Ludovick Joseph: Kilio cha usaliti - Sehemu ya pili

Mtela, ningependa kukushauri tu kuwa km kijana ni mhm ujifunze kuwa "kiongozi" wa watu. Siasa ni nyenzo ya kusaidia wenye ideology inayofanana kuomba kushika dola ili itumie raslimali zilizopo kuwaletea maendeleo wananchi (ambao pia ndio wapigakura).

Kiongozi bora si anayewanyooshea wengine vidole (iwe kweli au si kweli). Siasa safi ni kushughulisha vichwa vya wenye itikadi ya juu ya namna ya kuwashawishi wananchi waamini muongoze. Pia, iwe ni za halali au la, kiongozi shupavu ni yule anayetunza siri za serikali, taasisi, au kampuni anayoifanyia kazi. Na kiongozi bora akibadilisha ideology (km ww), hutumia knowledge yake ya wapinzani kuweka mikakati ya ndani kupanga mbinu sahihi za kupata uungaji mkono wa umma. Kamwe huzunguki na kukashifu (iwe ni jambo la kweli au la) kule ulikotoka.

Kumbuka viongozi karibu wote waanzilishi wa upinzani nchini walitokea CCM na sijawahi kuwasikia wakieleza kiunaga ubaga vifo vya akina Stan Katabaro (Mwandishi wa Gazeti la Mfanyakazi - aliyeandika khs Loliondo kuuzwa), kifo cha Mama Salome Mbatia (akiwa M/Hazina CCM wakati wa EPA), kifo cha Imran Kombe, upotevu wa fedha za Import Support, kifo cha Horace Kolimba (Katibu Mkuu - CCM), nk.

Kwa post yako hii Mtela umetuonesha sisi tusio na vyama kuwa:
1. Umetumwa kuleta hili ikiwa ni mkakati usio endelevu wala wa kuijenga nchi ambao CCM unautumia kwa sasa,
2. Alignment ya post yako haina umakini and inakosa central theme,
3. Huna ukomavu kabisa wa kisiasa na kiuongozi ambayo ni kwa kuwa uliingia kwenye siasa ukiwa hujapevuka,
4. Hujui km unatumika km bulldozer na uki-depreciate utaanza kuitukana CCM na kuhamia UPDP,
5. Unahitaji counseling na niko tayari kukusaidia.
 
Habar nmejitokeza hapa kujaribu kupambanua hizi hoja za jamaa yangu Mtela Mwampamba.

Kuna mambo huyu kijana mwenzangu ameyazungumza toka jana kwenye hoja yake ya USALITI.
ameonesha mengi lakini me naomba nmurekebishe katika hoja yake ya kusalitiwa na kwa ndugu Ludovick.

Mtela alieleza jana kuwa LUDO amekanwa na viongozi wakuu wa chama na kwamba mawakili wanaomtetea Lwakatare hawamtetei LUDO.

Hii hoja ni ya kipuuzi kwani imejaa upotoshaji mkuu
kwani mawakili wote wanaotetea Lwakatare pia wanamtetea na na LUDO.

Sasa hii hoja ya Mtela inalenga nini hasa?

Nani anamtumia huyi mtu? Au anafanta hv kwa manufaa gani? Lwakatare na LUDO wanatetewa na mawakili watano, ss iweje Mtela aseme LUDU atengwa na hakuna wakili anamtetea huu ni upotishaji wa makusudi kabisa.

Vijana tuache mambo ya ajabu ajabu na tufanye kazi kwa bidii ya kuijenga nchi na si kutumiwa na watu kwa manufaa yao binafisi.

Mtela alikuwa CHADEMA na haya aliyoyaandika aliyaona lakini hakuyasema hadi alipofukuzwa ndo anaanza kutapatapa kuandika walaka ambao hauna msingi hata kidgo kwa Taifa letu.

