Ludovick Joseph: Kilio cha usaliti - Sehemu ya pili

Ludovick Joseph: Kilio cha usaliti - Sehemu ya pili

Hivi wewe Mwampamba kila mtu umekutana nae UDSM hiv unanikumbuka na mie maake na mie nilisoma pale,kaka acha porojo huna sera hivi kwa nini usijipe mazoezi ya kutengeneza hoja ili hata ukiwa kweny mikutano yenu Magamba ukatoa kitu kizuri.Acha majungu
 
Bwana mdogo hebu hizi hoja zako muulize Deus Mally mwenyewe yupo humu JF atakujibu kupitia uzi huu
'Deus Mallya: Maswali na majibu... Kifo cha Wangwe, Siasa n.k'
 
Afadhali Mtela anaelezea facts tupu, CHADEMA wanakesha kwa majungu tu humu JF. Mwacheni kijana afunguke halafu tutamkaribisha SHONZA naye afunguke ili taifa liendelee kutawalika na amani yetu idumu.
Taifa linaendelea kutawalika kwa woga wetu wala siyo amani yetu. Ndiyo maana umasikini unazidi kila kukicha hali inakuwa mbaya. Kila wakati tangu enzi ya Mkapa tulikuwa tunaambiwa uchumi wa nchi unakua na kwamba kwa mwananchi wa kawaida hawezi kuona hilo kirahisi hadi baadaye sana. More than ten years down the line, nchi inazidi kuyoyoma kwenye lindi la umaskini na rais wetu hajui ni kwa nini... Amani indeed!!!
 
Kuelekea 2015 mambo mengi machafu yatazushwa. Vyombo vya dola vitatumika kuisaidia ccm, kama ilivyokuwa enzi za NCCR na CUF. Wapinzani njaa watanunuliwa na kurudishwa ccm, hayo si mambo mageni.

Jambo muhimu ni kutulia na kuacha wanaoropoka waendelee kufanya hivyo, waacheni waseme wanachodhani kitawasaidia. Lakini ni busara upinzani ukajikita kwenye hoja za msingi zenye maslahi kwa watanzania. Waeleze watafanya vipi kuboresha hali za wananchi na kusimamia rasilimali za nchi. Kujenga uchumi imara wa kujitegemea iwe ajenda ya chama kinachojiandaa kuchukua dola. Huku kuchafuana kwa kawaida hakudumu muda mrefu.

Kukaa kimya ni busara sana, hasa inapotokea unajaribu kumelewesha mjinga.
 
Bwana Mwampamba,
Ingekuwa na tija kama haya mnayoandika mngeyatoa kwenye mikutano ya hadhara kama wenzenu wanavyofanya kupitia M4C. Vinginevyo mtakuja kupata akili mkiwa kizimbani kwa uchochezi wenu siku si nyingi zijazo.
 
baunsa lenye ufahamu finyu wa Alikokimbilia...... weee dogo CCM inawenyewe mwanangu! oooohooooh ngoja kama huta dondosha machozi mchana kweupe!!!
 
bado sijakuelewa maana yako hasa ya kuandika habari hii hapa...mbona mkipewa mambo mazuri kama hayo ya safari za nje ya nchi...hamsemi viongozi wa juu wamewasariti..! yaani napata tabu maana yako inalenga nini hasa....
 
Mtela Mwampamba... Kusema kweli haijalishi kama haya ni kweli ama ni uongo. Inachojalisha ni kuwa wewe ndiye umeyatoa, baada ya kuwa mwana CCM baada ya kushindikana kuwa mwana CDM. Kwamba siku zote uliona sawa kumezea na sasa ndiyo wakati wa kuyaanika?

Kwa mwananchi yeyote atakae kuwa anatumia habari hizi ama Siasa za gutter politics zinazotumika kama kigezo pekee cha kuki judge Chadema atakuwa bado ni mchanga katika kutambua vigezo vya kuchagua chama na ni dalili ya kuwa ndiyo wale washabiki hata kura siku ya mwisho hapigi!

Hakuna Chama kisicho na madhaifu, kama ilivyo Chadema na madhaifu yake... Ila hii nguvu na devotion yenu juu ya Chadema na Viongozi wake inatupa walakini wa nia yenu huku ikitoa picha ya woga mkubwa mlio nao juu ya Chama na viongozi wa Chadema.

