Waterloo
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 25,351
- 38,941
Wafia dini wa Lumumba huwaoni? Au kwa sababu ni wa upande wako hawaguswi wao hawana makosa siyo. Haya ndio matatizo yenu vijana wa CCM kwenu nyie serikali hii ni kama inaongozwa na malaika vile.Nilishapendekeza hapo awali kwamba jukwaa hili lilishavamiwa na wafia dini wa Ufipa ambao kamwe huwa hawataki kusikia cv za mwenyekiti wao MBOWE kwamba pia kuna kila haja kwa mods kuangalia umri wa wadau wa jukwaa hili. Kuna mambo mengi ya kitoto yanabishaniwa humu alimradi yaweze kupotosha malengo mazima ya yaliyosemwa na mbunge. Kiukweli Mh. Lucy Mayenga ametoa neno Jema lisilo na upendeleo wowote au mrengo wowote ili tu kuwafanya wanaopenda kupotosha na kuharibu taswira ya bunge waache. Si upinzani wala chama tawala ndani ya bunge ni kweli baadhi yao wanatumika.