa hila Ovu yatawaumbuwa Soon!
commonmwananchi
10101.

Bila katiba mpya mbona huyu shujaa wako mpya wembe uliomnyoa Ndugai au kiroboto utakuwa sasa unaandaliwa?
 
Samahani wanyonge ndio akina nani?
 
Mpina hoja yako simama nayo hivyohivyo kwani vitisho vipo ila mweke Mungu mbele kwa kila jambo.
Usiogope kwani Mungu ni Mwema kwako.
Amina
 
CCM mtajuta kumpa yule kichaa wa Chato nchi... Wafuasi wake wamekuwa brainwashed kila kitu wanalalamika wakimkumbuka 'mkombozi' wao
Kama ulivyo brainwashed na yule gaidi aliyenyea ndoo hadi akaomba msamaha

USSR
 
Back
Top Bottom