Mtela aliaanza kutumiwa na wana ccm kwa kujaribu kuivuruga CHADEMA but akastukiwa na CHADEMA kwa kuwa hiki ni chama makini sana kwa kufanya uchunguzi wa kina sana na kubaini mamluki hawa wa kishenzi

Mtela nngemuona wa maanasana kama angeyasema mapema haya lakini kuwa kuyasema haya baada ya kufukuzwa uanachama kwa utovu wa maadili ya kikanuni na kikatiba.

Ni hayo tu wanakamii wenzangu ntarudi tena.
 
Bwana mdogo, kwanza hii thread yako inaonekana kuna mtu amekusaidia kuandika. Wewe huna uwezo wa kuandika kitu chenye mtiririko wa namna hii japo hauna ukweli na ni propaganda zako na waliokutuma.

Mwambie huyo unaesaidiana nae katika propaganda zako kwamba tumeshawagundua na ukweli uko wazi.
By the way, ungekuwa na akili timamu kwa muda huu ungejikita kwenye kusoma na kuzielewa sera za chama chako kuukuu ulichohamia na sio kuinua mkia wako kwa CDM, tuachie chama chetu. What a fool!
 
Mtela, ningependa kukushauri tu kuwa km kijana ni mhm ujifunze kuwa "kiongozi" wa watu. Siasa ni nyenzo ya kusaidia wenye ideology inayofanana kuomba kushika dola ili itumie raslimali zilizopo kuwaletea maendeleo wananchi (ambao pia ndio wapigakura).

Kiongozi bora si anayewanyooshea wengine vidole (iwe kweli au si kweli). Siasa safi ni kushughulisha vichwa vya wenye itikadi ya juu ya namna ya kuwashawishi wananchi waamini muongoze. Pia, iwe ni za halali au la, kiongozi shupavu ni yule anayetunza siri za serikali, taasisi, au kampuni anayoifanyia kazi. Na kiongozi bora akibadilisha ideology (km ww), hutumia knowledge yake ya wapinzani kuweka mikakati ya ndani kupanga mbinu sahihi za kupata uungaji mkono wa umma. Kamwe huzunguki na kukashifu (iwe ni jambo la kweli au la) kule ulikotoka.

Kumbuka viongozi karibu wote waanzilishi wa upinzani nchini walitokea CCM na sijawahi kuwasikia wakieleza kiunaga ubaga vifo vya akina Stan Katabaro (Mwandishi wa Gazeti la Mfanyakazi - aliyeandika khs Loliondo kuuzwa), kifo cha Mama Salome Mbatia (akiwa M/Hazina CCM wakati wa EPA), kifo cha Imran Kombe, upotevu wa fedha za Import Support, kifo cha Horace Kolimba (Katibu Mkuu - CCM), nk.

Kwa post yako hii Mtela umetuonesha sisi tusio na vyama kuwa:
1. Umetumwa kuleta hili ikiwa ni mkakati usio endelevu wala wa kuijenga nchi ambao CCM unautumia kwa sasa,
2. Alignment ya post yako haina umakini and inakosa central theme,
3. Huna ukomavu kabisa wa kisiasa na kiuongozi ambayo ni kwa kuwa uliingia kwenye siasa ukiwa hujapevuka,
4. Hujui km unatumika km bulldozer na uki-depreciate utaanza kuitukana CCM na kuhamia UPDP,
5. Unahitaji counseling na niko tayari kukusaidia.

