Luhaga Mpina simamia hapohapo, wengine wameamua kulamba asali

Luhaga Mpina simamia hapohapo, wengine wameamua kulamba asali

Upinzani halisi na wa kweli utatoka ndani ya CCM yenyewe mkuu!

Huko ndio kuna kundi kubwa la wapenda haki ila wametekwa na kundi la moto wa Asali.

Acha uongo wako na kujipa faraja zisizokuwepo. CCM ifanye ufisadi wa Richmond, EPA, ituongezee tozo, watu wasiojulikana, ikatae katiba mpya na Tume Huru halafu unatuletea ujinga wa upinzani wa kweli utatoka CCM ya upumbavu.

Upinzani wa kweli upo Upinzani. Hivi upinzani wa kweli Ni upi zaidi ya kulimwa Risasi na kutupwa gerezani kwa kosa la ugaidi?.
 
Unadhani kwenye hafla ya Rais huwa kinazungumzwa kitu kimoja tuu? Ndio hapo anawapa vitasa live,yeye ana jukwaa la kuwananga na kuwajibu na wewe utaishia humu humu mitandaoni huwezi thubutu kukenua Domo lako hadharani [emoji51][emoji51]
Ndio kilo ya nyama 10000 as if ng'ombe zinatika urusi

USSR
 
Hata hivyo wapumbavu huwa hawakosekani mkuu ndio Dunia inakamilika hivyo..

Unasikiliza mawazo yake lakini unampuuza na ku focus kwenye mambo ya msingi.
Mpumbavu ni wewe hujui mfumuko wa bei kazi kushika Dela la mama TU

USSR
 
Mpumbavu ni wewe hujui mfumuko wa bei kazi kushika Dela la mama TU

USSR
Wapumbavu huwa hamkosekani ndio maisha yanakamilika hivyo.

Huwezi ni drag huku 👇

Screenshot_20220222-100231.jpg
 
Tunajua kuna "WALAMBA ASALI" watakaotumika ili kukukatisha tamaa juu ya maamuzi uliyoamua kuyachukua kwa kuwa upande wa wanyonge dhidi ya walamba Asali wa nchi hii.

Tunawaona wengine humu kila Mkemea maovu dhidi ya wanyonge anaishia kuitwa "Sukuma Gang"

Wewe kazia uliposimamia "UKWELI" daima,hujitenga na "UONGO"

Usiwasikilize bali sikiliza wale waliokutuma Bungeni.

Pia tumekwisha waona baadhi ya wazee wa kihuni ndani ya Chama wakianza Press Comference za kutetea Midomo na Matumbo yao.

Sababu wanalamba Asali kupitia teuzi za watoto wao!

Hao tumewazoea na tunawajua na ndio haohao waliowahi kuifelisha CCM hadi wakiuza hata shule za wanyonge.

Lakini leo hii wanajitokeza kama mashujaa,tena wakijisifia kuimiliki CCM.

Mpina umeamua maamuzi magumu lakini katika kipindi muhimu zaidi.Tunajua silaha kubwa ya walina Asali huwa ni "Moto".

Hivyo basi tambua kuwa unapoamua kuingia msituni dhidi ya walamba Asali.
Vema pia ujizatiti kwa kujihadhari zaidi na moto kutoka kwa Wale walina Asali na Moto wao wa "Janaba" na kundi lao la Walina Asali.

Umeamua kupigana vita na kundi ambalo halipo kwa maslahi ya wanyonge,bali kwa maslahi yao na koo zao.

Kwa kuwa Kundi kubwa la wabunge wa CCM,wameamua kuwatelekeza wananchi na wapiga kura wao.
Sababu ya tamaa ya teuzi kwa maslahi yao binafsi.

Wewe simama na "Haki" na hili litaonyesha majibu ambayo yatawashangaza walina Asali.
Labda wajirekebishe.

La sivyo itakuwa suala la Muda tu.umeanza kama peke yako....lakini muda utaongea na Mungu atasimama upande wa wengi!

Sisi watafuta Sembe tuko na wewe........

