Lucy Mayenga alivyowaeleza wabunge ukweli

Lucy Mayenga alivyowaeleza wabunge ukweli

Uhamiaji wanahangaika na manji waniacha ccm kwa kuajili wahamiaji haramu Kama hawa, uraia wake Una walakini Sana na angekuwa upinzani naona tayari angekuwa amerudishwa kwao, akiendelea kuleta mchezo watu watatirika majina take ya kinyarwanda na sababu zilizomfanya aje tz, za chinichini inasemekana ni pandikizi la p,

Hapa sijui alitaka kuongea nini, ukimfuatilia kwa makini Kama kuna kitu anataka kusema lakini hasemi anaishia njiani, ndo tunategemea hawa wakae wamshauri raisi, tan MTU Ana mawazo kimaskini hivi
 
Huyu mama ametapika. Hivi ni kweli wabunge wananunuliwa? Mbona aibu, waseme bei ili tuwanunue!
 
Huyu nadhani ni mtusi na si mtanzania. Anataka wabunge wakae kimya? Hajui kuwa kazi ya mbunge ni kukosoa na kuishauri serikali? Au ndio anawinda uwaziri? Kweli baadhi ya wabunge wa ccm ni mizigo.
Anaonekana tu sio mtanzania ni mnyarwanda.
 
Huyu amekaa muda mrefu ila hajui kazi za wabunge bungeni. kazi za wabunge si kuunda vijikundu (saccos. )

Kazi namba 1 ya bunge ni kuisimamia serekali .
 
Sina uhakika sana lakini kabla ya uchaguzi na kabla ya El kuingia UKAWA agenda ya upinzani ilikuwa ni kumpata Rais mwenye haiba kama ya MAGU na Wabunge wazalendo na nchi ili kurudisha nidhamu kazini na uwajibikaji vitu ambavyo kwa sasa vinafanywa kwa spidi ya ajabu. Kasoro huwa hazikosi ila huo uzalendo kutoka kwa Wabunge waliowengi wa upinzani umepungua sana na Unaweza kuona ni kwa kiasi gani wanavyokosoa hatua za serikali katika kumaliza Ishu ya madawa ya kulevya, ufisadi, Elimu bure, Ujenzi wa miundombinu MAMA ambayo huchochea maendeleo kwa haraka kama vile reli, usafiri wa anga, barabara n.k.
Mkuu ukiingia kwenye ofisi za serikali kuna nidhamu za kutosha. Udhaifu wa uongozi uliokuwa ukipigiwa kelele na akina Mnyika haupo tena na kimsingi ndicho walikuwa wakikitaka wakati huo. Mi naona mtoto aliyezaliwa alitanguliza miguu badala ya kichwa tofauti na matarajio ya wapinzani nchini. Ili tuwe wazalendo wa kweli basi tumwache achape kazi na pale panapoonekana panakasoro basi tujenge hoja na Kukosoa huku tukitoa na suluhisho la kasoro zenyewe. Hivi sasa humu ndani kuna wakosoaji wa hata mheshimiwa Rais Magufuli akijifuta jasho. Wanahoji kwanini bodyguard asimfute.. Basi alimradi ni UPINZANI
Teh teh teh asante kwa hitimisho zuri mkuu. Dah!! Hata akijifuta jasho watu wanakosoa tu ndio upinzani ulipofikia.
 
Back
Top Bottom