Kama uko makini unaweza kujua kwanini almost post yako yote nimeiwekea rangi katika baadhi ya sehemu katika sentensi zako:
i) Kiongozi wa watu-"katika maana ya Kiongozi wa watu" naam nachukua ushauri wako wa kuendelea kujifunza, ni katika misingi ya chama changu cha CCM kujielimisha.
ii) Kuonyeshana kidole hasa kwa mtu anayekosea kwa lengo la kumtaka aache makosa yake ni sahihi na ndio hasa MAANA ya uimara wa kiongozi, awe na uwezo wa kuona maovu na mabaya kwa wenzake na kuinua kidole kuwanyooshea na kuwakemea, hakuna kuleana na kulindana katika kuangamiza wengine.
iii) hapo kwenye rangi ya njano sijaelewa ulitaka kumaanisha nini..?
iv) Kuhusu wapinzani kutosema juu ya Vifo vya watu hao sidhani kama linafanana hilo na hili tunalolizungumza hapa.,kwanza sijui na sidhani kama kuna mahusiano yeyote kati ya vifo vya watu uliowataja na Chama walichokuwa wanatoka wapinzani hao unaowataja. Lakini sijui pia kama wapinzani hao wanajua kinagaubaga juu ya chama walichohama kama vile mimi ninavyokijua kinagaubaga chama nilichokihama.
v) Wewe usio na Chama..? kwa maana ipi kutokuwa na kadi ama vipi.,maana unaonekana kabisa ni shabiki wa chama fulani.
vi) CCM ndio wanautumia mkakati wa kuwafanya ninyi kuwakana watu mliowatumia ama ni CCM ndio imewafunza usaliti.?
vii) Kuhusu post yangu kukosa central theme.,that prove your myopic view on the matter presented.
viii) Kuhusu kuingia kwenye siasa kabla ya kupevuka, ni sahihi kwangu na kwa kila mtu, hakuna ambae anaeingia kwenye siasa tu na kupevuka.,hasa ikiwa umejiunga kwenye kundi la wanaharakati wasio na uelewa sahihi wa siasa na wanashindwa kusimamia katika misingi na nidhamu za kisiasa, hawana uvumilivu wa kisiasa, hawajui nini maana ya uongozi wala kuongoza, wao wenyewe wakuu katika chadema wamepotea na wanapoteza wengine.
ix) Ama kuhusu kuhamia UDPD na kuhitaji counselling hiyo ni mitazamo na maono yako na yatabaki kuwa yako.,sina msaada katika hilo.

KIMSINGI NI KWAMBA, U WILL COME TO UNDERSTAND THIS WHEN IT'S TOO LATE AND THAT'S FOR SURE.....!
 
Hivi Mtela mwampamba umetumwa? na je nani kakutuma? Kuwa makini ndugu yangu maisha ni upendo na sio vita.
 
angalizo muhimu sana sana kwa chadema na viongozi wake woote:

this is now too much.....huku kuchafuana kwenye mitandao kunatia kinyaa.....nawaomba chadema...na viongozi wake(haswa wale wanaoonekana kuchafuliwa humu)wachukue hatua mara moja sasa (kkwa kuwatumia mawakili wake)kuwashtaki hawa jamaa kina mwampamba...na wenzake wanaokuja na tuhuma humu jf....washtakini mahakamani hawa majamaa wanaoonesha wazi nia chafu dhidi ya chadema......fanyeni hivyo mara moja...maana huu ni mkakati wa kuwachafua pamoja na chama chenu.....chukueni hatua washtakini hawa ili wakaeleze wakajibu hizi tuhuma mahakamani....na wakishindwa mnawafunga....hii ndio dawa ya kushughulikia hii issue.....vinginevyo mtachafuliwa wote.....hizi ni mbinu chafu za ccm....kuwachafua mbele ya jamii.....fanyeni hivi..mnao wanasheria makini....mbona wao wanawapeleka mahakamani nyie kwa tuhuma zisizo na uhakika???....pelekeni na nyie wao mahakani...woote hawa wenye tuhuma.....i tell you do this now...mtaniambia.....

wee unataka akatapike maovu ya viongozi ndani ya mahakama? We huwatakii wema viongozi wako.
 
