Luhaga Mpina simamia hapohapo, wengine wameamua kulamba asali

Luhaga Mpina simamia hapohapo, wengine wameamua kulamba asali

Mama yuko busy na maandalizi ya 2025.
Huku akisahau Tool kubwa hapo ni sisi wenyewe wapiga kura [emoji994] [emoji819] [emoji735].
Mama anazindua nembo, Bora hata anekuna kuzindua takwimu ,

Mama hakufaa kuwa Rais alifaa kuwa mama tu kama wanavyomuita alee watoto wake

USSR
 
Tangu 2021 march vitu vimepanda bei mamako Yuko huko anademka tu na kuzindua nembo


USSR
Umesahau kuwa UVIKO imechangia pakubwa?!!!

Jengine Urusi ilianza kuishambulia Ukraine tarehe 24 February.....
FB_IMG_16307140795615105.jpg
 
Huu ndio ukweli Sasa ndani ya CCM ni udini tu na uzanzibar hapa wafuasi wa jpm wanaona waislam wa zanzibar hasa pale ikulu (kumbuka wote walitoka zanzibar kwenye safisha safisha ya kuondoa pro JPM pale ikulu .

Kwa Sisi waislam ndugu wa karibu ni muislam mwenzako kabla ya yeyote ndio unaona. Simba wa yuda na .......


USSR
Baraza la mawaziri la awamu ya pili ya Magufuli kulikwa na waziri wowote kutoka Zanzibar??
 
Hivi hajakamatwa mkono wenye tongue na kutikiswa na yeye akishuhudia tongue linavyomdondoka huku akibakia njaa na siyaamini macho yake 🤔
 
Mama anazindua nembo, Bora hata anekuna kuzindua takwimu ,

Mama hakufaa kuwa Rais alifaa kuwa mama tu kama wanavyomuita alee watoto wake

USSR
Uwe na adabu kama unavyomheshimu mama yako mzazi......

Mwambie mama yako mzazi agombee uchaguzi mkuu ujao na ashinde awe Rais......

Kuna mama gani wa kiafrika wa miaka zaidi ya 60 anayelea WATOTO wake?!!!😳😳
 
Umesahau kuwa UVIKO imechangia pakubwa?!!!

Jengine Urusi ilianza kuishambulia Ukraine tarehe 24 February.....View attachment 2180309
Uviko ulikuwa wapi 2019 ,mama wafanyabiashara wamemzidi ujanja na yeye kutaka kuonekana mwenye roho nzuri huku wananchi wanateseka tu , unawakemea wafanyabiashara kwenye jukwaa badala ya kuwafuatilia

USSR
Screenshot_20220408-123535.jpg
 
Nani kakataa kuwepo ccm ipi ila imechoka maisha ya watanzania na mfumuko wa bei unaizamisha tena kama 2015[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] hakuna Rais muislam aliweza kuibeba nchi

USSR
Andamana basi kupinga nchi isiwe na rais mwenye imani hiyo na ulazimishe katiba ibadilishwe na kuweka zuio hilo.......

Hizi imani zenu/zetu sijui zinawaviza fikra na kuwa watumwa wa mioyo na matamanio yasiyo UHALISIA?!!!!

#Siempre JMT🙏
 
Uwe na adabu kama unavyomheshimu mama yako mzazi......

Mwambie mama yako mzazi agombee uchaguzi mkuu ujao na ashinde awe Rais......

Kuna mama gani wa kiafrika wa miaka zaidi ya 60 anayelea WATOTO wake?!!![emoji15][emoji15]
Mama uchumi umemshinda yeye anajua kuzindua nembo tu tena akiifuta km 120 kwa ndege na serkali yote kwa gharama za Kodi zetu , nembo tu , kilaza kama wewe huwezi jua kwa kuwa unalelewa na dadako unalishwa Bure na shemeji Yako

USSR
 
Andamana basi kupinga nchi isiwe na rais mwenye imani hiyo na ulazimishe katiba ibadilishwe na kuweka zuio hilo.......

Hizi imani zenu/zetu sijui zinawaviza fikra na kuwa watumwa wa mioyo na matamanio yasiyo UHALISIA?!!!!

#Siempre JMT[emoji120]
Kina mpina na gambo wananandamana bungeni sisi ni kuwaunga mkono tu , achana na magaidi wale kula kulewa tu

USSR
 
Tunajua kuna "WALAMBA ASALI" watakaotumika ili kukukatisha tamaa juu ya maamuzi uliyoamua kuyachukua kwa kuwa upande wa wanyonge dhidi ya walamba Asali wa nchi hii.

