Mtoto wa Ndesamburo.Who is Lucy Mayenga? Simjui vema ila amesema kama ilivyotakiwa kusemwa. Bungeni nako kuna wabangaizaji kwa kivuli cha kuwakilisha wananchi
Mtoto kama mtoto au mtoto kama baby wa Ndesamburo? Ng'ombe inasemekana hazeeki mainiMtoto wa Ndesamburo.
Mkuu una uhakika ama unapiga propaganda hapo Lumumba ili uende msalani?! Mtoto wa Ndesamburo anakuwa mbunge wa CCM?!Mtoto wa Ndesamburo.
Mkuu una uhakika?! Mtoto wa Ndesamburo anakuwa mbunge wa CCM?!Mtoto wa Ndesamburo.
Hapana yule Lucy Owenya huyu ni Lucy Mayenga ni wawili tofaut.Mtoto wa Ndesamburo.
Asante nimechanganya majina.Hapana yule Lucy Owenya huyu ni Lucy Mayenga ni wawili tofaut.
Mtoto wa Ndesamburo ni Lucy Owenya mbunge wa CHADEMAMbona wanadai ni mnyarwanda sio mtanzania atakuwaje mtoto wa Ndesamburo?! Kumekucha!
Huyu ni mtoto wa shinyanga mjini.Mtoto wa Ndesamburo.
Ukifuata na kuamini anayosema Mange Kimambi utajikuta umekuwa Mtu wa ajabu ajabu,maana hana maadili hata toneNdio huyu CV yake inazagaa huko Instagram!
Kweli duniani ni kusitiriana ukijifanya unajua wenzio wanajua zaidi, ona sasa wamemvua nguo!
Pole yake
Amefanikiwa kuvuna nzi wengi sana..kweli nzi hufata kinukacho..Ukifuata na kuamini anayosema Mange Kimambi utajikuta umekuwa Mtu wa ajabu ajabu,maana hana maadili hata tone