Ludovick Joseph akamatwa na Polisi...

Ludovick Joseph akamatwa na Polisi...

Siwaamini Ccm wanaweza kumseti ili aje aseme alitumwa na lwakatare
 
Nguvu ya Ukweli ni Kubwa kuliko nguvu ya Umma! Ukweli huahirishwa hauwezi kufichwa, Chadema inajitafuna inafukuza waropokaji inakumbatia wauaji! Bora tugawane majimbo kuliko kuongozwa na Mafia walojivika uzalendo wa kimagumashi! Pole sana Jakaya Muuaji tumemjua, Mwakyembe,Mwandosya, Ulimboka walipopata Ukweli walikuelewa na wakakuomba msamaha!
 
Waandis wa habari wenyewe wanajua nani anawaandama, pia uma unaelewa, hivyo hakuna haja ya kuunga unga vitu visivyokuwepo. Hata hivyo wananchi hawawezi kudanganyika na huu mpiko
 
Naona CHADEMA wanashindwa ku comment kwenye huu uzi, wanasubiri mwongozo!

Toweni maoni yenu kulingana na Mtiririko wa taarifa mlizonazo.

Mungu hamfichi mnafiki, awe CCM au CHADEMA mwisho tutamjua tu.
 
Sidhani kama unajua unacho kiandika!

atasema na rwakatare ni feki na ametumwa na ccm kuiua chadema. anasahau kuwa na yeye yumo hatarini na yote hayo yalikuwa yanafanyika kwa kutokana na ushauri wake. mbowe pia hakwepi hapo
 
Jamani, mimi sibahatishi! Hapa nimeamua kupambana maana najua maisha yana mwisho. Hii habari ya kukamatwa kwake ni kweli kabisa. Watanzania tupambane tuhakikishe Tanzania inakuwa salama wa binadamu wote kuishi.
You have got issues to sort bwana mdogo.
Kama unataka watu wanunue kale kagazeti kenu kwa majungu haya sahau.

Unasoma soma kwenye mitandao ya kijamii na kujifanya unajua sana? Pathetic.
 
Kinachofanyika ni uundaji na utungaji wakijaribu kuitengeneza clip ifanane na vile wanavyotaka wao li kesho wajitape kuwa wameweza kumbe uzushi na unafiki tu. Wameharibu wanatafuta mzushi wa kuharibu...
 
aibu ilioje, hakika Mungu hawafichi wanafiki...natetemeka Ninavyosoma mjengwa anahusika kwa namna yoyote ile
Usitetemeke mkuu, picha ndio kwanza linaanza, Not yet known ni nini hasa na lengo ni nini.
 
Ukifungua page ya Joseph Ludovick kwenye facebook anasema alitekwa na majambazi siku ya tukio la kupigwa Kibanda na majambazi ila hawakumpiga zaidi ya kumvua nguo na kuchukua vitu alivyokuwa navyo kama flash disk, laptop na pesa elfu 35. Inabidi tuconnect dots hapa. Kuna uwezekano flash disk na laptop ndo ali-save hiyo clip na recordings nyingine. Ishu inaweza kuwa kweli na kumbuka jamaa wangeipeleka polisi wasingepata hela hivyo kunauwezekano kuipeleka CCM ndo waliona jamaa watatoa hela.
Ukimsikiliza Dr slaa anasema walishapata habari kwamba kitu kama hicho kitatokea na walikuwa wanajiandaa jinsi ya kudeal nayo
Mimi CDM ila tuangalie mlolongo wa matukio hapo na hakuna lisilowezekana
Inawezekana Lwakatare alifanya kweli pengine kuwalizisha wakubwa, na theories nyingine tu hapo
 
Hapa najaribu kuunganisha nukta..naanza kuamini mchezo huu unamhusisha pia maggid mjengwa kwa sabab bwana ludovick amekamatwa iringa eneo ambalo maggid pia ni mkaz wake,,

je tuamini mhusika/wahusika walikimbilia iringa kujificha ama kupumzika mara baada ya uovu huu.

Jambo lingine ni uhusika wa magenge yanayohasimiana huko magambani kuhusika moja kwa moja kumdhuru kibanda kwa kuwatumia waandishi wa habari wenzao hasa wanaohasimiana na hapa namweka maggid.

Anyway, time will tell

Mario
 
Waandis wa habari
wenyewe wanajua nani anawaandama, pia uma unaelewa, hivyo hakuna haja ya
kuunga unga vitu visivyokuwepo. Hata hivyo wananchi hawawezi
kudanganyika na huu mpiko

hao wananchi unaowasema ni akina nani? ni pamoja na mimi? mie sipo na wewe wala na chadema chenu. wauaji wakubwa nyie. hamna hata dhambi. ndiyo maana upadre umewashinda. loooo aibuuuuu
 
Back
Top Bottom