Lucy Mayenga alivyowaeleza wabunge ukweli

Lucy Mayenga alivyowaeleza wabunge ukweli

Lucy atakuwa amepata fundisho. Na sio yeye tuu bali kwa wabunge wote kuwa maneno yenye shombo yatapelekea kuanikwa tabia zao mpaka zile za chumbani. Kuzungumza bungeni huku mkiwanajisi wananchi ili kujitafutia sifa za kijinga kutoka kwa walio madarakani kutapelekea kuwa jua kwa undani tabia zenu chafu kabisa.
Lucy umeaibika 100% na huna pa kufichia sura yako. Na sio ajabu hii ndoa yako ya nne ikajifia na kupelekea wewe kutafuta ndoa ya tano.
Na wembe ni ule ule kwa watakao leta maneno ya shombo bungeni.
Ha ha ha mkuuu taratibu jamank
 
Aisee kuna sehemu nimesoma habari zake hadi nikaogopa ..nasikia anapenda sana kutoa mtandao pendwa ...kina Maembe..Api &son ,Rost tamu ...wamefumua sana
mbona wewe unaliraruliwa hujisemi, hujui tumekustahi tu mpaka nyumba unayouzia inajulikana
 
Imagine mbunge anasema yeye anawaza biashara tu na ukija kuchunguza biashara yenyewe kumbe ni kuuza mbunye tu kwa vibosile.
mbona na wewe unauza na hatusemi au unafikiri hatujui biashara yako kubwa ni ipi..wake za Mange Kimavi yenu majungu
 
kwa mtu mwenye akili mbovu tu ndie atapenda kumsifia Mange,lakini hatushangai wenzetu wamezoea kutukana,sijui hiyo ndio ilani yao ya kisiasa ?
Sema tu humu unatumia ID fake ila Nina uhakika mange kisha kujeruhi, unavyoongaea kwa hisia
 
Wapo mbweha mle bungeni wanatumwa na matajiri kuwasemea issue zao alaf wanajifanya wazalendo kweli
 
Ni mawazo yenu tu. Kwa mtu mwenye akili alishatambua Mange ni mtu wa aina gani. Hana issue. Alishapewa mshiko wake na mamvi so anajitahidi kuchafua watu bila sababu. Malaya hanaga brake mdomoni siku zote. Ukimshabikia Mange basi akili huna hata kidogo.
kwahiyo Lowassa kawazidi dau this time??
 
Mkuu sasa maadili angeyatolea wapi ikiwa baba yake aliuawa kwenye fumanizi!si tumzowee tu.
Si vyema kumzungumzia marehemu kwa mabaya aliy
Lowassa ni nani?huyo Mangi ni mwehu siku zote sasa ulitaka watu na heshima zao waanze kujibishana na mwehu,ukimsikiliza mwehu na wewe utaonekana mwehu,hakika chama chenu kina kosa mwelekeo kwa kusubiri uwehu wa Mange ndio uwe mtaji wa kisiasa,leo hii mnamuona Mange mtu muhimu kwenu ,kazi mnayo.
Sio mwehu tu,mimi nadhani kale kadada kana laana
 
..Mh.Lucy Mayenga anafikiri jukumu la wabunge ni kuanzisha biashara na siyo kutunga sheria au kuisimamia serikali.

..Mh ametumikia ubunge zaidi ya miaka 10 sasa!!
Yaani kumbe yeye yupo bungeni anawaza biashara na muda wa kujenga hoja ili aulize swali hana.

Kwanza viti maalum miaka 12!! Acha tu aongee shudu.

Wabunge wanaingia bungeni ku concentrate na mijadala na kujenga hoja. Siyo kuwaza biashara zao binafsi au kuanzisha vikoba.

Eti mbunge anatoka bungeni alafu anakua hana hela.!! SMH...kumbe yeye ameenda bungeni kuvuna hela siyo kuwatumikia wananchi.

Watu wa aina hii wanafanya nini bungeni.

Ccm sijui inafanya vetting kiasi gan hadi mtu huyu kupita miaka 12 yote
 
Yaani kumbe yeye yupo bungeni anawaza biashara na muda wa kujenga hoja ili aulize swali hana.

Kwanza viti maalum miaka 12!! Acha tu aongee shudu.

Wabunge wanaingia bungeni ku concentrate na mijadala na kujenga hoja. Siyo kuwaza biashara zao binafsi au kuanzisha vikoba.

Eti mbunge anatoka bungeni alafu anakua hana hela.!! SMH...kumbe yeye ameenda bungeni kuvuna hela siyo kuwatumikia wananchi.

Watu wa aina hii wanafanya nini bungeni.

Ccm sijui inafanya vetting kiasi gan hadi mtu huyu kupita miaka 12 yote
Hawa ni wale walioko bungeni kusema ndiooooo wako nyuma ya .... no matter what
 
Huyu Mbunge amesema ukweli kabisa! Hongera Mh. Lucy Mayenga.
Screenshot_20170418-004637.png
 
Nasikia hana tabu kabisa huyu mama ukimtaka hana tabu kabisa na kama kitu umepewa bure kwanini uwanyime wenzako?safi sana
 
Huyo siyo mke wa kuoa. MTU ana miaka 46 anaolewa na mtoto wa mwaka 1991?. Kweli?. Hii laana ya kupenda ngono. Difference ya miaka 20. Najiuliza kama huyu mama alikuwa na watoto before huyu baba yao watamtii kweli maana umri wa baba yao ni sawa na umri wa watoto wake . IPO kazi.
Hana hata .mtoto
 
Back
Top Bottom