Hivi wewe kwenda kurejea taarifa ya mtu aliyepewa ban katika hili jamvi ndio nini? Unatuona tunaakili za kitaahira kama zako? Huyu kwa muji wa ban ni muovu huwezi fahamu kapata kwa hii taarifa.
Hivi wewe kwenda kurejea taarifa ya mtu aliyepewa ban katika hili jamvi ndio nini? Unatuona tunaakili za kitaahira kama zako? Huyu kwa muji wa ban ni muovu huwezi fahamu kapata kwa hii taarifa.
Ni uongo. Lucy ni mnyantuzu typical.. Msukuma wa bariadiWanadai Watanzania! Next
Mtoto wa ndesamburo ni Lucy Owenya wewe vipi umeelewa nini.Mtoto wa Ndesamburo.
kuwa makini mkuu muda mwingine source za Mange magumashiNdio huyu CV yake inazagaa huko Instagram!
Kweli duniani ni kusitiriana ukijifanya unajua wenzio wanajua zaidi, ona sasa wamemvua nguo!
Pole yake
Kwani hujamsikia yeye mwenyewe akijisifia kwamba aliishi Rwanda uswahilini na Rwanda Masaki hadi ikaaminika ni mnyarwanda? Hiyo kasoro ya kuitwa mnyarwanda aliisahisha vipi kama siyo mmojawapo wa wajenzi wa Bahima Empire??Mkuu mbona umesema R.I.P Mtikila wakati hii thread inamhusu Mbunge Lucy Mayenga?
Anatafuta kiki akumbukwe kenye teuzi.Hajaongea lolote..ni kujipendekeza tu..hivi kazi za mbunge anazijua..
Chadema mnao wangapi vileHawa viti maalum wa CCM kazi yao ni kuisifia CCM pale bungeni hata kama ni pumba. Watanzania tunapoteza kodi zetu nyingi sana kwa upuuzi kama huu.
Kwakweli mi binafsi namuamini sana yule dada ana point za msingi sana sema lugha anayotumia ni harsh kidogo lakini ana hoja za msingi.Uko sahihi mkuu, kama Taifa sijui tunakwenda wapi kwa kumwamini Mange kuliko serikali yetu.
Kwani hujamsikia yeye mwenyewe akijisifia kwamba aliishi Rwanda uswahilini na Rwanda Masaki hadi ikaaminika ni mnyarwanda? Hiyo kasoro ya kuitwa mnyarwanda aliisahisha vipi kama siyo mmojawapo wa wajenzi wa Bahima Empire??
Chadema viti maalum mmoja kwa mfano suzan Lyimo ni sawa na vitanda maalum wa ccm 20, sasa piga hesabu zako utapata majibu.Ch
Chadema mnao wangapi vile
Kumwamini mtu anayediriki kumtukana rais wa nchi matusi ya nguoni kwa kisingizio cha uhuru wa kujieleza!!!!!hii ni aibu kujipambanua mbele ya kadamnasi kwamba unamuamini mtu wa aina hiiBora kumwamini Mange kuliko mbunge anayetaka kuaminisha watu kuwa jukumu la mbunge ni kuanzisha viwanda vya upatu.
Ulitaka wa press Magufuli like?Inashangaza kuona lugha zinazotumika halafu viongozi wetu tuliowachagua wana press "like".
Kutukanwa ni jambo la kawaida kwa nchi zinazofuata demokrasia ilimradi ulisaini mwenyewe mkataba bila shuruti na rais ni binadamu kama wewe japo linakutisha jina la UraisKumwamini mtu anayediriki kumtukana rais wa nchi matusi ya nguoni kwa kisingizio cha uhuru wa kujieleza!!!!!hii ni aibu kujipambanua mbele ya kadamnasi kwamba unamuamini mtu wa aina hii
Nilishapendekeza hapo awali kwamba jukwaa hili lilishavamiwa na wafia dini wa Ufipa ambao kamwe huwa hawataki kusikia cv za mwenyekiti wao MBOWE kwamba pia kuna kila haja kwa mods kuangalia umri wa wadau wa jukwaa hili. Kuna mambo mengi ya kitoto yanabishaniwa humu alimradi yaweze kupotosha malengo mazima ya yaliyosemwa na mbunge. Kiukweli Mh. Lucy Mayenga ametoa neno Jema lisilo na upendeleo wowote au mrengo wowote ili tu kuwafanya wanaopenda kupotosha na kuharibu taswira ya bunge waache. Si upinzani wala chama tawala ndani ya bunge ni kweli baadhi yao wanatumika.Kwakweli mi binafsi namuamini sana yule dada ana point za msingi sana sema lugha anayotumia ni harsh kidogo lakini ana hoja za msingi.
Muda mwingine ni bora ukaingiza kidole katikati ya uwazi wako ukajinusa na kuendelea kula kiporo cha pilau la janaLucy owenya anafanana na bakuli la mbege...nimewaza tu jamani![]()
Hata wewe unatumika pia katika Forum ya Melo ni bora ukaficha ujinga wakoNilishapendekeza hapo awali kwamba jukwaa hili lilishavamiwa na wafia dini wa Ufipa ambao kamwe huwa hawataki kusikia cv za mwenyekiti wao MBOWE kwamba pia kuna kila haja kwa mods kuangalia umri wa wadau wa jukwaa hili. Kuna mambo mengi ya kitoto yanabishaniwa humu alimradi yaweze kupotosha malengo mazima ya yaliyosemwa na mbunge. Kiukweli Mh. Lucy Mayenga ametoa neno Jema lisilo na upendeleo wowote au mrengo wowote ili tu kuwafanya wanaopenda kupotosha na kuharibu taswira ya bunge waache. Si upinzani wala chama tawala ndani ya bunge ni kweli baadhi yao wanatumika.