Lucy Mayenga alivyowaeleza wabunge ukweli

Lucy Mayenga alivyowaeleza wabunge ukweli

Whatever her CV is.....inamaana hakutakiwa kuchangia na kutoa mawazo yake,mbona nyie mnada huo uhuru wa kujieleA wenzenu wakijieleza mnawashambulia kwa matusi mitaoni talk facts acheni majungu na unafki
Mkuu humu kuna watoto wengi sana siyo Great Thinkers wa wakati ule!! Watatukana sana mpaka 2025
 
Kama alitoka na Rostam atakuwa amejenga nyumba ya maana na kama hajajenga hatajenga tena.
Haha si ndio dada yetu Diaspora anasema kaishia tu kuliwa haramu na hakuna alichopata toka kwa Rost tamu ...sema kuna wasukuma bana ule weupe unaweza wachanganya wakafanya nyumba ndogo ,wewe unafikiria zile kelele zake bungeni ni za nini ?

Kabula hoyeee
Sijui umenielewa
 
Mjini kuna kazi ndiyo yale ya Mugabe "a beautiful woman without brain, what suffers is her private parts".
 
Kumwamini mtu anayediriki kumtukana rais wa nchi matusi ya nguoni kwa kisingizio cha uhuru wa kujieleza!!!!!hii ni aibu kujipambanua mbele ya kadamnasi kwamba unamuamini mtu wa aina hii
Acha ujinga wewe, kafatilie ukurasa wa Twitter wa trump wanavyo mnyoosha kwa koment , nahuyo ni rais wa Dunia.!!!! Acheni ujimaaaa
Hajaongea lolote..ni kujipendekeza tu..hivi kazi za mbunge anazijua..

Lucy owenya anafanana na bakuli la mbege...nimewaza tu jamani
 
Uko sahihi mkuu, kama Taifa sijui tunakwenda wapi kwa kumwamini Mange kuliko serikali yetu.
Acha ujinga serekali imebaki kiki hivyo watu hawajui washike nini ndio mange katumia mwanya huo kudaka wafuasi!! Ukiwa desperate chochote utajishika nacho!!
 
Nguvu zake ameziweka katika kuleta kupunguza ufisadi, reli, barabara,kuongeza ufanisi na nidhamu kwenye taasisi za serikali.

Kama upendi matusi kwanini unampa "like"?!
Matusi ni sehemu ya maongezi lazima nitoe like mana hata kumuita mtu "mpumbavu" n tusi na kumfananisha binadamu na Mizigo iliyopo kwenye Lori analoendesha kama asemavyo magufuli ni matusi pia
 
Acha ujinga wewe, kafatilie ukurasa wa Twitter wa trump wanavyo mnyoosha kwa koment , nahuyo ni rais wa Dunia.!!!! Acheni ujimaaaa
Kwa akili yako kutukana marais ndio usasa,hii akili ya wapi?halafu hii umeitoa wapi kwamba upuuzi wowote wa Wamarekani inabidi tuuige,nadhani unajua wale wana machafu mengi ambayo hatuwezi kamwe hata kuyawazia
 
Back
Top Bottom