Lucy Mayenga alivyowaeleza wabunge ukweli

Lucy atakuwa amepata fundisho. Na sio yeye tuu bali kwa wabunge wote kuwa maneno yenye shombo yatapelekea kuanikwa tabia zao mpaka zile za chumbani. Kuzungumza bungeni huku mkiwanajisi wananchi ili kujitafutia sifa za kijinga kutoka kwa walio madarakani kutapelekea kuwa jua kwa undani tabia zenu chafu kabisa.
Lucy umeaibika 100% na huna pa kufichia sura yako. Na sio ajabu hii ndoa yako ya nne ikajifia na kupelekea wewe kutafuta ndoa ya tano.
Na wembe ni ule ule kwa watakao leta maneno ya shombo bungeni.
 
Mkuu nenda kwa Mange.nasikia mashavu ya Kei yameshuka ukiwa nae anakugeuza kambare unachezea tope mpaka uchoke
Mambo mengine huyo mange anazidisha.sometimes anaongea points.ila mtu akitaka kukutukana hata kama huliwi hiyo tigo ili apate kukuumiza atasema unaliwa, huna marinda na kama mwanamme utaitwa kibamia hayo ni kawaida.jee kuna mtu alishuhudia wakati anafanywa hayo mambo? Na kwa nini uamini vyote anavyosema. Yeye mwenyewe mbona ana yake mengi tu.kosoa kazi zake ila maisha yake binafsi naona kama unakuwa huna hoja.
 
Lucy atakuwa amepata fundisho. Na sio yeye tuu bali kwa wabunge wote kuwa maneno yenye shombo yatapelekea kuanikwa tabia zao mpaka zile za chumbani. Kuzungumza bungeni huku mkiwanajisi wananchi ili kujitafutia sifa za kijinga kutoka kwa walio madarakani kutapelekea kuwa jua kwa undani tabia zenu chafu kabisa.
Lucy umeaibika 100% na huna pa kufichia sura yako. Na sio ajabu hii ndoa yako ya nne ikajifia na kupelekea wewe kutafuta ndoa ya tano.
Na wembe ni ule ule kwa watakao leta maneno ya shombo bungeni.
Mange kamuanika vibaya sana.
 
Malaika hawatakiwa kusemwa,ukitaka upate matusi jaribu kuwaambia ukweli hao malaika wa upande wa pili,na kama huo si udikteta sijui ni nini,hivi tu hawajashika dola hawataki kuambiwa ukweli,je wangeshika dola sijui ingekuwaje,Mungu mkubwa anazidi kutuonyesha tabia zao ,waache wajikaange kwa mafuta yao.
 
Mambo mengine huyo mange anazidisha.sometimes anaongea points.ila mtu akitaka kukutukana hata kama huliwi hiyo tigo ili apate kukuumiza atasema unaliwa, huna marinda na kama mwanamme utaitwa kibamia hayo ni kawaida.jee kuna mtu alishuhudia wakati anafanywa hayo mambo? Na kwa nini uamini vyote anavyosema. Yeye mwenyewe mbona ana yake mengi tu.kosoa kazi zake ila maisha yake binafsi naona kama unakuwa huna hoja.
Mange anaongea ukweli mtupu kuhusu kuliwa tigo ndiyo sijui ila ayo mengine uyo kaka ni wa igoma kweli kafunguliwa duka tanganyika ni kweli
 
Amefanikiwa kuvuna nzi wengi sana..kweli nzi hufata kinukacho..
Ni mawazo yenu tu. Kwa mtu mwenye akili alishatambua Mange ni mtu wa aina gani. Hana issue. Alishapewa mshiko wake na mamvi so anajitahidi kuchafua watu bila sababu. Malaya hanaga brake mdomoni siku zote. Ukimshabikia Mange basi akili huna hata kidogo.
 
kwa mtu mwenye akili mbovu tu ndie atapenda kumsifia Mange,lakini hatushangai wenzetu wamezoea kutukana,sijui hiyo ndio ilani yao ya kisiasa ?
Hayo yote mlitakiwa kukemea wakati wa kampeni 2015!
Ila mlinogewa mkaona bora amchafue Mzee lowasa!
Sasa mmegeuka mnatishwa na kinyago mlichochonga wenywe
 
Lowassa ni nani?huyo Mangi ni mwehu siku zote sasa ulitaka watu na heshima zao waanze kujibishana na mwehu,ukimsikiliza mwehu na wewe utaonekana mwehu,hakika chama chenu kina kosa mwelekeo kwa kusubiri uwehu wa Mange ndio uwe mtaji wa kisiasa,leo hii mnamuona Mange mtu muhimu kwenu ,kazi mnayo.
 
Agness Marwa mbunge aliyetamani kulia kisa bunge lisioneshwe live
 
Dahhh Mange . .sijui maisha anayoishi....
 
Lucy ndo aina ya wabunge wa Chama pendwa Nani anamkumbuka Agness Marwa?
 
Lowassa ni nani?huyo Mangi ni mwehu siku zote sasa ulitaka watu na heshima zao waanze kujibishana na mwehu,ukimsikiliza mwehu na wewe utaonekana mwehu,hakika chama chenu kina kosa mwelekeo kwa kusubiri uwehu wa Mange ndio uwe mtaji wa kisiasa,leo hii mnamuona Mange mtu muhimu kwenu ,kazi mnayo.
Ha haaa haaa kwa hiyo mange akimtuna lowasa haina shida kwani lowasa ni nani!
Ila akirudi kutukana jpm na ccm chadema kinapoteza mwelekeo!
Haya maajabu mnayo uvccm peke yenu
 
Back
Top Bottom