Lucy Mayenga alivyowaeleza wabunge ukweli

Lucy Mayenga alivyowaeleza wabunge ukweli

akili za kitoto huyu mbunge miaka 12 wala sijawahi hata msikia, yaani nimekuja msikia anaonge ujinga kiwango cha lami.

anakwambia yuko bize kufanya biashara mpaka hana muda wa kuuliza swali ila bado kuna nguchiro zinapiga makofi.

12 yrs hajui hata kazi ya mbunge ni nini?, kama unashangaa mbunge kuuliza maswali una akili ww

yaani nakuja mfahamu kumbe bonge la lafa
 
Huyo anaemtetea hana vinyonga na mambo ya uchaguzi?

Uzuri hata Nape alikuwa hivi hivi.
 
Inabidi umzoee tu lowasa alizalilishwa mno na ccm mkachekelea mno hasa kipindi cha kampeni mukamwita shujaa matokeo yake kavimba mapembe anatukana yoyote anavojiskia tena had watu wanaomzaa kabisa bila aibu. Hamna namna zaidi ya kumzoea tu.
Naomba nikusahihishe mimi sio CCM wala si Chadema,isipokuwa sipendi kuona mtu mmoja anatafuta sifa kwenye jamii kwa kumdhalilisha mtu mwingine,hii ni tabia ya kifedhuri mno
 
Naomba nikusahihishe mimi sio CCM wala si Chadema,isipokuwa sipendi kuona mtu mmoja anatafuta sifa kwenye jamii kwa kumdhalilisha mtu mwingine,hii ni tabia ya kifedhuri mno
Ndiko huko kipindi cha kampeni akimnadi magufuli ndo alikuwa anatukana matusi makubwa kwa lowasa ccm walishangilia sasa zamu yao nao kunyooshwa tena kwa Raisi wa nchi kabisa anatukana bila aibu.
 
Sasa kama mpaka Rost tamu la Azizi kajisevia hapo unategemea mwarabu yule kavutiwa na nini kama siyo Nnya?
Hahaaaa waarabu wanapenda sana ule mtandao pendwa hasa mdada akiwa kajazia na hawakuachii rinda hata moja.
 
Wafia dini wa Lumumba huwaoni? Au kwa sababu ni wa upande wako hawaguswi wao hawana makosa siyo. Haya ndio matatizo yenu vijana wa CCM kwenu nyie serikali hii ni kama inaongozwa na malaika vile.
Jamani Jitahidini Kukosoa panapokosoleka MKUU sio kila kitu.
 
"The lion does not turn back when a small dog barks" Noted!....Ni kweli aliyoyasema mbunge,wabunge wengi hawako pale kuwapigania wananchi,wako kimaslahi zaidi tena binafsi.
 
Ukifuata na kuamini anayosema Mange Kimambi utajikuta umekuwa Mtu wa ajabu ajabu,maana hana maadili hata tone
Anaweza kuwa hana maadili, lakini kama anafichua siri za kukosa maadili za watu tunao waamini kuna ubaya gani?
Hawa viongozi wengi wana tabia chafu sana kuliko hata machangu lakini wanataka kutuona sie hayawani
 
Back
Top Bottom