Tunawaona wengine humu kila Mkemea maovu dhidi ya wanyonge anaishia kuitwa "Sukuma Gang"

Wewe kazia uliposimamia "UKWELI" daima,hujitenga na "UONGO"

Usiwasikilize bali sikiliza wale waliokutuma Bungeni.

Pia tumekwisha waona baadhi ya wazee wa kihuni ndani ya Chama wakianza Press Comference za kutetea Midomo na Matumbo yao.

Sababu wanalamba Asali kupitia teuzi za watoto wao!

Hao tumewazoea na tunawajua na ndio haohao waliowahi kuifelisha CCM hadi wakiuza hata shule za wanyonge.

Lakini leo hii wanajitokeza kama mashujaa,tena wakijisifia kuimiliki CCM.

Mpina umeamua maamuzi magumu lakini katika kipindi muhimu zaidi.Tunajua silaha kubwa ya walina Asali huwa ni "Moto".

Hivyo basi tambua kuwa unapoamua kuingia msituni dhidi ya walamba Asali.
Vema pia ujizatiti kwa kujihadhari zaidi na moto kutoka kwa Wale walina Asali na Moto wao wa "Janaba" na kundi lao la Walina Asali.

Umeamua kupigana vita na kundi ambalo halipo kwa maslahi ya wanyonge,bali kwa maslahi yao na koo zao.

Kwa kuwa Kundi kubwa la wabunge wa CCM,wameamua kuwatelekeza wananchi na wapiga kura wao.
Sababu ya tamaa ya teuzi kwa maslahi yao binafsi.

Wewe simama na "Haki" na hili litaonyesha majibu ambayo yatawashangaza walina Asali.
Labda wajirekebishe.

La sivyo itakuwa suala la Muda tu.umeanza kama peke yako....lakini muda utaongea na Mungu atasimama upande wa wengi!

Sisi watafuta Sembe tuko na wewe........

Maamuzi yoyote ya kukufunga mdoma kwa hila Ovu yatawaumbuwa Soon!
commonmwananchi
10101.
Mkishamtumia msije kumtupa 😄😄..

Hadi Msukuma amemkana Bungeni kwamba ni mnafiki na mpuuzi,leo nimemsikia Msukuma kwa kauli yake kwamba Bwawa la Nyerere limesogea mara 4 zaidi ya alivyoliacha JPM na hata kusua sua kwake wamebaini ilikuwa shida ya kitaalamu na sio ishu ya Waziri Makamba..

Sasa huyo Mpina wako ndugu sukuma gang ataungwa mkono na nani? Mwambie arudishe bus la Musukuma alilikamata kwa kupakia samaki 3 😂😂😂😂
 
Kumbe hili ndio tatizo, Sasa naamini upande mmoja wa dini ni wavumilivu. Maana dola ikishikwa na upande wa hakina Magufuli mambo huwa shwari, ila upande wa hakina mama Samia upande wanaanza issues udini.

Sasa hapa ndipo napogundua kuwa huwa mambo mengine yanakuwa ni attacking tu kwa masilahi ya kidini tena ambayo hayana afya kwa Taifa.
Hivi kwa nini Upande mmoja unakuwa wa kipigaji na usiojali wapiga kura wao?
 
Mama uchumi umemshinda yeye anajua kuzindua nembo tu tena akiifuta km 120 kwa ndege na serkali yote kwa gharama za Kodi zetu , nembo tu , kilaza kama wewe huwezi jua kwa kuwa unalelewa na dadako unalishwa Bure na shemeji Yako

USSR
Unaendelea kujidhihirisha ulivyo MPUMBAVU....ushahidi wa kuwa ninalishwa na shemeji yangu unao ?!!!

Ninaishi wapi ?!!! 😳😳🤣🤣

Anyways , ARGUMENTUM AD HOMINEM imeviza fikra zako.....umeamua tu kumshambulia mh.SSH kwa zile chuki zako zilizojaza moyo wako......
2960219_IMG-20211010-WA0032.jpg
 
Mpina anawapiga pini kweli kweli

Naona vita ya kidini inazidi kuwa kubwa BUNGENI ni wakristo na jpm dhidi ya waislam na Samia


CC. Zito kabwe

USSR
Unaweza thibitisha? Hilo Bunge unaangalia peke yako na kuiona hiyo vita?

Mods watu kama Hawa wanaoleta chokochoko za kidini piga ban
 
Back
Top Bottom