Kinachosikitisha zaidi ni kuwa inafanywa na vijana ambao wanawaza kuwa tegemezi katika taifa kwa kuwawakilisha wananchi ipasavyo badala ya kukesha kila siku kwa kuwaza namna ya uharibifu na uteketezi wa chama kingine! Punguzeni selfshness jamani... Mfikirie na m'Tanzania wa kawaida anaye hitaji ukombozi toka hali mbaya tuliopo sasa!

Mtizamo mzuri huu! Mwishowe issue si itikadi ... ni Mtanzania wa kawaida ..Malumbanao yanatoshaaaa!!
 
In information sharing the following optios are possible:
  1. A right message coming from the right source
  2. A right message coming from the wrong source
  3. A wrong message coming from the right source
  4. A wrong message coming from the wrong source

Mr. Mtela, hii possibility namba 1 haikuhusu kabisa kwa sababu kwa hali ya kawaida huwezi kuingolea CDM kwa mazuri since you party each other not by mutual consent and you feel aggrieved hence you are not the right source. Even though, what you are saying might be true (right message) but very few people can believe you (especially those without your background). This makes you to fit properly in possibility 2 (provided what you are saying is true). I dont want to comment on the last two possibilities..............so use your common sense to forecast if what you are saying is worthy or not! Unless you will be confirming a puzzle which was unanswered.
 
so what...unataka tuseme kitdumu chama cha mapinduzi au....
mbona uliyaishi haya wala ukuwai yasema uko nyuma?...bora ya chadema kuliko ccm iyo wasaliti wananch zaid ya milion 40..alafu WEWE na MCHANGE nashindwa kabisa kuwaelewa ni watu wa aina gani..siasa za maneno ya khanga mipasho zimewayaa...yani kwa dunia ya sasa hufai hata kuwa head boy wa shule ya secondari..wehu nyie
 
Angalizo muhimu sana sana kwa chadema na viongozi wake woote:

This is now too much.....huku kuchafuana kwenye mitandao kunatia kinyaa.....Nawaomba chadema...na viongozi wake(haswa wale wanaoonekana kuchafuliwa humu)wachukue hatua mara moja sasa (kkwa kuwatumia mawakili wake)kuwashtaki hawa jamaa kina Mwampamba...na wenzake wanaokuja na tuhuma humu jf....Washtakini mahakamani hawa majamaa wanaoonesha wazi nia chafu dhidi ya chadema......fanyeni hivyo mara moja...maana huu ni mkakati wa kuwachafua pamoja na chama chenu.....Chukueni hatua washtakini hawa ili wakaeleze wakajibu hizi tuhuma mahakamani....na wakishindwa mnawafunga....hii ndio dawa ya kushughulikia hii issue.....vinginevyo mtachafuliwa wote.....hizi ni mbinu chafu za ccm....kuwachafua mbele ya jamii.....Fanyeni hivi..mnao wanasheria makini....mbona wao wanawapeleka mahakamani nyie kwa tuhuma zisizo na uhakika???....pelekeni na nyie wao mahakani...woote hawa wenye tuhuma.....I tell you do this now...mtaniambia.....
 
Mleta thread anakosa moral authority ya kumhukumu Ludovick kwa makosa ya usaliti kwa sababu na yeye mwenyewe amelalamikiwa kwa makosa hayohayo ya kusaliti misingi ya chama (wakati akiwa CDM) ikiwa ni pamoja na kuunda kikundi kilicho kuwa na nia ovu ndani ya chama kinyume na katiba na itifaki za kichama.

Kwa mantiki hiyo, kuendeleza mjadala wa mtu aliyekosa moral authority kumhukumu mtu mwingine kwa makosa kama yake ni kinyume na logical principals ambazo ndio msingi mkubwa wa watu makini kwenye mijadala. Tunacho kifanya hapa kumuelezea Ludovick kwa namna yoyote ile ni kumfanyia character assassination hasa kama tukimuangalia kwa kusadifu maandiko ya msaliti Mtela Mwampamba.
 
Last edited by a moderator:
Hahaaha kila nikiisoma hii thread najiuliza huyu mtela mwampamba anafikiria kwa kutumia nini? Maana nayeye ni msaliti ila usaliti wake hauoni anaona usaliti wa wenzake.