Maamuzi yoyote ya kukufunga mdoma kwa hila Ovu yatawaumbuwa Soon!
commonmwananchi
10101.

Hii kujifanya unatetea wananchi wakati haupo kwenye ulaji tunaijua sana. Sasa ngoja afanyiwe fitina aliyoona sawa wapinzani wakifanyiwa.
 
Nami nakazia hakufaa kuwa Rais,alitakiwa kuwa mama mzazi tu ndo anaweza kuongoza familia
Amewaachia wauzaadawa ya kulevya, mafisadi , wahujumu uchumi Sasa wanamgeuka atajuta eti uislam dini ya haki . Vip somaria, Syria, nako Kuna haki kama hizo za kuachia magaidi

USSR
 
WatApata faida ya kudhalilisha wazee hapo kipindi cha nyuma, dalili zote zinaonyesha utabiri wa Mwalimu unaenda kutimia !! Just a matter of time !!
Mafisadi wamerudi na humu JF wamo

USSR
 
Acha uongo wako na kujipa faraja zisizokuwepo. CCM ifanye ufisadi wa Richmond, EPA, ituongezee tozo, watu wasiojulikana, ikatae katiba mpya na Tume Huru halafu unatuletea ujinga wa upinzani wa kweli utatoka CCM ya upumbavu.

Upinzani wa kweli upo Upinzani. Hivi upinzani wa kweli Ni upi zaidi ya kulimwa Risasi na kutupwa gerezani kwa kosa la ugaidi?.
Wale sio wapinzani ni wasakatonge tu hawana lolote , ruzuku ya million 320 miaka kumi bado mmepanga

USSR
 
Ndio kilo ya nyama 10000 as if ng'ombe zinatika urusi

USSR
Ifike hata 100,000 so long as inanuliwa ma kuisha basi jua kabisa pesa sio shida awamu hii..

Nyama ni luxury kama wewe ni maskini tafuta substitute ya nyama,hata hivyo hakuna anaeweza kukusumbua Kwa bei ya nyama kupanda 😂😂..

Mkoani kg 1,,tsh.7000 toka mwaka Jana.

Kula maharage tuu inatosha.
 
Hii kujifanya unatetea wananchi wakati haupo kwenye ulaji tunaijua sana. Sasa ngoja afanyiwe fitina aliyoona sawa wapinzani wakifanyiwa.
Niambie mfia chama , hapo ufipa kila siku unapigwa tarehe kulipwa wanalipwa kina mdee na bulaya

USSR
 
Huu ndio ukweli Sasa ndani ya CCM ni udini tu na uzanzibar hapa wafuasi wa jpm wanaona waislam wa zanzibar hasa pale ikulu (kumbuka wote walitoka zanzibar kwenye safisha safisha ya kuondoa pro JPM pale ikulu .

Kwa Sisi waislam ndugu wa karibu ni muislam mwenzako kabla ya yeyote ndio unaona. Simba wa yuda na .......


USSR

Niliwahi kusema umoja wa ccm uko kwakuwa upinzani uko, lakini ukiua upinzani ccm itagawanyika kikanda, kidini na kimaslahi. Huu ni mwanzo tu, the worse is yet to come. Naomba hiki chama cha washirikina, wapika majungu na mumiani waendelee hivi hivi ili mabadiliko ya kweli yatokee.
 
Ifike hata 100,000 so long as inanuliwa ma kuisha basi jua kabisa pesa sio shida awamu hii..

Nyama ni luxury kama wewe ni maskini tafuta substitute ya nyama,hata hivyo hakuna anaeweza kukusumbua Kwa bei ya nyama kupanda [emoji23][emoji23]..

Mkoani kg 1,,tsh.7000 toka mwaka Jana.

Kula maharage tuu inatosha.
Maskini mnatabu sana

USSR
 
Niambie mfia chama , hapo ufipa kila siku unapigwa tarehe kulipwa wanalipwa kina mdee na bulaya

USSR

Nimeshavuka hatua ya kutegemea pesa za vyama vya siasa, au mbeleko ya serikali.
 
Back
Top Bottom