Hongera sana Mkuu kwa kututoa tongo za macho...ingawa sikupendezewa ulipohama upinzani na kuhamia ccm ila kwa hili lazima nikupongeze,najua Chadema hapa watasema mpaka povu liwatoke,ila mimi nasema hatuwezi kuwapa nchi hii chama cha kigaidi hata siku moja,na ccm nayo ifunge virago muungano wa ccr mageuzi na cuf ndio watakao shika dola 2015 INSHAALLAH
 
mtela, ningependa kukushauri tu kuwa km kijana ni mhm ujifunze kuwa "kiongozi" wa watu. Siasa ni nyenzo ya kusaidia wenye ideology inayofanana kuomba kushika dola ili itumie raslimali zilizopo kuwaletea maendeleo wananchi (ambao pia ndio wapigakura).

Kiongozi bora si anayewanyooshea wengine vidole (iwe kweli au si kweli). Siasa safi ni kushughulisha vichwa vya wenye itikadi ya juu ya namna ya kuwashawishi wananchi waamini muongoze. Pia, iwe ni za halali au la, kiongozi shupavu ni yule anayetunza siri za serikali, taasisi, au kampuni anayoifanyia kazi. Na kiongozi bora akibadilisha ideology (km ww), hutumia knowledge yake ya wapinzani kuweka mikakati ya ndani kupanga mbinu sahihi za kupata uungaji mkono wa umma. Kamwe huzunguki na kukashifu (iwe ni jambo la kweli au la) kule ulikotoka.

Kumbuka viongozi karibu wote waanzilishi wa upinzani nchini walitokea ccm na sijawahi kuwasikia wakieleza kiunaga ubaga vifo vya akina stan katabaro (mwandishi wa gazeti la mfanyakazi - aliyeandika khs loliondo kuuzwa), kifo cha mama salome mbatia (akiwa m/hazina ccm wakati wa epa), kifo cha imran kombe, upotevu wa fedha za import support, kifo cha horace kolimba (katibu mkuu - ccm), nk.

Kwa post yako hii mtela umetuonesha sisi tusio na vyama kuwa:
1. Umetumwa kuleta hili ikiwa ni mkakati usio endelevu wala wa kuijenga nchi ambao ccm unautumia kwa sasa,
2. Alignment ya post yako haina umakini and inakosa central theme,
3. Huna ukomavu kabisa wa kisiasa na kiuongozi ambayo ni kwa kuwa uliingia kwenye siasa ukiwa hujapevuka,
4. Hujui km unatumika km bulldozer na uki-depreciate utaanza kuitukana ccm na kuhamia updp,
5. Unahitaji counseling na niko tayari kukusaidia.

kwanini ushauri kwa mwampamba? Na sio vijana wanaoiandika vibaya serikali ya ccm kwanini usiwashauri katika kujenga hoja na mikakati ya kuendeleza taifa pale wapiga kura watakakipa chama husika nafasi ya kutawala?
Broo kifupi uko biased na hii ni kwakuwa mtela kawashika pabaya wapenzi na wafuata upepo wa chadema.
Mtela we ni jembe ambalo ccm inajivunia kuwa nalo.
Endelea kuwaelimisha waliokuwa hawakijui chama hiki vizuri wachukue tahadhari.
 
Yote haya ni majungu tu! Jamani wengine tunamachungu hela imekuwa ngumu tunaitafuta kwa shida alafu matumizi hayaeleweki wengine mnaleta porojo tu hapa
 
Hv mwampamba ni msafi sana wakuu sasa unataka ulivyo kuwa chadema ulikuwa mjinga au baba alivyo fukuzwa ndo uliona hayo ila nakushauri bado sana mwana hujui kesho ccm hao hao wana weza kuchinjiwa baharini bora unge kaa tu home na taaluma yako ya ualimu ukaomba kazi hapo temeke shule c zipo tu mkuu

UNATENGEZEA BIFU KWA CHAMA ZALIMU UNAKUMBUKA UKIWA CHUO NA JINSI ULIYO KUWA UNA ISEMA CCM
 
wewe ,juliana shonza,nape mnaweza kuanzisha bendi ya taarabu,alafu mambo kibao unayoyasema ni kwa faida ya nani,au ccm wakuone wewe ni mchapakazi,brother unajiaibisha,sijui ni ushamba wa mbozi au sijui ni nini ..be real bro
 
Mke aliyeachika usimwamini akikwambia juu ya mme wa zamani. Kwani kitakachokuwa kinamsumbuwa ni wivu tu
 
Mkuu, nimekusoma lakini unapotosha kwa makusudi mwanzo mwisho, hakuna ukweli. Hata kama unapiga proganda kwa niaba ya ya ccm hii imezidi. Na hii haitawasaidia ccm 2015.

Kaka umeandika kwa unyonge sana! kweli "UGAIDI" wa lwakatare umewabakisha midomo wazi poleni makamanda! huenda yataanikwa mengi sana na mstaajabu.

Karibu ADC
 
mwampamba, I always thank you for these useful informations. usipate tabu sana na maprochadema. sisi tunaelewa kinachoendelea nyuma ya pazia. thank you again and again.....
 
Kama uko makini unaweza kujua kwanini almost post yako yote nimeiwekea rangi katika baadhi ya sehemu katika sentensi zako:
i) Kiongozi wa watu-"katika maana ya Kiongozi wa watu" naam nachukua ushauri wako wa kuendelea kujifunza, ni katika misingi ya chama changu cha CCM kujielimisha.
ii) Kuonyeshana kidole hasa kwa mtu anayekosea kwa lengo la kumtaka aache makosa yake ni sahihi na ndio hasa MAANA ya uimara wa kiongozi, awe na uwezo wa kuona maovu na mabaya kwa wenzake na kuinua kidole kuwanyooshea na kuwakemea, hakuna kuleana na kulindana katika kuangamiza wengine.
iii) hapo kwenye rangi ya njano sijaelewa ulitaka kumaanisha nini..?
iv) Kuhusu wapinzani kutosema juu ya Vifo vya watu hao sidhani kama linafanana hilo na hili tunalolizungumza hapa.,kwanza sijui na sidhani kama kuna mahusiano yeyote kati ya vifo vya watu uliowataja na Chama walichokuwa wanatoka wapinzani hao unaowataja. Lakini sijui pia kama wapinzani hao wanajua kinagaubaga juu ya chama walichohama kama vile mimi ninavyokijua kinagaubaga chama nilichokihama.
v) Wewe usio na Chama..? kwa maana ipi kutokuwa na kadi ama vipi.,maana unaonekana kabisa ni shabiki wa chama fulani.
vi) CCM ndio wanautumia mkakati wa kuwafanya ninyi kuwakana watu mliowatumia ama ni CCM ndio imewafunza usaliti.?
vii) Kuhusu post yangu kukosa central theme.,that prove your myopic view on the matter presented.
viii) Kuhusu kuingia kwenye siasa kabla ya kupevuka, ni sahihi kwangu na kwa kila mtu, hakuna ambae anaeingia kwenye siasa tu na kupevuka.,hasa ikiwa umejiunga kwenye kundi la wanaharakati wasio na uelewa sahihi wa siasa na wanashindwa kusimamia katika misingi na nidhamu za kisiasa, hawana uvumilivu wa kisiasa, hawajui nini maana ya uongozi wala kuongoza, wao wenyewe wakuu katika chadema wamepotea na wanapoteza wengine.
ix) Ama kuhusu kuhamia UDPD na kuhitaji counselling hiyo ni mitazamo na maono yako na yatabaki kuwa yako.,sina msaada katika hilo.

KIMSINGI NI KWAMBA, U WILL COME TO UNDERSTAND THIS WHEN IT'S TOO LATE AND THAT'S FOR SURE.....!
kama vile mimi ninavyokijua kinagaubaga chama nilichokihama. IMETOSHA KAKA..,USIJE KUENDELEA ZAIDI HAWA JAMAA UTAWAMALIZA.
 
Back
Top Bottom