Ni kwa nini aliwasaliti masalia? Kwa sababu ilibidi aendelee kupambana bila kujitoa labda ndo maana nahisi wenzake hawamuungi mkono kwa kila thread atakayoanzisha tofauti na zamani watu wenye id kama kina tuntemeke wako wapi wamsaport kama anayoyasema ni ya kweli?

Kama hawamsapoti maana yake yeye ndio msaliti namba moja.
 
Mleta thread anakosa moral authority ya kumhukumu Ludovick kwa makosa ya usaliti kwa sababu na yeye mwenyewe amelalamikiwa kwa makosa hayohayo ya kusaliti misingi ya chama (wakati akiwa CDM) ikiwa ni pamoja na kuunda kikundi kilicho kuwa na nia ovu ndani ya chama kinyume na katiba na itifaki za kichama.

Kwa mantiki hiyo, kuendeleza mjadala wa mtu aliyekosa moral authority kumhukumu mtu mwingine kwa makosa kama yake ni kinyume na logical principals ambazo ndio msingi mkubwa wa watu makini kwenye mijadala. Tunacho kifanya hapa kumuelezea Ludovick kwa namna yoyote ile ni kumfanyia character assassination hasa kama tukimuangalia kwa kusadifu maandiko ya msaliti Mtela Mwampamba.

Okey,sawa..haya tueleze kwanini Dr.Slaa leo anamkana Ludo?wewe binafsi unamwamini Dr.slaa kwenye kama anasema kweli hamjui Ludo????nahitajika ufafanuzi zaidi toka kwenu mavolunteer watiifu wa chadema
 
Unasema, umejiunga UDSM 2007 na ulikuwa uko mstari wa mbele kuhakikisha CHADEMA au vijana wengi wanajounga na CHADEMA. Nimekuwa UDSM toka 2001 mpaka sasa. Naomba usidanganye watu mwamko wa vijana kujiunga na CHADEMA umekua kuanzia baada ya Uchaguzi wa 2010.

Kwani wewe bila kuungaunga stori kuhusu viongozi wa CHADEMA huwezi kuwa mwanasiasa?

Ushauri: "Always the bottom determines the top" . The bottom are the masses (wapiga kura) na the top (ndo viongozi). Kwa nini usielekeze nguvu nyingi ku-win the masses kwa kutenda au kufanya au kuwaondolea kero zao?

Hivi haya mnayokuja nayo kila siku kwenye mitaandao ya jamii yakishindwa what is your plan B,C etc?
 
maelezo marefu...lakini lengo lako ni kujaribu kumhusisha Deus na kifo cha Wangwe...unaposema deusi alipelekwa Urusi kwa mafunzo maalumu unamaanisha nini.??

Huyu jamaa huwa naepuka sana kujibu upuuzi wake...
Mbona Deus aliweka wazi kilichojiri humu? Ina maana bado anaamini Deus alikuwa Dereva wa CW?
 
Mleta thread anakosa moral authority ya kumhukumu Ludovick kwa makosa ya usaliti kwa sababu na yeye mwenyewe amelalamikiwa kwa makosa hayohayo ya kusaliti misingi ya chama (wakati akiwa CDM) ikiwa ni pamoja na kuunda kikundi kilicho kuwa na nia ovu ndani ya chama kinyume na katiba na itifaki za kichama.

Kwa mantiki hiyo, kuendeleza mjadala wa mtu aliyekosa moral authority kumhukumu mtu mwingine kwa makosa kama yake ni kinyume na logical principals ambazo ndio msingi mkubwa wa watu makini kwenye mijadala. Tunacho kifanya hapa kumuelezea Ludovick kwa namna yoyote ile ni kumfanyia character assassination hasa kama tukimuangalia kwa kusadifu maandiko ya msaliti Mtela Mwampamba.


wewe nae jifunze kujadili hoja si mleta hoja,itakusaidia sana. ukweli ni ukweli tu hata kama amesema usiempenda,na uongo ni uongo tu hata kama aseme baba yako. Mtela Mwampamba kaleta hoja,ijadiliwe hoja,kama kuna sehem kapotosha aelezwe,aonywe. tuache ujanja ujanja wa ki magamba kukwepa hoja....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom