Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,035
- 12,812
Kwa hiyo walioratibu shughuli hiyo umewazidi akili parefu ?!! Si ndio eee?!!!Serkali nzima kuzindua nembo TU huoni akili zako zipo viza
USSR
#Siempre JMT🙏
Kwa hiyo walioratibu shughuli hiyo umewazidi akili parefu ?!! Si ndio eee?!!!Serkali nzima kuzindua nembo TU huoni akili zako zipo viza
USSR
Kila mtu atakufa lakini ni raha Sana kuona lile jambazi lilivyokufaHuyo wenu hata kufa
USSR
Imani ya mfumo wako dume imeshindwa kutuzuia watanzania tusiongozwe na mh.Rais SSH.....Nami nakazia hakufaa kuwa Rais,alitakiwa kuwa mama mzazi tu ndo anaweza kuongoza familia
Maskini mnatabu sana
USSR
luhanga mpina ... huyu ni mnafiki tu kama walivyokuwa kina polepole na wenzake.Tunajua kuna "WALAMBA ASALI" watakaotumika ili kukukatisha tamaa juu ya maamuzi uliyoamua kuyachukua kwa kuwa upande wa wanyonge dhidi ya walamba Asali wa nchi hii.
Tunawaona wengine humu kila Mkemea maovu dhidi ya wanyonge anaishia kuitwa "Sukuma Gang"
Wewe kazia uliposimamia "UKWELI" daima,hujitenga na "UONGO"
Usiwasikilize bali sikiliza wale waliokutuma Bungeni.
Pia tumekwisha waona baadhi ya wazee wa kihuni ndani ya Chama wakianza Press Comference za kutetea Midomo na Matumbo yao.
Sababu wanalamba Asali kupitia teuzi za watoto wao!
Hao tumewazoea na tunawajua na ndio haohao waliowahi kuifelisha CCM hadi wakiuza hata shule za wanyonge.
Lakini leo hii wanajitokeza kama mashujaa,tena wakijisifia kuimiliki CCM.
Mpina umeamua maamuzi magumu lakini katika kipindi muhimu zaidi.Tunajua silaha kubwa ya walina Asali huwa ni "Moto".
Hivyo basi tambua kuwa unapoamua kuingia msituni dhidi ya walamba Asali.
Vema pia ujizatiti kwa kujihadhari zaidi na moto kutoka kwa Wale walina Asali na Moto wao wa "Janaba" na kundi lao la Walina Asali.
Umeamua kupigana vita na kundi ambalo halipo kwa maslahi ya wanyonge,bali kwa maslahi yao na koo zao.
Kwa kuwa Kundi kubwa la wabunge wa CCM,wameamua kuwatelekeza wananchi na wapiga kura wao.
Sababu ya tamaa ya teuzi kwa maslahi yao binafsi.
Wewe simama na "Haki" na hili litaonyesha majibu ambayo yatawashangaza walina Asali.
Labda wajirekebishe.
La sivyo itakuwa suala la Muda tu.umeanza kama peke yako....lakini muda utaongea na Mungu atasimama upande wa wengi!
Sisi watafuta Sembe tuko na wewe........
Maamuzi yoyote ya kukufunga mdoma kwa hila Ovu yatawaumbuwa Soon!
commonmwananchi
10101.
WEWE NI WA KUONEWA HURUMA TU.Timu gaidi wameungana na mafisadi ya ccm
Alisaidia sana kuweka utaratibu wa uvunaji wa samaki kanda ya ziwa, wakati anapewa uwaziri viwanda vya samaki vilikuwa vimefungwa kwa kukosa samaki wenyewe kukidhi viwango vya kimataifa. Congrats Mpinaluhanga mpina ... huyu ni mnafiki tu kama walivyokuwa kina polepole na wenzake.
huyu alimteua mtu aliyekuwa anakunywa nae pombe pale Dodoma kwenda kuwa mkurugenzi wa marine park akijua hana sifa na utaratibu haupo hivyo ni nafasi ya KUOMBA.
Akamtumia mtu wake aliyemteua kwenda kupima samaki kwa rula pale bungeni.
alichoma nyavu za watu huko pwani na kanda ya ziwa bila hata kufuata utaratibu wa kisheria.
huu uzalendo anautoa wapii?
TUACHE UNAFIKI
Uchaguzi ulifanyika lini zaidi ya uporaji?Jimbo gani liko upinzani kama hai Iko ccm sasa
USSR
Wewe ni taahira nafikiri,jpm alikuwa mkristu,makamu wa rais alikuwa ni mwisilam,na waziri mkuu pia alikuwa mwisilam,udini unatoka wapi hapo?, wengine ni kama mnalaana vile,Huu ndio ukweli Sasa ndani ya CCM ni udini tu na uzanzibar hapa wafuasi wa jpm wanaona waislam wa zanzibar hasa pale ikulu (kumbuka wote walitoka zanzibar kwenye safisha safisha ya kuondoa pro JPM pale ikulu .
Kwa Sisi waislam ndugu wa karibu ni muislam mwenzako kabla ya yeyote ndio unaona. Simba wa yuda na .......
USSR